Rais Samia, fanya mabadiliko ya wasaidizi wako hasa Kwenye hotuba; unaweza ukawa na wasomi ila siyo wataalam wala wazoefu

Basi kwa kuwa mama kwa kinywa chake kasema taifa lina akiba ya pesa za kigeni dola za marekani zaidi ya elfu 6 bilioni basi tulipe deni letu la dola bilioni 30 halafu zingine tutajua namna ya kuzitumia.
#rais hakosei.
 
 
Naunga mkono hoja
 
Etii unakaaa tu,unasikiliza hotuba ,tena ya huyo...hahaaa labda mm nimeanza kuzeeka.
Ya kuandikiwa na mdada au mkaka wa skuli ya mkunazini..?
Hahahaaaaa..
Bora nika jifunze ku bet wallah
..
 
Kweli nimeamini Mchongo
Kilakitu Mchongo
Kweli Bongo nyoso
Hata rais anakuwa Mchongo!!!
 
Basi kwa kuwa mama kwa kinywa chake kasema taifa lina akiba ya pesa za kigeni dola za marekani zaidi ya elfu 6 bilioni basi tulipe deni letu la dola bilioni 30 halafu zingine tutajua namna ya kuzitumia.
#rais hakosei.
Ukijua kazi ya akiba hautaongea tena hizo pumba zako
 
..kama hujaona tatizo basi una matatizo.

..ile sio hotuba ya kiwango cha Raisi wa Tz.
Ulitaka ahutubie kwa kutumia akili zako au?

Watz punguzeni kujifanya wajuaji.
 
Kiukweli kwa nia njema hotuba za mama zinaboa na huko mbele watu watapuuza kabisa hotuba zake!
 
Ushauri pekee anaohitaji Samia ni kuwarudisha madarakani majembe KALEMANI na CHAMRIHO kwani hakuwatoa kwa sababu za mapungufu ya kiutendaji bali kwa kujitoa kwao kizalendo,, January hana uwezo wa kuipeleka wizara ya nishati mbele ila anaweza kumsaidia Samia kuwarudisha wezi na wapigaji toka bodi hadi mfunga mita na hiyo ndiyo kazi tuliyoiona hadi sasa,,, hatuna issue ya ukabila hapa wangindo wote tunamtaka KALEMANI tupate umeme Liwale
 
Huyo Mama ikibidi asiandikiwe kabisa hotuba...

Yaani ndio maana wakina Ndugai wanataka 2025 apumzike
 
HV Yuko wapi mtu anaitwa Emanuel buhohela
 
Reactions: nao
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…