Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna umoja partyKinachoendelea kwa Serikali ya CCM na CCM yenyewe ni mwendo wa maridhiano ili nchi itulie kila anayekula na kipofu asiguswe mkono.
Kama hiyo ndiyo njia muafaka iliyochaguliwa basi hakuna haja ya kujenga chuki na waasisi wa Umoja Party inayoendelea nchini kutafuta wadhamini Ili hatimaye kipate usajili wa kudumu.
Chama hiki kina watu wenye fedha, wenye akili, wenye maono waliojaa kila mahali ikiwemo Baraza lako la Mawaziri. Kiko kwenye vyombo vya ulinzi na usalama, nyumba za ibada, mabalozi nakadhalika. Kinaamini katika Fikra za Hayati Magufuli.
Kwa mipango Yao, mikakati Yao ni kwamba utatumia nguvu nyingi 2025 kushinda Uchaguzi. JK kakushauri uungane na Chadema ili kuepusha chama hiki kuja kuungana na Chadema maana wako ndani CCM. Lakini ushauri wangu Bora kufanya maridhiano na Umoja Party kuliko wapinzani njaa ambao bila asali msingefunga ndoa hiyo maana Umoja Party tayari wana asali ya kutosha. Tafakari, chukua hatua kungali mapema.
ACHENI UJINGA Umoja party ni nini?Kimesajiliwa lini Kina bendera rangi gani Ofisi zake ziko wapi Viongozi wake ni kina nani?Kinachoendelea kwa Serikali ya CCM na CCM yenyewe ni mwendo wa maridhiano ili nchi itulie kila anayekula na kipofu asiguswe mkono.
Kama hiyo ndiyo njia muafaka iliyochaguliwa basi hakuna haja ya kujenga chuki na waasisi wa Umoja Party inayoendelea nchini kutafuta wadhamini Ili hatimaye kipate usajili wa kudumu.
Chama hiki kina watu wenye fedha, wenye akili, wenye maono waliojaa kila mahali ikiwemo Baraza lako la Mawaziri. Kiko kwenye vyombo vya ulinzi na usalama, nyumba za ibada, mabalozi nakadhalika. Kinaamini katika Fikra za Hayati Magufuli.
Kwa mipango Yao, mikakati Yao ni kwamba utatumia nguvu nyingi 2025 kushinda Uchaguzi. JK kakushauri uungane na Chadema ili kuepusha chama hiki kuja kuungana na Chadema maana wako ndani CCM. Lakini ushauri wangu Bora kufanya maridhiano na Umoja Party kuliko wapinzani njaa ambao bila asali msingefunga ndoa hiyo maana Umoja Party tayari wana asali ya kutosha. Tafakari, chukua hatua kungali mapema.
Hao Umoja Party ni kina nani na wako wapi?Kinachoendelea kwa Serikali ya CCM na CCM yenyewe ni mwendo wa maridhiano ili nchi itulie kila anayekula na kipofu asiguswe mkono.
Kama hiyo ndiyo njia muafaka iliyochaguliwa basi hakuna haja ya kujenga chuki na waasisi wa Umoja Party inayoendelea nchini kutafuta wadhamini Ili hatimaye kipate usajili wa kudumu.
Chama hiki kina watu wenye fedha, wenye akili, wenye maono waliojaa kila mahali ikiwemo Baraza lako la Mawaziri. Kiko kwenye vyombo vya ulinzi na usalama, nyumba za ibada, mabalozi nakadhalika. Kinaamini katika Fikra za Hayati Magufuli.
Kwa mipango Yao, mikakati Yao ni kwamba utatumia nguvu nyingi 2025 kushinda Uchaguzi. JK kakushauri uungane na Chadema ili kuepusha chama hiki kuja kuungana na Chadema maana wako ndani CCM. Lakini ushauri wangu Bora kufanya maridhiano na Umoja Party kuliko wapinzani njaa ambao bila asali msingefunga ndoa hiyo maana Umoja Party tayari wana asali ya kutosha. Tafakari, chukua hatua kungali mapema.
Kwani 2015 Lowassa alisajiliwa?ACHENI UJINGA Umoja party ni nini?Kimesajiliwa lini Kina bendera rangi gani Ofisi zake ziko wapi Viongozi wake ni kina nani?
Kinachoendelea kwa Serikali ya CCM na CCM yenyewe ni mwendo wa maridhiano ili nchi itulie kila anayekula na kipofu asiguswe mkono.
Kama hiyo ndiyo njia muafaka iliyochaguliwa basi hakuna haja ya kujenga chuki na waasisi wa Umoja Party inayoendelea nchini kutafuta wadhamini Ili hatimaye kipate usajili wa kudumu.
Chama hiki kina watu wenye fedha, wenye akili, wenye maono waliojaa kila mahali ikiwemo Baraza lako la Mawaziri. Kiko kwenye vyombo vya ulinzi na usalama, nyumba za ibada, mabalozi nakadhalika. Kinaamini katika Fikra za Hayati Magufuli.
Kwa mipango Yao, mikakati Yao ni kwamba utatumia nguvu nyingi 2025 kushinda Uchaguzi. JK kakushauri uungane na Chadema ili kuepusha chama hiki kuja kuungana na Chadema maana wako ndani CCM. Lakini ushauri wangu Bora kufanya maridhiano na Umoja Party kuliko wapinzani njaa ambao bila asali msingefunga ndoa hiyo maana Umoja Party tayari wana asali ya kutosha.
Hakuna kufanya maridhiano na wahalifuKinachoendelea kwa Serikali ya CCM na CCM yenyewe ni mwendo wa maridhiano ili nchi itulie kila anayekula na kipofu asiguswe mkono.
Kama hiyo ndiyo njia muafaka iliyochaguliwa basi hakuna haja ya kujenga chuki na waasisi wa Umoja Party inayoendelea nchini kutafuta wadhamini Ili hatimaye kipate usajili wa kudumu.
Chama hiki kina watu wenye fedha, wenye akili, wenye maono waliojaa kila mahali ikiwemo Baraza lako la Mawaziri. Kiko kwenye vyombo vya ulinzi na usalama, nyumba za ibada, mabalozi nakadhalika. Kinaamini katika Fikra za Hayati Magufuli.
Kwa mipango Yao, mikakati Yao ni kwamba utatumia nguvu nyingi 2025 kushinda Uchaguzi. JK kakushauri uungane na Chadema ili kuepusha chama hiki kuja kuungana na Chadema maana wako ndani CCM. Lakini ushauri wangu Bora kufanya maridhiano na Umoja Party kuliko wapinzani njaa ambao bila asali msingefunga ndoa hiyo maana Umoja Party tayari wana asali ya kutosha. Tafakari, chukua hatua kungali mapema.
Kama mna makende kweli, tokeni nje ya CCM mumkosoe Samia au mkosoeni Samia huko ndani ya CCM, sio mnajificha kwa ID fake kisha mnaomba maridhianoHata bila usajili kina nguvu sana. Miongoni mwao yumo Ayubu aliyewahi kuongoza moja ya mhimili wa Dola, anaijua nchi.
Kwani UMOJA PARTY kina usajili?Kina mgogoro gani na CCM mpaka WAFANYE MARIDHIANO?Acheni kumchosha RAIS wetu na Chama UchwaraKinachoendelea kwa Serikali ya CCM na CCM yenyewe ni mwendo wa maridhiano ili nchi itulie kila anayekula na kipofu asiguswe mkono.