ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kama anajua Kuna njaa akalime,ndio maana nimesema wafe tuu.Mkuu upo sahihi,nilime mimi harafu mtu baki eti anasema tuzuie mahindi yasitoke nje.
Nonsense acha kuendekeza ulofa fanya kazi.
Shamba ununue wewe,wafanyakazi uwalipe wewe.
Mbolea ununuwe wewe.
Washauri wa kilimo uwalipe wewe.
Anakuja kinyangarika mtu baki ETI funga mipaka ili yeye aendelee kula bila kunawa.
Fia mbali kuliko kuendekeza uvivu wa akili na uwezo.