Rais Samia, fanya mabadiliko ya wasaidizi wako hasa Kwenye hotuba; unaweza ukawa na wasomi ila siyo wataalam wala wazoefu

Rais Samia, fanya mabadiliko ya wasaidizi wako hasa Kwenye hotuba; unaweza ukawa na wasomi ila siyo wataalam wala wazoefu

Basi kwa kuwa mama kwa kinywa chake kasema taifa lina akiba ya pesa za kigeni dola za marekani zaidi ya elfu 6 bilioni basi tulipe deni letu la dola bilioni 30 halafu zingine tutajua namna ya kuzitumia.
#rais hakosei.
 
Mfano hotuba ingejitika katika masuala yafuatayo! I)Mambo ya makusanyo ya tozo ili kupunguza sintofahamu kwa wananchi jinsi ya matumizi yake! ii)Demokrasi na uhuru wa vyombo vya Habari na Vyama vya sasa. iii) Hatima ya katiba mpya iv)Ufafanuzi wa deni la Taifa ili kuwafanya wananchi waweze kuelewa kwa undani na kutoa taharuki kwa wananchi! V)Mwendelezo wa miradi nyeti kama Hospital za kanda ,mikoa,wilaya na vituo vya afya na ujenzi wa viwanja vya ndege,barabarani juu na madaraja kama Mto wami nk! Vi)Jinsi ya kukabiliana na upandaji wa gharama za maisha ikiwemo jinsi ya kukabiliana na changamoto ya upatikanaji wa mvua maana kwa mwaka huu hali ya mvua sio nzuri kwa maeneo mengi ya nchi! vii) Kutoa mwelekeo wake wa kisera na kimkakati kuweza kukuza uchumi na kuimarisha hali za za wananchi mfano machinga baada ya kutolewa barabarani serkali yake inaendelea na mkakati gani!.Mwisho nashauri wasaidizi wa Rais Samia wajitahidi kuandaa hotuba ambazo zitaleta ufafanuzi wa kutosha kwa wananchi badala ya kuengelea mambo mepesi yasiyo na tija kwa msitakabari wa Taifa! Jina Samuel Seleman Bulugu!
JamiiForums700173252.jpg
 
Mfano hotuba ingejitika katika masuala yafuatayo!

I)Mambo ya makusanyo ya tozo ili kupunguza sintofahamu kwa wananchi jinsi ya matumizi yake!

ii)Demokrasi na uhuru wa vyombo vya Habari na Vyama vya sasa.

iii) Hatima ya katiba mpya

iv)Ufafanuzi wa deni la Taifa ili kuwafanya wananchi waweze kuelewa kwa undani na kutoa taharuki kwa wananchi!

V)Mwendelezo wa miradi nyeti kama Hospital za kanda ,mikoa,wilaya na vituo vya afya na ujenzi wa viwanja vya ndege,barabarani juu na madaraja kama Mto wami nk!

Vi)Jinsi ya kukabiliana na upandaji wa gharama za maisha ikiwemo jinsi ya kukabiliana na changamoto ya upatikanaji wa mvua maana kwa mwaka huu hali ya mvua sio nzuri kwa maeneo mengi ya nchi!

vii) Kutoa mwelekeo wake wa kisera na kimkakati kuweza kukuza uchumi na kuimarisha hali za za wananchi mfano machinga baada ya kutolewa barabarani serkali yake inaendelea na mkakati gani!.

Mwisho nashauri wasaidizi wa Rais Samia wajitahidi kuandaa hotuba ambazo zitaleta ufafanuzi wa kutosha kwa wananchi badala ya kuengelea mambo mepesi yasiyo na tija kwa msitakabari wa Taifa!
Naunga mkono hoja
 
Etii unakaaa tu,unasikiliza hotuba ,tena ya huyo...hahaaa labda mm nimeanza kuzeeka.
Ya kuandikiwa na mdada au mkaka wa skuli ya mkunazini..?
Hahahaaaaa..
Bora nika jifunze ku bet wallah
..
 
Kweli nimeamini Mchongo
Kilakitu Mchongo
Kweli Bongo nyoso
Hata rais anakuwa Mchongo!!!
 
Basi kwa kuwa mama kwa kinywa chake kasema taifa lina akiba ya pesa za kigeni dola za marekani zaidi ya elfu 6 bilioni basi tulipe deni letu la dola bilioni 30 halafu zingine tutajua namna ya kuzitumia.
#rais hakosei.
Ukijua kazi ya akiba hautaongea tena hizo pumba zako
 
..kama hujaona tatizo basi una matatizo.

..ile sio hotuba ya kiwango cha Raisi wa Tz.
Ulitaka ahutubie kwa kutumia akili zako au?

Watz punguzeni kujifanya wajuaji.
 
Kiukweli kwa nia njema hotuba za mama zinaboa na huko mbele watu watapuuza kabisa hotuba zake!
 
Mfano hotuba ingejitika katika masuala yafuatayo!

I)Mambo ya makusanyo ya tozo ili kupunguza sintofahamu kwa wananchi jinsi ya matumizi yake!

ii)Demokrasi na uhuru wa vyombo vya Habari na Vyama vya sasa.

iii) Hatima ya katiba mpya

iv)Ufafanuzi wa deni la Taifa ili kuwafanya wananchi waweze kuelewa kwa undani na kutoa taharuki kwa wananchi!

V)Mwendelezo wa miradi nyeti kama Hospital za kanda ,mikoa,wilaya na vituo vya afya na ujenzi wa viwanja vya ndege,barabarani juu na madaraja kama Mto wami nk!

Vi)Jinsi ya kukabiliana na upandaji wa gharama za maisha ikiwemo jinsi ya kukabiliana na changamoto ya upatikanaji wa mvua maana kwa mwaka huu hali ya mvua sio nzuri kwa maeneo mengi ya nchi!

vii) Kutoa mwelekeo wake wa kisera na kimkakati kuweza kukuza uchumi na kuimarisha hali za za wananchi mfano machinga baada ya kutolewa barabarani serkali yake inaendelea na mkakati gani!.

Mwisho nashauri wasaidizi wa Rais Samia wajitahidi kuandaa hotuba ambazo zitaleta ufafanuzi wa kutosha kwa wananchi badala ya kuengelea mambo mepesi yasiyo na tija kwa msitakabari wa Taifa!
Ushauri pekee anaohitaji Samia ni kuwarudisha madarakani majembe KALEMANI na CHAMRIHO kwani hakuwatoa kwa sababu za mapungufu ya kiutendaji bali kwa kujitoa kwao kizalendo,, January hana uwezo wa kuipeleka wizara ya nishati mbele ila anaweza kumsaidia Samia kuwarudisha wezi na wapigaji toka bodi hadi mfunga mita na hiyo ndiyo kazi tuliyoiona hadi sasa,,, hatuna issue ya ukabila hapa wangindo wote tunamtaka KALEMANI tupate umeme Liwale
 
Huyo Mama ikibidi asiandikiwe kabisa hotuba...

Yaani ndio maana wakina Ndugai wanataka 2025 apumzike
 
Back
Top Bottom