Rais Samia: Demokrasia ni kuheshimu Sheria, heshima ya Mtu inakuja kwa kuheshimu Sheria za Nchi, ombi la Zitto kuhusu kesi ya Mbowe lajibiwa

Rais Samia: Demokrasia ni kuheshimu Sheria, heshima ya Mtu inakuja kwa kuheshimu Sheria za Nchi, ombi la Zitto kuhusu kesi ya Mbowe lajibiwa

Hotuba ya Mbowe baada ya kifo cha JPM ndo imewajaza hasira watesi wa Mbowe.
Mbowe asikubali kutolewa kwa huruma ya watesi wake. Aache wamfanye wanachokitaka na jina lake litabaki vizazi na vizazi.
 
Je huyu mama ka mfunga mbowe kwa maslai ya taifa au kwa maslai yake yeye mwenyewe kwa kujiona zaifu na kutotaka pressure
 
Akijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa.

Mh. Samia amesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima.

Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi.
Kwa hiyo huyu mzanzibar amemfanyia makusudi Mbowe kwa sababu hana heshima kwake, another tyrannical era
 
Akijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa.

Mh. Samia amesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima.

Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi.
Kwahiyo ndio umeonyesha hii kesi wewe hangaya ndio umetoa maelekezo,heri uvue hilo shungi mana huna thamani nalo,moshi wa sigara kubwa madhara yake ndio haya
 
Africa bado haijawa na sifa ya kuwa na Rais Mwanamke! Wanawake siku zote wana mtizamo hasi kwa kila jambo wanalokosolewa, wakikosolewa hufikiria kwamba, wametendewa hivi kwa vile ni Wanawake. Na wataiacha hoja ya msingi, na kuanza kupayuka huku wakitafuta kutoa adhabu. Tangu lini huyu Rais, akaweza kukabiriana na changamoto za siasa na uongozi bila kuzua balaa!?

Pamoja na ubabe wa Magufuli, hakudhubutu kumfunga Mbowe gerezani, Mama huyu ameonesha udhaifu mkubwa, hatufai. Hatahivyo, ni vema aende kwao Zanzibar, atuachie viongozi wetu wa Tanganyika!
Ni aibu mgeni anakalibishwa halfu anaanza kuwanyanyasa wenyeji .Bora uwanyanyase kwenye haki watu watakuunga mkono .Naona ni mbinyo wa kiuchumi kutoka nje ndo maana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale waliosusa mkutano ndio wale wanaopenda siasa za KUKARIRI ZENYE NONGWA ,SHARI ,KUTOHESHIMIANA NA KUVUMILIANA.....

Kongole kwake mh.Zitto Kabwe na wenzake[emoji123]

#Utulivu Na Amani Ndio Nguvu Yetu
#Siempre JMT
Hii ishu ni planed , Samia anawahitaji wazungu wampe misaada aendeshe nchi.Hayo mengine ni siasa tu anawadanganya nyinyi wenye uwezo mdogo wa kufikili .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa.

Mh. Samia amesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima.

Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi.

Hii sio Rule of Law hata kidogo. Tabia hii ya watawala wetu kujifanya DPP ni ubatili mtupu na upumbavu mkubwa. Wasipoangalia kuna siku watakuja kuiingiza hii nchi kwenye machafuko yasiyokuwa ya lazima!
 
Unaonaje mama anavyowkaomesha mataga na sukuma gang?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Viroboto wa Nape mnahali mbaya sana.
Mpo mpo tu. Heshima hailazimishwi , kama Hangaya hakujifunza kwa Mwendawazimu namhurumia sana.
Tutapiga mpaka achakae ,hakuna heshima hapa. Ni katiba na Sheria tu.
 
Hana lolote huyu nferiority complex tu inamsumbua mbaya zaid nimemsikia akipanga kuwepo mpaka 2030 Ila ajue tu Mungu naye anapanga ya kwake.
 
Mh. Mbowe aliomba muafaka wa kitaifa mapema sana tena kwa unyenyekevu mkubwa lakini hadi leo hakuna aliyemjibu, sasa tunaona huo mshahara wake ndiyo kashaupata.
Inasikitisha hapa hatuna viongozi ebu fikilia eti Hawa watakua na uwezo wa kuleta maendeleo kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuu ni shidaa kwa nchi za kiafrika kuendelea ni kazi na bado sana,, kwasababu ya watawala kutojitambua na wanachaguliwa kwa njia ya kidhalimu,, uharifu waliufanya kwenye chaguzi nyingi na bado wanaendelea tu,, siku wakija toka madarakani tutawashitaki tu,, maana wamelewa madaraka hawa ndugu zangu CCM
 
Viroboto wa Nape mnahali mbaya sana.
Mpo mpo tu. Heshima hailazimishwi , kama Hangaya hakujifunza kwa Mwendawazimu namhurumia sana.
Tutapiga mpaka achakae ,hakuna heshima hapa. Ni katiba na Sheria tu.
Yaani wewe/ninyi MUMPIGE MH.RAIS MPAKA ACHAKAE?!!! 😳😳😳🤣🤣

Mdude Nyagali anawapotosha sana vijana wenzetu 🤣🤣🤣🤣
 
Viroboto wa Nape mnahali mbaya sana.
Mpo mpo tu. Heshima hailazimishwi , kama Hangaya hakujifunza kwa Mwendawazimu namhurumia sana.
Tutapiga mpaka achakae ,hakuna heshima hapa. Ni katiba na Sheria tu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Pole sana dogo!

Naona umefuraha hatari!
Huyu Hangaya si ndio yule mlisema anaupiga mwingi na kuwakomesha sukuma ganga na mataga?

Bado mtanena kwa lugha sana tu
 
Back
Top Bottom