Rais Samia funga mipaka haraka, huu ni mwaka wa ukame, hatuwezi kupiga kura na njaa tumboni

Kama anajua Kuna njaa akalime,ndio maana nimesema wafe tuu.
 
Wazo zuri ila umechelewa mkuu, kuna mamia ya matruck ya kizambia pale songea yanabebelea mahindi to zambia kama haya akili nzuri.
 
Kuna sehemu Gunia la mahindi ni 75k hadi 90k. Mpunga gunia ni 120k

Na ni sehemu inayozalisha hayo mazao kwa wingi.
Kujua bei ya mazao huwa haitoshelezi taarifa kuhusu mazao. Lazima ijulikane ni wapi? Pia gharama za usafirishaji kwenye canter au fuso au semi trela scania kutoka eneo lenye mazao kama mahindi,mpunga kuelekea kwenye mikoa mingine kama Dar, Mwanza, Dodoma, Pwani n.k
 
Wazo zuri ila umechelewa mkuu, kuna mamia ya matruck ya kizambia pale songea yanabebelea mahindi to zambia kama haya akili nzuri.
Nenda nawewe songea ukalime Ili matruck hayo yabebe nayakwako!Waziri Bashe shikilia hapohapo mpaka mkulima naye atajirike
 
Ningefurahi hiyo njaa ingeanza kukuua wewe na familia yako ya wavivu. Mkulima amenyeke halafu mpuuzi kama wewe useme mipaka ifungwe? Ulishindwa nini kulima?
 
Kama anajua Kuna njaa akalime,ndio maana nimesema wafe tuu.
Kama Tanzania itapunguza wavivu kwa asilimia 20 tu tutakuwa viogozi kinara wa uchumi Africa Mashariki.
Tukipunguza uvivu kwa asilimia 50 tutakuwa no. 2 kwa uchumi bora SADAC.
Na tukiweza kupunguza uvivu kwa asilimia 80 tutakuwa per na viwango bora vya European Union.
 
Kwa 4R zake hata msipopiga kura atawekwa madarakani na vyombo vya ulinzi na usalama.
 
Kwa hio watu walime mahindi wakivuja jasho na damu, wewe unataka ule ugali wa bei chee! wakulima waachwe wapige pesa. Kwani bei za vifaa vya ujenzi au petrol kipanda si huwa tunaachia nguvu ya soko?. Ili Tanzania iwe na wakulima serious, iachane na kuzuia usafirishaji chakula nje, kila mmoja ale eneo lake la kazi.
 
Kuna sehemu Gunia la mahindi ni 75k hadi 90k. Mpunga gunia ni 120k

Na ni sehemu inayozalisha hayo mazao kwa wingi.
Hii ni dalili kuwa huu mwaka njaa ipo
 
Haya bana,utauza mahindi yote baadae ukose hata hela ya kununulia chakula familia
 
Reactions: Cyb
Huu ni muda wa kila mmoja kukununua vyakula yaani chakula kinachouzwa mbeya, songea, morogoro na mikoa mingine mtu kujinunulia aweke kinachomtosha ndani hawezi mpaka asaidiwe na usalama wa taifa?
 
Kuna sehemu Gunia la mahindi ni 75k hadi 90k. Mpunga gunia ni 120k

Na ni sehemu inayozalisha hayo mazao kwa wingi.
Peleka uongo wako hukooo
Muongo mkubwa wewe kwa nn hutaji hayo maeneo
 
Ningefurahi hiyo njaa ingeanza kukuua wewe na familia yako ya wavivu. Mkulima amenyeke halafu mpuuzi kama wewe useme mipaka ifungwe? Ulishindwa nini kulima?
We kenge mimi nalima japo ni kazi ya laana,sitegemei kilimo mimi sio mvivu kama wewe,huu uzi najua utafanyiwa kazI
 
Kuna watu hapa JF ukiwasoma mada zao za ccm na raisi.
nahisi tunasoma
 
Tunalinda Viongozi na Chama inatosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…