Rais Samia: Fedha za Mauzo ya Mazao ya Kilimo Kama Kahawa Zitatusaidia Kuondoa Utegemezi wa Mikopo Yenye Masharti Kutoka Nje.

Nchi inaongozwa kwa hisia sana, Viongozi wanafuata upepo utakapowapeleka .

Waliwahi kuzungumzia parachichi katika muktadha huu huu, Je unaelewa nini kinaendelea kwa wakulima wa Parachichi huko Njombe?
Kinachoendelea ni Biashara kunoga unless wewe utueleze ulichokiona huko Njombe
 
Akizjnhumza baada ya Kutembelea Shamba la Kampuni ya Aviv Tanzania Limited,Rais Samia ameonesha kufurahishwa na mafanikio ya sekta ya Kilimo hususani zao la Kahawa.

Rais amesema kwamba uwekezaji kwenye sekta ya Kilimo ukiofanywa na Serikali yake umeanza kuzaa matunda kwani uzalishaji wa kahawa umeongezeka kutoka tani 65,000 Hadi 80,000 na kwamba mauzo ya bidhaa za kahawa Nje ya Nchi itazalida Dola 250(zaidi ya Bilioni 600) ambazo pengine Serikali ingekopa hivyo kutoa wito kuongeza uzalishaji wa mazao ya Kilimo kibiashara Ili kupunguza utegemezi wa mikopo Nje ya Nchi.

View: https://www.instagram.com/p/DATOLzwCZmZ/?igsh=cnp4NXY1bXFlZnI5

My Take
Naunga mkono hoja.Serikali ie deles kuwekeza zaidi kwenye sekta ya Kilimo kwani Ina nafasi ya kuipatia Nchi pesa Nyingi zaidi kuliko sekta zingine.

Hii ni njia sahihi ikiwa Serikali imegundua hili so Wizara ya Mipango ihakikishe kunakuwa na consistency sio Kila Rais anakuja na vipaombele vyake.Mfano huyu Kilimo mwingine madaraka, hatuwezi kumaliza umaskini bila kuwa na muendelezo wa vipaombele vyenye Tija.

#SSH# Anatosha na chenji inabaki.Tuwakatae Mabeberu na vibaraka wao.

Pia soma Bashe: Rais hataki utani, amedhamiria kuleta mapinduzi ya kilimo kupitia umwagiliaji

Wakomae na zao la Korosho ambalo limeonyesha kustawi nchi nzima
 
Sijasoma hadi mwisho lakini kama mheshimiwa Rais ndo anatambua kuwa kilimo chenye tija kinaweza kutukomboa kutoka kwenye makucha ya mikopo na kuuza rasilimali za nchi basi ni dhahiri njia tumeishaiacha long time.
 
Hujaeleweka
 
Watunyime tu misaada ili akili itukae sawa
Kama hamjaona tunapeleka mihogo wenyewe kwa mashua zetu mpaka china
Cheza na njaa wewe
Kuna mataifa wamepitia shida ila wakajifunza in a hard way
 
Akizungumza baada ya Kutembelea Shamba la Kampuni ya Aviv Tanzania Limited,Rais Samia ameonesha kufurahishwa na mafanikio ya sekta ya Kilimo hususani zao la Kahawa.

Rais amesema kwamba uwekezaji kwenye sekta ya Kilimo ukiofanywa na Serikali yake umeanza kuzaa matunda kwani uzalishaji wa kahawa umeongezeka kutoka tani 65,000 Hadi 80,000 na kwamba mauzo ya bidhaa za kahawa Nje ya Nchi itazalida Dola 250(zaidi ya Bilioni 600) ambazo pengine Serikali ingekopa hivyo kutoa wito kuongeza uzalishaji wa mazao ya Kilimo kibiashara Ili kupunguza utegemezi wa mikopo Nje ya Nchi.

View: https://www.instagram.com/p/DATOLzwCZmZ/?igsh=cnp4NXY1bXFlZnI5

My Take
Naunga mkono hoja.Serikali ie deles kuwekeza zaidi kwenye sekta ya Kilimo kwani Ina nafasi ya kuipatia Nchi pesa Nyingi zaidi kuliko sekta zingine.

Hii ni njia sahihi ikiwa Serikali imegundua hili so Wizara ya Mipango ihakikishe kunakuwa na consistency sio Kila Rais anakuja na vipaombele vyake.Mfano huyu Kilimo mwingine madaraka, hatuwezi kumaliza umaskini bila kuwa na muendelezo wa vipaombele vyenye Tija.

#SSH# Anatosha na chenji inabaki.Tuwakatae Mabeberu na vibaraka wao.

Pia soma Bashe: Rais hataki utani, amedhamiria kuleta mapinduzi ya kilimo kupitia umwagiliaji

Amechoka kujichetua....
 
Back
Top Bottom