J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 34,188 Reaction score 62,952 Jan 1, 2022 #141 Kipangaspecial said: Ana elimu ya kuweza kumsaidia kuandika hotuba mwenyewe ? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... ..ni jambo ambalo anatakiwa alitengee muda.
Kipangaspecial said: Ana elimu ya kuweza kumsaidia kuandika hotuba mwenyewe ? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... ..ni jambo ambalo anatakiwa alitengee muda.
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 34,188 Reaction score 62,952 Jan 1, 2022 #142 kopites said: Ujuaji usio na tija Click to expand... ..elimu na maarifa siku zote yana tija. ..Na ujinga ni mzigo na fedheha.
kopites said: Ujuaji usio na tija Click to expand... ..elimu na maarifa siku zote yana tija. ..Na ujinga ni mzigo na fedheha.
K Katwangilo JF-Expert Member Joined Jun 10, 2021 Posts 759 Reaction score 738 Jan 1, 2022 #143 Noel wa ruben said: Ngoja ntaipitia maaana mimi ni yangaaa. Click to expand... Na unampenda mchezaji gani? Tipimazembeee ahahahah
Noel wa ruben said: Ngoja ntaipitia maaana mimi ni yangaaa. Click to expand... Na unampenda mchezaji gani? Tipimazembeee ahahahah
Kipangaspecial JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 20,778 Reaction score 28,722 Jan 1, 2022 #144 JokaKuu said: ..ni jambo ambalo anatakiwa alitengee muda. Click to expand... Akiendelea kupuyanga atawapoteza hata wapuuzi wachache wanaofuatilia vihotuba vyake. Sent using Jamii Forums mobile app
JokaKuu said: ..ni jambo ambalo anatakiwa alitengee muda. Click to expand... Akiendelea kupuyanga atawapoteza hata wapuuzi wachache wanaofuatilia vihotuba vyake. Sent using Jamii Forums mobile app
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 Jan 1, 2022 #145 Daudi Mchambuzi said: Unaweza kufikiri ikikua hotuba ya kwenye kitchen party Click to expand... Hotuba au risala mkuu?
Daudi Mchambuzi said: Unaweza kufikiri ikikua hotuba ya kwenye kitchen party Click to expand... Hotuba au risala mkuu?
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 34,188 Reaction score 62,952 Jan 1, 2022 #146 Kipangaspecial said: Akiendelea kupuyanga atawapoteza hata wapuuzi wachache wanaofuatilia vihotuba vyake. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... ..hawezi kukosa watetezi. ..unakumbuka waliokuwa wakitetea hotuba za kilugha za Jpm? ..Tz Raisi huwa hakosei.🤣🤣
Kipangaspecial said: Akiendelea kupuyanga atawapoteza hata wapuuzi wachache wanaofuatilia vihotuba vyake. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... ..hawezi kukosa watetezi. ..unakumbuka waliokuwa wakitetea hotuba za kilugha za Jpm? ..Tz Raisi huwa hakosei.🤣🤣
greenwoods JF-Expert Member Joined Sep 21, 2020 Posts 2,328 Reaction score 3,955 Jan 1, 2022 #147 Samia kasema tuna akiba zaidi ya usd6000 dah hatari sana
S sambulugu JF-Expert Member Joined Jun 1, 2021 Posts 4,485 Reaction score 8,562 Jan 1, 2022 Thread starter #148 Stuxnet said: Hotuba za kiwerevu ndiyo zipi? Zile za kusema "Baki na mavi yako nyumbani"? Ndiyo mnataka? Uwezo wenu wa kufikiri umeathiriwa na dikteta wa Chato. Go to hell as well Click to expand... Jipange kabla hujaleta hoja zako humu!
Stuxnet said: Hotuba za kiwerevu ndiyo zipi? Zile za kusema "Baki na mavi yako nyumbani"? Ndiyo mnataka? Uwezo wenu wa kufikiri umeathiriwa na dikteta wa Chato. Go to hell as well Click to expand... Jipange kabla hujaleta hoja zako humu!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 2, 2022 #149 Hapangiwi...