Rais Samia, fukuza walioukuletea jina la mtu asiye na sifa ili umteue

Mama asafishe watu waliokuwa chini yake, Tena wamemleta huyo kijana CV ndogo ili kuonyesha hayuko serious. Sasa kukumbatia watu wa zamani tena wengi wasiomwamini ni shida
 
Je walio aminiwa kuwa bora hawakuwa bora kwa mtu bora.
Maana kwa sasa aliye bora anaamini watu bora
 
Mmm ya chadema kwenu yamewashinda ya akina Halima Mdee toka lini wewe ukageuka mshauri wa CCM?
Yafaa tuwasaidie ushauri hata wakati huu ambao,macho yenu yameanza kuona na masikio yameanza kusikia hata shingo zenu zinaweza kugeuka pande zote.msiposikia tena hamna bahati.
 
Naunga mkono hoja 100%
 
Sukuma Gang wanamhujumu sana Mama.
 

Naunga mkono hoja.
 
Mimi nashauri awaache asiwafukuze. Akifanya hivyo ataanza kutengeneza kundi jipya la upinzani la watu walio karibu naye, ndani ya kipindi cha muda mfupi muno. Nashauri asitishe teuzi zingine mpya, kama zilikuwa zipo. Asikilizie tuseme hata kwa muda wa miezi mitatu hivi
 
Failure ambayo samia kaonyesha mwanzoni kabisa ni hii hapa.! Hata week 3 hana ofisini.
 
Mamlaka za vetting ivunjwe, inaonyesha ina udini, mfumo dume na haiko serious
Imejaa wahuni wa UVCCM, na kazi yao nadhani ni kubebana ili watengeneze mtandao wao wa Urais 2025, hayo ndio madhara sasa ya kujaza wahuni kwenye sector nyeti,
Akitaka twende vizuri ,atimue wahuni wote atafute watu smart wa kufanya nao kazi asiangalie uchama kama alivyokuwa anafanya mwendazake
 
supply chain ya uteuzi aifanye iwe ndefu na self policing.Bora kuchelewa kuwapata wateuliwa lakini tupate watu bora.Mama bado anayo nafasi ya kufanya vizuri , ni kawaida kwa kazi mpya hizo ndiyo changamoto lakini zitafanyiwa kazi na mama atatufikisha Kanani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…