Rais Samia: Dereva aliyeamua kuliingiza lorry kwenye korongo kwa kukwepa utelezi

Anasema watu watulie eti nchi haijauzwa anaihangaikia na kuitafutia pesa nje ya nchi
 
Anasema watu watulie eti nchi haijauzwa anaihangaikia na kuitafutia pesa nje ya nchi
Pesa ziko humu humu. Geita gold, kahama gold, sijui Mara gold hizi Ni pesa tumezigawa kwa wazungu. Bado Kuna zile tunawapa wazungu bure Kama fidia ya mikataba ambayo tunasaini huku tunakunywa wiski.
 
President Samia is putting herself on fire, to keep herself warm. What a hilarious predicament!
Inawezekana kabisa hii move ni ya "tengeneza tatizo,halafu litatue,kesho unaonekana wewe ndiye bingwa" kwa ajili ya 2025.

Pia inawezekana kuna "mafundi" wameweka switch ya taa "upside down" kwa ajili ya 2025.
 
Katiba iangaliwe upya hizi habari zakujua kusoma na kuandika sio ishu tena
 
Rais wa hovyo kuwahi kutokea sio Afrika tu huenda dunia nzima.
 
Samia kabadilika sana siku hizi.
 
Inawezekana kabisa hii move ni ya "tengeneza tatizo,halafu litatue,kesho unaonekana wewe ndiye bingwa" kwa ajili ya 2025.

Pia inawezekana kuna "mafundi" wameweka switch ya taa "upside down" kwa ajili ya 2025.
Kuna watu inaonekana wamedhamiria sana kuhakikisha Samia anakuwa Rais wa nusu mhula tu. Na hao wamekazana sana kuhakikisha kila siku idadi ya wanaomchukia Rais inaongezeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…