Kwa hiyo huyu mzanzibar amemfanyia makusudi Mbowe kwa sababu hana heshima kwake, another tyrannical eraAkijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa.
Mh. Samia amesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima.
Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi.
Kwahiyo ndio umeonyesha hii kesi wewe hangaya ndio umetoa maelekezo,heri uvue hilo shungi mana huna thamani nalo,moshi wa sigara kubwa madhara yake ndio hayaAkijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa.
Mh. Samia amesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima.
Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi.
Ni aibu mgeni anakalibishwa halfu anaanza kuwanyanyasa wenyeji .Bora uwanyanyase kwenye haki watu watakuunga mkono .Naona ni mbinyo wa kiuchumi kutoka nje ndo maanaAfrica bado haijawa na sifa ya kuwa na Rais Mwanamke! Wanawake siku zote wana mtizamo hasi kwa kila jambo wanalokosolewa, wakikosolewa hufikiria kwamba, wametendewa hivi kwa vile ni Wanawake. Na wataiacha hoja ya msingi, na kuanza kupayuka huku wakitafuta kutoa adhabu. Tangu lini huyu Rais, akaweza kukabiriana na changamoto za siasa na uongozi bila kuzua balaa!?
Pamoja na ubabe wa Magufuli, hakudhubutu kumfunga Mbowe gerezani, Mama huyu ameonesha udhaifu mkubwa, hatufai. Hatahivyo, ni vema aende kwao Zanzibar, atuachie viongozi wetu wa Tanganyika!
Alihalibu nchi yetu ni CCM acha utani .Chadema ni wapumbavu sana ,wanajiona wako juu ya sheria
Unazani amesahau alichosema awali? Anademka tu kulingana na mdundoKwa Tanganyika hii tunabahati mbaya sana kuwa na rais ambae anasahau Jana alisema nini na leo atasema nini ?
Hii ishu ni planed , Samia anawahitaji wazungu wampe misaada aendeshe nchi.Hayo mengine ni siasa tu anawadanganya nyinyi wenye uwezo mdogo wa kufikili .Wale waliosusa mkutano ndio wale wanaopenda siasa za KUKARIRI ZENYE NONGWA ,SHARI ,KUTOHESHIMIANA NA KUVUMILIANA.....
Kongole kwake mh.Zitto Kabwe na wenzake[emoji123]
#Utulivu Na Amani Ndio Nguvu Yetu
#Siempre JMT
Katiba mpya haikuanza leo.hizo ndicho ninachokiamini.Endelea kuamini ukiaminicho lakini ukweli ni dai la katiba mpya
Akijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa.
Mh. Samia amesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima.
Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi.
Nchi ya ajabu Sana hii Yani mtu kupata haki yake imekua kama hisani ,tuna safari ndefu SanaKuna siku niliuliza humu mbowe amemfanya nini Samia?
Viroboto wa Nape mnahali mbaya sana.Unaonaje mama anavyowkaomesha mataga na sukuma gang?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani ishu ya Mbowe imeanza awamu hii?!!!Kwa hiyo huyu mzanzibar amemfanyia makusudi Mbowe kwa sababu hana heshima kwake, another tyrannical era
Inasikitisha hapa hatuna viongozi ebu fikilia eti Hawa watakua na uwezo wa kuleta maendeleo kweli?Mh. Mbowe aliomba muafaka wa kitaifa mapema sana tena kwa unyenyekevu mkubwa lakini hadi leo hakuna aliyemjibu, sasa tunaona huo mshahara wake ndiyo kashaupata.
Yaani wewe/ninyi MUMPIGE MH.RAIS MPAKA ACHAKAE?!!! 😳😳😳🤣🤣Viroboto wa Nape mnahali mbaya sana.
Mpo mpo tu. Heshima hailazimishwi , kama Hangaya hakujifunza kwa Mwendawazimu namhurumia sana.
Tutapiga mpaka achakae ,hakuna heshima hapa. Ni katiba na Sheria tu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Pole sana dogo!Viroboto wa Nape mnahali mbaya sana.
Mpo mpo tu. Heshima hailazimishwi , kama Hangaya hakujifunza kwa Mwendawazimu namhurumia sana.
Tutapiga mpaka achakae ,hakuna heshima hapa. Ni katiba na Sheria tu.
Kwani maccm ni maongo?Kumbe ku-refute uongo wa maccm humu ndio "kulialia"?
Really?
Wanachosahau madaraka na vyeo Huwa n mambo ya muda na ya kupita tu.Kiongozi imara Huwa anavumilia hasa mambo kama hya ya kisiasaKwa maneno haya Mbowe yupo ndani KIMABAVU KUONESHANA NANI MWENYE MADARAKA MAKUBWA SIO NANI MWENYE MAKOSA