..ni jambo ambalo anatakiwa alitengee muda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujuaji usio na tija
Na unampenda mchezaji gani? Tipimazembeee ahahahahNgoja ntaipitia maaana mimi ni yangaaa.
Akiendelea kupuyanga atawapoteza hata wapuuzi wachache wanaofuatilia vihotuba vyake...ni jambo ambalo anatakiwa alitengee muda.
Hotuba au risala mkuu?Unaweza kufikiri ikikua hotuba ya kwenye kitchen party
Akiendelea kupuyanga atawapoteza hata wapuuzi wachache wanaofuatilia vihotuba vyake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jipange kabla hujaleta hoja zako humu!Hotuba za kiwerevu ndiyo zipi? Zile za kusema "Baki na mavi yako nyumbani"? Ndiyo mnataka?
Uwezo wenu wa kufikiri umeathiriwa na dikteta wa Chato. Go to hell as well