Rais Samia fanya maridhiano pia na "Umoja Party", usidanganye kuwa kimekufa

Mama : 10 yrs kuanzia 2025,hakuna Umoja Party wala Umbili Party,kimjini tunasema imekula kwao.
We look forward for a coalition Govt CCM na CHADEMA
 
hakuna umoja party
 
ACHENI UJINGA Umoja party ni nini?Kimesajiliwa lini Kina bendera rangi gani Ofisi zake ziko wapi Viongozi wake ni kina nani?
 
Hao Umoja Party ni kina nani na wako wapi?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 

kwendraaaaaaaa huko sukuma GANG nyie
 
Hakuna kufanya maridhiano na wahalifu
Kama hamna njaa tokeni ndani ya CCM mumpinge Samia waziwazi, kenge nyie
Sabaya atanyea sana ndoo
 
Hata bila usajili kina nguvu sana. Miongoni mwao yumo Ayubu aliyewahi kuongoza moja ya mhimili wa Dola, anaijua nchi.
Kama mna makende kweli, tokeni nje ya CCM mumkosoe Samia au mkosoeni Samia huko ndani ya CCM, sio mnajificha kwa ID fake kisha mnaomba maridhiano
 
Kwani UMOJA PARTY kina usajili?Kina mgogoro gani na CCM mpaka WAFANYE MARIDHIANO?Acheni kumchosha RAIS wetu na Chama Uchwara
 
Siyo kimekufa hicho chama hakipo ni cha kufikirika. Kama kipo weka hapa usajili wake. Hivi Sukuma Gang Nani aliyewaroga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…