Rais Samia, fanya mabadiliko ya wasaidizi wako hasa Kwenye hotuba; unaweza ukawa na wasomi ila siyo wataalam wala wazoefu

Nakazia
 
Hayo ya kwako yamekaa kiupinzani sana, asingekuwa anahutubia nchi ila angekuwa anawahutubia chadema.
 
Acha watu watoe maoni ili mradi wawe wastaarabu.
Ukosoaji unaweza kujikita kwenye matarajio mfano vijana na ajira, wamama na maji, hali ya maisha ya walio wengi nk.
Pia mwenye hotuba yake ana jambo lake pengine kujibu hoja muhimu, kutoa matumaini, kujisafisha nk.
Kuunganisha yote inataka hekima but malalamiko hayatakosa.
Kubwa kabisa ni mwaka mpya yatosha tu kusema heri ya mwaka mpya.
 
..kwanini unadhani Watz kuwa wajuaji ni jambo baya?

..Mwalimu Nyerere alisema ujinga ni mmoja wa maadui wa Tz, hivyo basi Watz tunapaswa kuwa wajuaji.
Ujuaji usio na tija
 
Sema na yeye samia anatakiwa kuwa uptodate, sio kutegemea kusoma kila kitu hata vitu visivyo sahihi au na tija yeye anajisomea tu. Kiongozi lazima uwe na data, sio kulishwa upepo halafu unajaa mazima , mwisho wa siku wahuni wakishafanya yao, aibu inabaki kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndio una embrace hotuba za kijinga. Kuwa makini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ni mtazamo wako wewe ambayo ulitaka azungumze lakini hayo waliomwandikia ndio sahihi
 
Jamani EEE nilisema hapa huyu mama aache mtindo wa kusoma hotuba atalemaa Sasa mmesikia kaandikiwa hotuba kwamba nchi Ina akiba ya US $ Dola 6000 bilion Sasa hapo hata Deni la Taifa lingelipwa mama kubali tu kazi hii kwako ni overloaded kwako .
Mama asiposoma hotuba huwa anaishia kudamka tu, mipasho ya chokochoko, kujisifia urais wa kijinsia nk.

Bora hata kuandikiwa hotuba ya mapumba na kuyasoma hivyo hivyo!
 
wazo la kuhutubia lilikuja baada ya kusikia Lisu atahutubia
Kwa hiyo mama anataka kupimana ubavu na Lissu?
Lissu ni mziki mnene, kama Magu na ukatili wake wote alishindwa kufurukuta mbele ya Lissu sembu huyu mama.
 
Kwani yeye ndiye muandaji wa hotuba za Rais
mkurugenzi wa mawasiliano ya rais...au unadhani hotuba si sehemu ya mawasiliano ya rais kwa umma? hakuna kinachotoka pasipo approval yake
 
Mwenggine anawaza hoja tofauti. Lakini kiukweli muandaa hotuba za Rais abadilishwe.
 
Uzuri anapenda Sana kufuatilia mitandaon,Sasa sijui atalifanyia kazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…