Rais Samia: Fedha ambazo zingegharamia Sherehe za miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, zigawanywe sawa

Rais Samia: Fedha ambazo zingegharamia Sherehe za miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, zigawanywe sawa

Muungano My foot,sijawahi ona faida ya huu muungano

Fanyeni biashara halafu ndio mtajua kuwa hamna muungano

ushubwada tu wakuwapa watu pesa ambazo hawakustahili kupewa

wateseke wengine,waumie wengine eti kisa na wewe n mwanafamilia Upewe tu.

Zanzibar ina rais wake ina serikali yake Muungano ni kama "kumbukumbu tu" ya kilichotokeaga

ila haimaanishi kwamba raslimali za Bara ziende zanzibar,Bi mkubwa kazingua tena kazingua kweli kweli.
 
Back
Top Bottom