Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Kisheria na Ki hasibu. Kodi au tozo hutozwa ktk Income generated from any activity. Ma ajabu ya Mwigulu ana toza SAVINGS na pesa za Simu za Mgonjwa!!!!Vyovyote vile ila swali langu ni hili; ninapotoa akiba yangu (SAVINGS) ambayo niliwakabidhi benki wanitunzie (na service charge juu) nakua nimeingiza kipato gani cha kustahili kukatwa kodi/tozo? Wataalamu wa kodi mnisaidie.
Very sad indeed! Na wabunge (wa CCM) waliona yote haya na wakapitisha muswada na Rais akasaini kuwa sheria! Dah!Kisheria na Ki hasibu. Kodi au tozo hutozwa ktk Income generated from any activity. Ma ajabu ya Mwigulu ana toza SAVINGS na pesa za Simu za Mgonjwa!!!!
Inashangaza sana kukata tozo kwenye savings.. na wakati mwingine hiyo hela imeshakatwa PAYE kama ni mwajiriwa. Yaani hawa watu hata akili ya kawaida kabisa hawawezi kutumia.Vyovyote vile ila swali langu ni hili; ninapotoa akiba yangu (SAVINGS) ambayo niliwakabidhi benki wanitunzie (na service charge juu) nakua nimeingiza kipato gani cha kustahili kukatwa kodi/tozo? Wataalamu wa kodi mnisaidie.
Hao account zao zinakuwa credited only maana huduma zote wanapewa hivyo hawana habari na wananchi wa kawaida.Na ndiyo maana huwaoni wakishtuka.
Sjui hiyo mishahara wanalipwa ya nini ikiwa kila ktu wanachohitaji pia wanalipiwa - wakiugua, chakula, mavazi, watumishi, usafiri, majumba...nk. tena chchte wanachotaka kufanya popote kodi zetu na matozo na maushuru wanakula! Mishahara ya nini... dah!Na ndiyo maana huwaoni wakishtuka.
Waende wakalitazame na hiloRais, makamu na waziri mkuu (among others) hawalipi kodi yoyote kwenye mishahara yao, akaunti zao benki hazina makato na hata laini zao za simu hazina tozo yoyote.
Bado natafuta tafsiri sahihi ya uhujumu uchumi.. nitaendelea kusoma Ili nielewe.
Mshana mpk muda huu hujalala tu au hang over ya Pombe imekata muda huu..Waende wakalitazame na hilo
Haupigwi mwingi Tena?Waende wakalitazame na hilo
Huyu jamaa ni mburula kabisa.Kisheria na Ki hasibu. Kodi au tozo hutozwa ktk Income generated from any activity. Ma ajabu ya Mwigulu ana toza SAVINGS na pesa za Simu za Mgonjwa!!!!
NCHI HII VIONGOZI WAKE SIO MFANO WA KUIGWA KAMA NCHI NYINGINE INAWEZEKANA HATA MAJI YAO YA KUNYWA YANAAGIZWA KUTOKA NJE YA NCHIRais, makamu na waziri mkuu (among others) hawalipi kodi yoyote kwenye mishahara yao, akaunti zao benki hazina makato na hata laini zao za simu hazina tozo yoyote.
Bado natafuta tafsiri sahihi ya uhujumu uchumi.. nitaendelea kusoma Ili nielewe.
Nani asiyelipa kodi? Mtu anakatwa PAYE au analipa income tax kwenye biashara (plus malipo mengine kibao) halafu bado akiweka hela yake ambayo ilishakatwa kodi nayo anailipia tozo pale anapotaka kuitoa benki au kwenye akaunti za kwenye mitandao.Lipeni Kodi acheni kulalamika,mpaka Sasa taifa lenye watu makini tengekuwa tuna ongea habari nyingine kwa Kodi hizi za kijinga
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app