OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
wazo la kuhutubia lilikuja baada ya kusikia Lisu atahutubia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziaMfano hotuba ingejitika katika masuala yafuatayo!
I) Mambo ya makusanyo ya tozo ili kupunguza sintofahamu kwa wananchi jinsi ya matumizi yake!
ii) Demokrasi na uhuru wa vyombo vya Habari na Vyama vya sasa.
iii) Hatima ya katiba mpya
iv) Ufafanuzi wa deni la Taifa ili kuwafanya wananchi waweze kuelewa kwa undani na kutoa taharuki kwa wananchi!
V) Mwendelezo wa miradi nyeti kama Hospital za kanda, mikoa, wilaya na vituo vya afya na ujenzi wa viwanja vya ndege, barabarani juu na madaraja kama Mto wami nk!
Vi) Jinsi ya kukabiliana na upandaji wa gharama za maisha ikiwemo jinsi ya kukabiliana na changamoto ya upatikanaji wa mvua maana kwa mwaka huu hali ya mvua sio nzuri kwa maeneo mengi ya nchi!
vii) Kutoa mwelekeo wake wa kisera na kimkakati kuweza kukuza uchumi na kuimarisha hali za za wananchi mfano machinga baada ya kutolewa barabarani serkali yake inaendelea na mkakati gani!.
Mwisho nashauri wasaidizi wa Rais Samia wajitahidi kuandaa hotuba ambazo zitaleta ufafanuzi wa kutosha kwa wananchi badala ya kuengelea mambo mepesi yasiyo na tija kwa msitakabari wa Taifa!
Acha watu watoe maoni ili mradi wawe wastaarabu.Hotuba ni kitu personal. Kile unachotaka wewe ni cha kwako wewe na siyo Samia. Hata mimi ningetaka hotuba ya mwaka mpya ningeandika ya kwangu tofauti na hiyo ya kwako. All in all amefikisha ujumbe aliotaka uwafikie watanzania.
Still angeamua pia kutoongea. Acheni critique za kijinga
Ujuaji usio na tija..kwanini unadhani Watz kuwa wajuaji ni jambo baya?
..Mwalimu Nyerere alisema ujinga ni mmoja wa maadui wa Tz, hivyo basi Watz tunapaswa kuwa wajuaji.
Mwandiko kama wake hivyo nahisi anajipigia promoAmefanyaje Kanali Sawala...?
Sema na yeye samia anatakiwa kuwa uptodate, sio kutegemea kusoma kila kitu hata vitu visivyo sahihi au na tija yeye anajisomea tu. Kiongozi lazima uwe na data, sio kulishwa upepo halafu unajaa mazima , mwisho wa siku wahuni wakishafanya yao, aibu inabaki kwako.Mfano hotuba ingejitika katika masuala yafuatayo!
I) Mambo ya makusanyo ya tozo ili kupunguza sintofahamu kwa wananchi jinsi ya matumizi yake!
ii) Demokrasi na uhuru wa vyombo vya Habari na Vyama vya sasa.
iii) Hatima ya katiba mpya
iv) Ufafanuzi wa deni la Taifa ili kuwafanya wananchi waweze kuelewa kwa undani na kutoa taharuki kwa wananchi!
V) Mwendelezo wa miradi nyeti kama Hospital za kanda, mikoa, wilaya na vituo vya afya na ujenzi wa viwanja vya ndege, barabarani juu na madaraja kama Mto wami nk!
Vi) Jinsi ya kukabiliana na upandaji wa gharama za maisha ikiwemo jinsi ya kukabiliana na changamoto ya upatikanaji wa mvua maana kwa mwaka huu hali ya mvua sio nzuri kwa maeneo mengi ya nchi!
vii) Kutoa mwelekeo wake wa kisera na kimkakati kuweza kukuza uchumi na kuimarisha hali za za wananchi mfano machinga baada ya kutolewa barabarani serkali yake inaendelea na mkakati gani!.
Mwisho nashauri wasaidizi wa Rais Samia wajitahidi kuandaa hotuba ambazo zitaleta ufafanuzi wa kutosha kwa wananchi badala ya kuengelea mambo mepesi yasiyo na tija kwa msitakabari wa Taifa!
In many issues Samia is clueless, come 2025 ana sifa zote za kukaa bench... kwa mfano, maelfu tuliotimuliwa kwenye biashara zetu kwa kisingizio cha umachinga tulitarajia kusikia neno la serikali kutoka kwa Mkuu wa nchi.
Wewe ndio una embrace hotuba za kijinga. Kuwa makini.Hotuba ni kitu personal. Kile unachotaka wewe ni cha kwako wewe na siyo Samia. Hata mimi ningetaka hotuba ya mwaka mpya ningeandika ya kwangu tofauti na hiyo ya kwako. All in all amefikisha ujumbe aliotaka uwafikie watanzania.
Still angeamua pia kutoongea. Acheni critique za kijinga
Yupo kama mtoto mdogoHao wasaidizi mtaacha kuwasingizia lini? Yeye hajui zuri na baya?
Ana elimu ya kuweza kumsaidia kuandika hotuba mwenyewe ?..Mama afukuze waandishi wa hotuba, na aanze kuandika hotuba mwenyewe.
..mbona Lissu kuandika hotuba mwenyewe na iko poa?
Hayo ni mtazamo wako wewe ambayo ulitaka azungumze lakini hayo waliomwandikia ndio sahihiMfano hotuba ingejitika katika masuala yafuatayo!
I) Mambo ya makusanyo ya tozo ili kupunguza sintofahamu kwa wananchi jinsi ya matumizi yake!
ii) Demokrasi na uhuru wa vyombo vya Habari na Vyama vya sasa.
iii) Hatima ya katiba mpya
iv) Ufafanuzi wa deni la Taifa ili kuwafanya wananchi waweze kuelewa kwa undani na kutoa taharuki kwa wananchi!
V) Mwendelezo wa miradi nyeti kama Hospital za kanda, mikoa, wilaya na vituo vya afya na ujenzi wa viwanja vya ndege, barabarani juu na madaraja kama Mto wami nk!
Vi) Jinsi ya kukabiliana na upandaji wa gharama za maisha ikiwemo jinsi ya kukabiliana na changamoto ya upatikanaji wa mvua maana kwa mwaka huu hali ya mvua sio nzuri kwa maeneo mengi ya nchi!
vii) Kutoa mwelekeo wake wa kisera na kimkakati kuweza kukuza uchumi na kuimarisha hali za za wananchi mfano machinga baada ya kutolewa barabarani serkali yake inaendelea na mkakati gani!.
Mwisho nashauri wasaidizi wa Rais Samia wajitahidi kuandaa hotuba ambazo zitaleta ufafanuzi wa kutosha kwa wananchi badala ya kuengelea mambo mepesi yasiyo na tija kwa msitakabari wa Taifa!
Mama asiposoma hotuba huwa anaishia kudamka tu, mipasho ya chokochoko, kujisifia urais wa kijinsia nk.Jamani EEE nilisema hapa huyu mama aache mtindo wa kusoma hotuba atalemaa Sasa mmesikia kaandikiwa hotuba kwamba nchi Ina akiba ya US $ Dola 6000 bilion Sasa hapo hata Deni la Taifa lingelipwa mama kubali tu kazi hii kwako ni overloaded kwako .
Kwa hiyo mama anataka kupimana ubavu na Lissu?wazo la kuhutubia lilikuja baada ya kusikia Lisu atahutubia
mkurugenzi wa mawasiliano ya rais...au unadhani hotuba si sehemu ya mawasiliano ya rais kwa umma? hakuna kinachotoka pasipo approval yakeKwani yeye ndiye muandaji wa hotuba za Rais
Mwenggine anawaza hoja tofauti. Lakini kiukweli muandaa hotuba za Rais abadilishwe.Mfano hotuba ingejitika katika masuala yafuatayo!