Rais Samia funga mipaka haraka, huu ni mwaka wa ukame, hatuwezi kupiga kura na njaa tumboni

Ninadhani umesikika. Umesomwa na umeeleweka bila shaka watatekeleza.
 
Huu mwaka asee sijui itakuwaje Mvua zimegoma...MUNGU asaidie March ishuke
 
Unalimia jf? Hapa natoka shambani mpitimbi
Sasa km unasema unataka shambani kwanini unasema inauza mahindi yake,serikali ni dalali wa mahindi ya wakulima,wenye mahindi ni mm na wewe unapotaka serikali ifunge mipaka hujui unajifungia mipaka mwenyewe?
 
Umelima? Au unataka waliolima waumie kwa faida yenu? Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…