Rais Samia: Demokrasia siyo Cocacola

Rais Samia: Demokrasia siyo Cocacola

Hangaya fanya kazi nzuri na kwa haki uende zako, cheo dhamana unapita tuu na huna nguvu kama unavyofikiria, wenzako watano wameshapita na wengine hata dunia hii hawapo
 
Demokrasia ya bongo chini ya CCM ni ukandamizaji na ubambiakiaji kesi wapinzani. Wizi wa kura na kila aina ya michezo michafu ili mradi tu serikali ya ccm inaki madarakani
Sasa hiyo ndiyo anaiita Mama kuwa demokrasia haiwezi lingana baina ya nchi na nchi??

Hivi tuna sababu gani ya kuwa na Dictionary inayotueleza nini maana ya neno fulani??
 
Hakuna mtu anaumia wewe. Unatumia wewe na wezi wenzio hapo lumumba. Hujawahi fanya lolote lenye Tija kwa taifa hili zaidi ya unafiki!
Mlimshangilia yule punguani wenu kumuita mzalendo wakati alikalia sheria makalioni hulu akisweka watu ndani bila kuwa na ushahidi!
Rugemalila yupo huru!!!!!!
Yupo huru mwenzio anaenda kufaidi mahela aliyokupora tangu enzi na enzi alafu wewe unashangilia huku ukoo wako unapukutika kwa umasikini!
 
Yupo huru mwenzio anaenda kufaidi mahela aliyokupora tangu enzi na enzi alafu wewe unashangilia huku ukoo wako unapukutika kwa umasikini!
Bora uwe masikini lakini uwe na akili. Kuliko uwe Tajir lakini uwe na akili za kisoda kama wewe . Hujui unasimamia nn
 
Asije tu kuishia kuchapisha fomu moja kama alivyofanya Mwendazake.
 
Hakuna mtu anaumia wewe. Unatumia wewe na wezi wenzio hapo lumumba. Hujawahi fanya lolote lenye Tija kwa taifa hili zaidi ya unafiki!
Mlimshangilia yule punguani wenu kumuita mzalendo wakati alikalia sheria makalioni hulu akisweka watu ndani bila kuwa na ushahidi!
Rugemalila yupo huru!!!!!!
Hili sio swala la kushangilia mkuu...ni aibu..unless upo kwenye payroll ya mzee Ruge
 
Mlioaminishwa kwamba yule kichaa aliyekufa kwa Corona alikuwa anapambana na uhujumu uchumi ndo mjue alipambana na watu sio rushwa. Ona sasa anaachiliwa mmoja baada ya mwingine!
Hovyo kabisa malamba miguu nyie.
Kalifufueni sasa
Wewe unajiona upo sawa mkuu...kushangilia fisadi kuachiwa huru wakati tozo zinakuzunguka kila kona..mkate umekuwa anasa kwa mtanzania...tunalaaana
 
Back
Top Bottom