Babe la mji
JF-Expert Member
- Dec 14, 2019
- 983
- 2,058
CCM acheni tabia ya kuona nchi hii n yenu Kwan kati ya wapinzani na nyinyi CCM nani anavunja sheria?alieharibu uchaguzi wa mwaka Jana ni nani?msione wenzenu hawana akili na ipo siku mtafikishwa mahakamani.Sasa hivi mtu kupata haki yake imekua kama hisani .
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app