LGE2024 Rais Samia: Dhamira ya Serikali ni kuona Uchaguzi unafanyika kwa Haki

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Hii ndio Kauli aliyoitoa Rais wa Tanzania, Mh.DKT Samia Suluhu Hassan kuelekea Siku ya Uchaguzi wa Wenyeviti wa serikali za Mitaa, kama alivyonukuliwa na Vyombo vya Habari.

View attachment 3162417

Toa Maoni Yako
Hivi haya matakataka yanajua kama uchaguzi unaanzia kwenye kuchukua fomu na kuzirejesha? Yaani mmekata watu halafu bado mnasema uchaguzi wa haki?
 
Sijui kama huyu ana akili ya kuweza kujuwa haki na batili. Haki katika uchawa na ukunguni itapatikana vipi na wapi?
 
Hili nalo neno, huku niliko wananchi hata hawana taarifa kama yupo nchini... in fact they don't care at all.
Na hiyo ndio furaha ya watawala kuona watawaliwa hawajali mambo yanayoamua hatma yao ya kesho.
 
Huyu Mama anashangaza sana!

Lengo lake ni kuhadaa umma kuws uchaguzi utakuwa huru na wa haki lengo ni kutaka wananchi wajitokeze vinginenyo itakuwa aibu.
 

Anachohubiri ni tofauti na uhalisia. Hiyo ni zile sehemu ya hotuba za hadaa kwa umma na dunia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…