Tunapiga ndio mpaka achakae hakuona kwa Mwendawazimu. Ajifyatue na yeye aone.Yaani wewe/ninyi MMPIGE MH.RAIS MPAKA ACHAKAE?!!! π³π³π³π€£π€£
Mdude Nyagali anawapotosha sana vijana wenzetu π€£π€£π€£π€£
Kuweni na subira. Mama anaziba mashimo yaliyochimbwa na mwendazake. Muda si mrefu mtafurahia matunda matamu na mazima fresh.Ndiyo kimerudi kwa wenyewe!
Mafuta bei chini,
Umeme wa uhakika,
Bidhaa za ujenzi bei chini,
Kodi chini..
Hakika kimerudi kwa wenyewe
Kubwa ni pressure ya nje ya nchi hii aliiona kama inaweza kumharibia leo anazungumzia vyama kufanya mikutano yenye staha aaaaah,waimbe mapambio au??ila atazoea tu atasemwa hata ambayo hakuyategemea.Hapa SSH ametafuta sababu tu.. lakini haiondoi hoja kuwa alikuwa katika 'pressure' kubwa kutoka kwa watu na sehemu mbalimbali..
Maushungi anatafuta tu pa kutokea.Mama aliona Mbowe kama anataka kumpanda kichwani kwa kampeni yake ya katiba mpya.
Hapa inadhihirisha tuhuma za Mbowe ni za kubumba.... Na pia kumwonyesha tu kuwa huwezi kushindana na serikali
Napata shida ungewahi ishi hata chembe moja tu ya maisha hayo unayotulingishia kwa ID fake ya jf, basi Tanzania yote tungejua!!
Wenye hela na maisha yao hawajawah kujikuza kias hcho!!
Ila umeshnda
Mkuu maliza msiba tuendelee na kibibi cha kiarabu. Kafa kaoza, nakufukiwa.Kwani maccm ni maongo?
Muongo wenu si alishakufa na mkafurahia sana?
π€£π€£π€£Tunapiga ndio mpaka achakae hakuona kwa Mwendawazimu. Ajifyatue na yeye aone.
Naona maiti ya Magufuli imefufuka
Yule kiazi kafa,na nyie mlishakufa
Hakuna anaetaka mama amwachie yeyote,Chadema haijaongea hilo
Tunataka rule of law,hatutaki utungaji mnatufanyia,hatutaki uonevu,haki bin haki na hatutaki msaada wowote kutoka kwa yeyote
We will beat this uselesss fabricated case,na hata mkimfunga mtapata shida zaidi..na tena ndio tunataka
Mpende msipende lazima KATIBA MPYA itoke!
Take this to the bank!
By the way CCM ilishapasuka kitambo,muulize kichwa maji mwenzio Polepole...
Tumebaniwa sauti leo na kulegezewa macho, tanaombwa heshima, nani aheshimu kibibi cha kiarabu.π€£π€£π€£
Hayo maumivu ya mapigo yenu anayahisi/tunayahisi wapi?!!!!
Mdude Nyagali anakupotosha na ule WEMBE wake wa "karatasi"π€£
Kwa hiyo kila mvaa USHUNGI ni mwarabu?!!!π³π³π³Mkuu maliza msiba tuendelee na kibibi cha kiarabu. Kafa kaoza, nakufukiwa.
Ile takataka hakua nafaida yeyote nchi hii.
Unataka tukuamini kuwa ULIKUWEPO wakati akimtuma huyo Zitto Kabwe?!!!!!!Maushungi kamtumia Zitto kuongea kwa huruma ili amtoe Mbowe ionekane kama sio Zitto kuongea kwa kupiga magofi vile asingemtoa
Zitto ni NAFIKI namba moja hii dunia
Kumbe hii kesi sio uhalifu na Sheria, Bali Ni Kati Mbowe na Mama ndio maana majaji wanatoa hukumu za kimapinduzi!Kwanza afuate sheria
Pili awe na heshima
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Tanzania inapitia kipindi kigumu Sana .Lakini watamtoa tu ili tupate misaada kutoka Ulaya SI umeshaskia tamko kutoka jumuia ya Ulaya? Serikali wamebanwa hivo wanatumia siasa waonekane wa maana.Hotuba ya Mbowe baada ya kifo cha JPM ndo imewajaza hasira watesi wa Mbowe.
Mbowe asikubali kutolewa kwa huruma ya watesi wake. Aache wamfanye wanachokitaka na jina lake litabaki vizazi na vizazi.
Sasa la heshima linatoka wapi hapo?kufuata sheria ni kusubiri mahakama itoe hukumu na kumuachia huru ni kuvunja sheria .kwani ni kuingilia mahakama mama yupo shaihi Mbowe ssubiri maamuz ya mahakama
Mnadhani Kuna atakayewaogopa na kuwahofu kwa kauli zenu hizi CHAFU zenye CHUKI ,KEDI ,DHARAU NA NONGWA?!!!!Tumebaniwa sauti leo na kulegezewa macho, tanaombwa heshima, nani aheshimu kibibi cha kiarabu.
Acheni kutuchukulia poa.. tunapiga kweli kweli.
Upo sahihi maana watanzania ni watu wa aina ya kenge.Mimi ningependa Mbowe afungwe jela na kifungo chake ndicho kitapelekea Watanzania kwa wingi kukiondoa chama changu cha CCM madarakani kwenye uchaguzi ujao wa mwaka 2025.
Huu ni mtizamo wangun
Mama anataka misaada kutoka nje hapo ni kujikosha tuMaushungi kamtumia Zitto kuongea kwa huruma ili amtoe Mbowe ionekane kama sio Zitto kuongea kwa kupiga magofi vile asingemtoa
Zitto ni NAFIKI namba moja hii dunia