Babe la mji
JF-Expert Member
- Dec 14, 2019
- 983
- 2,058
Uwezo wako mdogo wa kuelewa mamboMmeanza kupotosha ALICHOKISEMA mh.Rais.....
Ameizungumzia HESHIMA ndani ya siasa zetu mathalani KUSEMA UONGO ,KUPOTOSHA ,KUTAKA SIASA ZISIZO NA UHALISIA NASI kote huko ni KUIBAGAZA HESHIMA......
#Siempre JMT
Kushangilia kifo cha Magufuli wazi wazi kwenye ile hotuba yake,nadhani ni worst mistake Mheshimiwa mbowe alifanya.Kuna maswali muhimu ya kujiuliza
Afuate sheria gani? Kavunja sheria gani?
Amheshimu nani? Ni nani kamkosea heshima?
Kwahiyo kesi yake sio ugaidi tena? Bali ni maswala ya sheria na heshima?
Akijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa.
Mh. Samia mesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima.
Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi.
Mdomo mali yako.....
Kwa hiyo kosa la Mbowe ni kutokufuata sheria na kutokuwa na heshima!Akijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa.
Mh. Samia mesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima.
Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi.
CCM ni chama Cha ajabu Sana Yani mtu kupata haki yake imeshakua kama kutafuta hisaniKwanza afuate sheria
Pili awe na heshima
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Sumarai usudanganyike hiyo n paned nkijikosha tu hamana kitu,ameona mbinyo umekua mkubwa kimataifa .Huyu mama Sometimes anayumba .angalau hata hiyo nafasi imepatikana na leo tunaweza kupata habari....sasa ZZK naye asingeenda au wote tungesusia hiyo habari tungeitoa wapi...
Siyo yeye tu anayejua hata mambumbu wa ccm wanjuaUnampendelea kiongozi anayekataa kujifunza? ungehama mapema Zimbabwe, ungemfurahia!
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo wanalialia humu hawa ni wafuasi wa CUF kumbeNani amekwambia kuna member yeyote wa Chadema analia kwa lolote?
Nipe proof hapa
Huyu mama hamna kitu ni mbinyo kutoka nje ili tupate msaada .Kwa Tanganyika hii tunabahati mbaya sana kuwa na rais ambae anasahau Jana alisema nini na leo atasema nini ?
Mama uwezo n mdogo na hama kitu hapo Sasa afate sheria ipi Tena wakati mikitano ya kisiasa ni takwa la kisheria?pia katiba mpya ni takwa la Wananchi na sio la Mbowe,Kati yake na Mbowe nani anaeipenda Tanzania?Mbowe n mzalendo kwa Sababu kama mwaka2025 yakitokea ya mwaka Jana basi nchi itanwaga damu.Hicho ndo Mbowe hataki kitokee .Hii nchi sio ya Samia ni Nchi ya Watanzania wote.Kuna maswali muhimu ya kujiuliza
Afuate sheria gani? Kavunja sheria gani?
Amheshimu nani? Ni nani kamkosea heshima?
Kwahiyo kesi yake sio ugaidi tena? Bali ni maswala ya sheria na heshima?
Tatizo wewe hata Kiswahili hujui.Kwan sheria haiongelei suala la ugaidi??? Otherwise ungekuwa na point
Huyo mama anayumba kama kweli ana unasili akaze asimtoe tuone ataendajeMama aliona Mbowe kama anataka kumpanda kichwani kwa kampeni yake ya katiba mpya.
Hapa inadhihirisha tuhuma za Mbowe ni za kubumba.... Na pia kumwonyesha tu kuwa huwezi kushindana na serikali
Mtanzania mpe picha tu maelezo atatoa yeye πππkwa hiyo ugaidi wa Mbowe ni kukosa heshima kwa kudai katiba.
usikute Mbowe alipigiwa simu na mama kuombwa aache harakati za katiba,akamwambia mama acha ufala π€£π€£π€£π€£
Crimia tukiacha utikadu zetu ukweli ni kwamba kutiba mpya n mhumuUnaonaje mama anavyowkaomesha mataga na sukuma gang?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amfunge aone. Atakuwa amempiga chura teke.Kuna kitu mbowe wamepishana na Samia.
Kila kiongozi akiingia madarakani Kuna watu lazma atawanyoosha.
Mimi nakumbuka magufuli na manji.
Kikwete na Babu seya.
Kiufupi hyo kesi wametengeneza na wanaweza kumfunga.maana wamedhamiria
Mh. Zitto nadhani leo ndiyo kaelewa urais ni taasisi na siyo mtu. Ajifunze na yeye kuwa na adabu. Maana alidhani atasema kiurahisi tu Mbowe atolewe. Mbowe yeye asubiri kama ilivyokuwa kwa Sabaya. Maana mlifurahi sana kwa Sabaya. Inabidi tufike pahala hii nchi iendeshwe kwa misingi ya uzalendoAkijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa.
Mh. Samia amesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima.
Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi.