Sio wao tu hata sisi hatustahili kulipa hizo kodi. Wasomi wetu ndio wanaotuangusha, wamekariri badala ya kujiongeza. Mara ya mwisho nikiwa Dubai kupiga simu za ndani ilikuwa bure, ndugu yangu akamwambia mpaka leo. Wanawezaje ni kwa sababu wanapata kodi ya kutosha kwenye vyanzo vikuu. Hawana haja ya kukimbizana kodi na watu wadogo wadogo, wape unafuu kama stimulus kwenye mitaji yao. Serikali kusanya bandarini huko mkataba unakoisha na kwenye utalii na madini. Elimu ya msingi ilipaswa kuwa na mtaala wa utalii kulingana na vivutio tulivyonavyo. Nchi ingekuwa inanuka utalii. Bangkok Thailand kila mwanaume ana picha za warembo anatangaza biashara ya ukahaba kule mi halali na ina ingia mapato ya serikali. Tupunguze kukimbizana na vikodi vidogo dogo kama Nyerere alivyosema.