Rais Samia: Demokrasia ni kuheshimu Sheria, heshima ya Mtu inakuja kwa kuheshimu Sheria za Nchi, ombi la Zitto kuhusu kesi ya Mbowe lajibiwa

Rais Samia: Demokrasia ni kuheshimu Sheria, heshima ya Mtu inakuja kwa kuheshimu Sheria za Nchi, ombi la Zitto kuhusu kesi ya Mbowe lajibiwa

Yaani wewe/ninyi MMPIGE MH.RAIS MPAKA ACHAKAE?!!! 😳😳😳🤣🤣

Mdude Nyagali anawapotosha sana vijana wenzetu 🤣🤣🤣🤣
Tunapiga ndio mpaka achakae hakuona kwa Mwendawazimu. Ajifyatue na yeye aone.
 
Ndiyo kimerudi kwa wenyewe!

Mafuta bei chini,
Umeme wa uhakika,
Bidhaa za ujenzi bei chini,
Kodi chini..

Hakika kimerudi kwa wenyewe
Kuweni na subira. Mama anaziba mashimo yaliyochimbwa na mwendazake. Muda si mrefu mtafurahia matunda matamu na mazima fresh.

Mitano tena kwa mama
 
Kufuata Sheria ni Wajibu wa kila Mtanzania ila kuwa na Heshima ni Utashi wa mtu..., Huwezi kumlazimisha mtu Akuheshimu (Nadhani hapo Mama ameteleza) Mbowe Hashitakiwa kwa kukosa Heshima
 
haya ma kesi ni upuuzi,ndio mambo ya Sabaya,amebumbiwa mpaka kesi za kipuuzi zikaongezwa kwake, yani kwa akili ya kawaida mfanya biashara tena wa Dar aende mahakamani kutoa ushahidi alimuuzia sabaya gari na kutaja mambo ya house boy
hizi kesi mbili ukiziangalia ni za kubambika
 
Hapa SSH ametafuta sababu tu.. lakini haiondoi hoja kuwa alikuwa katika 'pressure' kubwa kutoka kwa watu na sehemu mbalimbali..
Kubwa ni pressure ya nje ya nchi hii aliiona kama inaweza kumharibia leo anazungumzia vyama kufanya mikutano yenye staha aaaaah,waimbe mapambio au??ila atazoea tu atasemwa hata ambayo hakuyategemea.
 
Mama aliona Mbowe kama anataka kumpanda kichwani kwa kampeni yake ya katiba mpya.

Hapa inadhihirisha tuhuma za Mbowe ni za kubumba.... Na pia kumwonyesha tu kuwa huwezi kushindana na serikali
Maushungi anatafuta tu pa kutokea.
Kama ni kweli aliyoyasema yanatokea moyoni mwake, yeye ndie HASWA wa kuanza kuacha kuvunja sheria.
Aache kabisa kushikamana na wavunja sheria akina Sirro, Madelu, Ndugai, Jaji Mkuu. Akemee waziwazi uvunjaji wowote wa hata katiba hii hii pamoja na sheria mbofumbofu. Tofauti na Mwendazake, heshima anayoitamani ataweza kuipata tena ya kumwaga, bila ya kulazimisha/ubabe. AMEN
 
Napata shida ungewahi ishi hata chembe moja tu ya maisha hayo unayotulingishia kwa ID fake ya jf, basi Tanzania yote tungejua!!

Wenye hela na maisha yao hawajawah kujikuza kias hcho!!

Ila umeshnda
emoji120.png


Sijakulingishia maisha, sikulazimishi unielewe, kwangu hela yangu halali ninayotafuta ndio maisha
 
Kwani maccm ni maongo?

Muongo wenu si alishakufa na mkafurahia sana?
Mkuu maliza msiba tuendelee na kibibi cha kiarabu. Kafa kaoza, nakufukiwa.
Ile takataka hakua nafaida yeyote nchi hii.
 
Tunapiga ndio mpaka achakae hakuona kwa Mwendawazimu. Ajifyatue na yeye aone.
🤣🤣🤣

Hayo maumivu ya mapigo yenu anayahisi/tunayahisi wapi?!!!!

Mdude Nyagali anakupotosha na ule WEMBE wake wa "karatasi"🤣
 
Naona maiti ya Magufuli imefufuka

Yule kiazi kafa,na nyie mlishakufa

Hakuna anaetaka mama amwachie yeyote,Chadema haijaongea hilo

Tunataka rule of law,hatutaki utungaji mnatufanyia,hatutaki uonevu,haki bin haki na hatutaki msaada wowote kutoka kwa yeyote

We will beat this uselesss fabricated case,na hata mkimfunga mtapata shida zaidi..na tena ndio tunataka

Mpende msipende lazima KATIBA MPYA itoke!

Take this to the bank!

By the way CCM ilishapasuka kitambo,muulize kichwa maji mwenzio Polepole...

Unaandika kwa kujiamini kisa umejificha kwa keyboard kla sku mbowe na lisu wanawaomba mtoke barabarani muandamane ila nyie mmekaa kama viazia af saiv vijana wa Chadema mnajifanya wababe wakifala
Haki haiombwi haki hutafutwa kwa nguvu na mda mwinge kwa lazma

Saiv Chadema nmajadili maoni na maombi ya zitto si mngeshiliki na nyie anangalau mmngeongea meng na mazito ingewasaidia sasa km na ACT nao wangekua na maamuzi ya kugoma kushiliki saiv mngekua mnajadili nn,
 
🤣🤣🤣

Hayo maumivu ya mapigo yenu anayahisi/tunayahisi wapi?!!!!

Mdude Nyagali anakupotosha na ule WEMBE wake wa "karatasi"🤣
Tumebaniwa sauti leo na kulegezewa macho, tanaombwa heshima, nani aheshimu kibibi cha kiarabu.
Acheni kutuchukulia poa.. tunapiga kweli kweli.
 
Mkuu maliza msiba tuendelee na kibibi cha kiarabu. Kafa kaoza, nakufukiwa.
Ile takataka hakua nafaida yeyote nchi hii.
Kwa hiyo kila mvaa USHUNGI ni mwarabu?!!!😳😳😳

Hivi lini mtaheshimu imani za wengine?!!!!

Kweli kabisa BAVICHA humu JF mnamwita mh.Rais ni mwarabu kisa anavaa mtandio wa imani yake?!!!😳😳😳

This is TOO MUCH..........

#Siempre JMT
 
kufuata sheria ni kusubiri mahakama itoe hukumu na kumuachia huru ni kuvunja sheria .kwani ni kuingilia mahakama mama yupo shaihi Mbowe ssubiri maamuz ya mahakama
 
Maushungi kamtumia Zitto kuongea kwa huruma ili amtoe Mbowe ionekane kama sio Zitto kuongea kwa kupiga magofi vile asingemtoa

Zitto ni NAFIKI namba moja hii dunia
Unataka tukuamini kuwa ULIKUWEPO wakati akimtuma huyo Zitto Kabwe?!!!!!!

Umejawa na CONSPIRACY THEORIES tu........
 
Kwanza afuate sheria
Pili awe na heshima
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Kumbe hii kesi sio uhalifu na Sheria, Bali Ni Kati Mbowe na Mama ndio maana majaji wanatoa hukumu za kimapinduzi!
Mh sasa tutamfundishaje heshima mtu mzima?
Na inanikumbusha siku nikikamatwa na matrafiki wa kike ninavyo paswa kuchagua maneno ya kusema nao na huu ndio udhaifu wa wanawake hukimbilia kutanguliza jinsia badala ya hoja.
 
Hotuba ya Mbowe baada ya kifo cha JPM ndo imewajaza hasira watesi wa Mbowe.
Mbowe asikubali kutolewa kwa huruma ya watesi wake. Aache wamfanye wanachokitaka na jina lake litabaki vizazi na vizazi.
Tanzania inapitia kipindi kigumu Sana .Lakini watamtoa tu ili tupate misaada kutoka Ulaya SI umeshaskia tamko kutoka jumuia ya Ulaya? Serikali wamebanwa hivo wanatumia siasa waonekane wa maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kufuata sheria ni kusubiri mahakama itoe hukumu na kumuachia huru ni kuvunja sheria .kwani ni kuingilia mahakama mama yupo shaihi Mbowe ssubiri maamuz ya mahakama
Sasa la heshima linatoka wapi hapo?
 
Tumebaniwa sauti leo na kulegezewa macho, tanaombwa heshima, nani aheshimu kibibi cha kiarabu.
Acheni kutuchukulia poa.. tunapiga kweli kweli.
Mnadhani Kuna atakayewaogopa na kuwahofu kwa kauli zenu hizi CHAFU zenye CHUKI ,KEDI ,DHARAU NA NONGWA?!!!!

Badilikeni.......
 
Mimi ningependa Mbowe afungwe jela na kifungo chake ndicho kitapelekea Watanzania kwa wingi kukiondoa chama changu cha CCM madarakani kwenye uchaguzi ujao wa mwaka 2025.

Huu ni mtizamo wangun
Upo sahihi maana watanzania ni watu wa aina ya kenge.
 
Back
Top Bottom