ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #61
Madeni yapi yaliyozidi? UmekurupukaKwa hiyo madeni yamemzidi sasa anaanza kuelewa. Ndugai aliposema walitaka kumla nyama mbichi mbichi.
Kama yapi yanayopangwa na Wazungu?Unategemea mazao ambayo yanapangwa na wazungu,..
Kinachoendelea ni Biashara kunoga unless wewe utueleze ulichokiona huko NjombeNchi inaongozwa kwa hisia sana, Viongozi wanafuata upepo utakapowapeleka .
Waliwahi kuzungumzia parachichi katika muktadha huu huu, Je unaelewa nini kinaendelea kwa wakulima wa Parachichi huko Njombe?
Rais hakatai mikopo anataka kupunguza mikopo ya masharti na hajaanza Leo kusema hayaUchaguzi umekaribia ndiyo anajidai kukataa mikopo na kujipendekeza kwa wakulima 🤣 akili kumkichwa
Wakomae na zao la Korosho ambalo limeonyesha kustawi nchi nzimaAkizjnhumza baada ya Kutembelea Shamba la Kampuni ya Aviv Tanzania Limited,Rais Samia ameonesha kufurahishwa na mafanikio ya sekta ya Kilimo hususani zao la Kahawa.
Rais amesema kwamba uwekezaji kwenye sekta ya Kilimo ukiofanywa na Serikali yake umeanza kuzaa matunda kwani uzalishaji wa kahawa umeongezeka kutoka tani 65,000 Hadi 80,000 na kwamba mauzo ya bidhaa za kahawa Nje ya Nchi itazalida Dola 250(zaidi ya Bilioni 600) ambazo pengine Serikali ingekopa hivyo kutoa wito kuongeza uzalishaji wa mazao ya Kilimo kibiashara Ili kupunguza utegemezi wa mikopo Nje ya Nchi.
View: https://www.instagram.com/p/DATOLzwCZmZ/?igsh=cnp4NXY1bXFlZnI5
My Take
Naunga mkono hoja.Serikali ie deles kuwekeza zaidi kwenye sekta ya Kilimo kwani Ina nafasi ya kuipatia Nchi pesa Nyingi zaidi kuliko sekta zingine.
Hii ni njia sahihi ikiwa Serikali imegundua hili so Wizara ya Mipango ihakikishe kunakuwa na consistency sio Kila Rais anakuja na vipaombele vyake.Mfano huyu Kilimo mwingine madaraka, hatuwezi kumaliza umaskini bila kuwa na muendelezo wa vipaombele vyenye Tija.
#SSH# Anatosha na chenji inabaki.Tuwakatae Mabeberu na vibaraka wao.
Pia soma Bashe: Rais hataki utani, amedhamiria kuleta mapinduzi ya kilimo kupitia umwagiliaji
Mimi ni new member lakini kwa ulivyoandika nafikiri wewe ni mtumishi wa CCM, Guess what ? Tutaishia kubishana tu kaka ..Kinachoendelea ni Biashara kunoga unless wewe utueleze ulichokiona huko Njombe
Pamoja na hilo zao ila Kwa Sasa kufuta ndio inaongoza kuingizia Nchi Fedha za Kigeni zaiis ya Trilioni 1.5 Kwa mwaka.Wakomae na zao la Korosho ambalo limeonyesha kustawi nchi nzima
Jikite kwenye hoja iliyoko mezaniMimi ni new member lakini kwa ulivyoandika nafikiri wewe ni mtumishi wa CCM, Guess what ? Tutaishia kubishana tu kaka ..
Wanaoamua bei ya Pamba,kahawa etc ni akina nani?Kama yapi yanayopangwa na Wazungu?
Ni wanunuzi au kiufupi soko la Dunia tena kwenye mfumo Wetu wa TMX.Wanaoamua being ya Pamba,kahawa etc ni akina nani?
Sawa, wacha nitulie zangu tuli mkereketwa ..Jikite kwenye hoja iliyoko mezani
🚮🚮Sawa, wacha nitulie zangu tuli mkereketwa ..
Naitafuta block huku siioni
HujaelewekaSijasoma hadi mwisho lakini kama mheshimiwa Rais ndo anatambua kuwa kilimo chenye tija kinaweza kutukomboa kutoka kwenye makucha ya mikopo na kuuza rasilimali za nchi basi ni dhahiri njia tumeishaiacha long time.
Na wanunuzi wakuu ni hao haoNi wanunuzi au kiufupi soko la Dunia tena kwenye mfumo Wetu wa TMX.
Kakudanganya nani?Na wanunuzi wakuu ni hao hao
Amechoka kujichetua....Akizungumza baada ya Kutembelea Shamba la Kampuni ya Aviv Tanzania Limited,Rais Samia ameonesha kufurahishwa na mafanikio ya sekta ya Kilimo hususani zao la Kahawa.
Rais amesema kwamba uwekezaji kwenye sekta ya Kilimo ukiofanywa na Serikali yake umeanza kuzaa matunda kwani uzalishaji wa kahawa umeongezeka kutoka tani 65,000 Hadi 80,000 na kwamba mauzo ya bidhaa za kahawa Nje ya Nchi itazalida Dola 250(zaidi ya Bilioni 600) ambazo pengine Serikali ingekopa hivyo kutoa wito kuongeza uzalishaji wa mazao ya Kilimo kibiashara Ili kupunguza utegemezi wa mikopo Nje ya Nchi.
View: https://www.instagram.com/p/DATOLzwCZmZ/?igsh=cnp4NXY1bXFlZnI5
My Take
Naunga mkono hoja.Serikali ie deles kuwekeza zaidi kwenye sekta ya Kilimo kwani Ina nafasi ya kuipatia Nchi pesa Nyingi zaidi kuliko sekta zingine.
Hii ni njia sahihi ikiwa Serikali imegundua hili so Wizara ya Mipango ihakikishe kunakuwa na consistency sio Kila Rais anakuja na vipaombele vyake.Mfano huyu Kilimo mwingine madaraka, hatuwezi kumaliza umaskini bila kuwa na muendelezo wa vipaombele vyenye Tija.
#SSH# Anatosha na chenji inabaki.Tuwakatae Mabeberu na vibaraka wao.
Pia soma Bashe: Rais hataki utani, amedhamiria kuleta mapinduzi ya kilimo kupitia umwagiliaji
Mavi ni wewe na waliokuzaa.
Sekta binafsi ni pamoja na peasants na Serikali inafanya kazi kuwasapoti wote.