MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Mama anaupiga mwingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku ukiweza kutofautisha ",utawala" yaani regime na "uongozi" yaani leadership utakua umekomboka kifikra! Nilitahadharisha tu lazima utakuja na hii takataka bila kuja na expected outcomes na government position kufikia swala sio tu la watu milioni 300 kupata umeme lakini accessibility, reliability na affordability ya umeme! Na Tanzania Ina role Gani kama kutakua na inter-territory grid ukizingatia kwamba Tanzania tuna JNHP Power plant!Watu wana raha na furaha kubwa sana katika utawala huu wa Rais Samia. Kwa sababu ni utawala na uongozi wenye kuleta matumaini hai kwa watu.
Utapasuka wrwukiona hivyo ngoma inakaribia pasuka
Wivu tu ndio unakusumbuaHuyu Rais wako ni kama huwa unamkebehi hivi..
Haya uliyoyaandika hapa yamefanywa na yanaendelea kufanywa na serikali yetuSiku ukiweza kutofautisha ",utawala" yaani regime na "uongozi" yaani leadership utakua umekomboka kifikra! Nilitahadharisha tu lazima utakuja na hii takataka bila kuja na expected outcomes na government position kufikia swala sio tu la watu milioni 300 kupata umeme lakini accessibility, reliability na affordability ya umeme! Na Tanzania Ina role Gani kama kutakua na inter-territory grid ukizingatia kwamba Tanzania tuna JNHP Power plant!
Ni namna Gani serikali inastabilize price ya umeme na installation cost Ili Kila Mtanzania aweze kupata umeme! Nilitegemea ungekuja na advisory approach kwamba how natural gas available itajengewa mazingira Ili itumike majumbani na Kwa gharama nafuu Ili kulinda mazingira Kwa kuepuka matumizi ya Kuni mkaa, unakuja na ngojera zinazoishia kwenye ulimi na hazileti matokeo yoyote katika taifa! Watu wanakuja na kwenda lakini ideas zinaishi milele. Badala ya mitungi ya gesi kugawiwa Kwa misingi ya kuwa na Kadi ya chama Cha Mapinduzi, serikali Ione ni namna Gani unaweka Ruzuku Ili Kila Mtanzania mwenye kutaka aweze kuwa na access badala ya Kadi ya Chama kuwa Ndio national id!
Bei ya kufanya refuelling iwe rafiki zaidi Kwa watumishi na sio kunufaisha family business partners kama kina Rostam na Taifa gas yake! Agenda ya upandaji miti na unoreshaji wa mazingira sambamba na utunzaji wa mazingira Ili maji yawepo muda wote sababu wewe na mama mmekua narrow thinkers in 21st century katika nchi iliyojaa sources kama geothermal, solar and wind Bado mnategemea maji na nchi mara kadhaa inaingia katika ukame?
In short kama hukuona hayo Ndio maswala ya msingi ambayo yabgebadilisha maisha ya watanzania kiuchumi na kijamii! Wewe ni takataka na a waster sperm!
Trump amezuia Misaada ya Kwa hisani ya watu wa Marekani! Mjipange
Wa kumshangaa ni aliyekuteua kuwa msemaji wa mungu. Hebu tueleze pia ni kwanini huyo mungu aliyempa kibali SSH akaongoza nchi kwa ufanisi unaoushadidia anaangalia tu kinachoendelea huko DRC pasipokuchukua hatua ilhali uwezo (na labda nia) anao.Ndugu zangu Watanzania,
Unaweza kushindana na yeyote yule na ukafanikiwa kushinda vita yako. Lakini kamwe huwezi kushindana na mtu ambaye anapiganiwa,kutetewa na kulindwa na Mungu. Huwezi kushindana na mtu mwenye kibali na aliyeinuliwa na Mungu Mwenyewe. Huwezi kushindana na Mtu aliye na Mungu ndani yake.
Rais Samia ni Mama aliyeinuliwa na Mungu,Mwenye kibali cha Mungu mkononi Mwake na aliye na Mungu ndani yake. Waweza kusema kuwa Mungu amejifunua machoni pa Rais Samia na kumpatia njia na maarifa ya namna ya kuongoza Taifa hili katika namna inayogusa Maisha ya watu na kuwapatia matokeo Chanya yenye Matumaini.
Ni ngumu sana kuzuia hisia za upendo za watu kwa mtu fulani. Kwa sasa bila kuficha wala kupepesa macho kwa hakika Rais Samia amedhihirisha ni anapendwa na watu haijapata kutokea.Mama anakubalika kuwahi tokea kwa kiongozi yeyote yule. Mama ameiteka Mioyo ya watu utafikiri kainasa kwa Sumaku.
Ni Mama Samia katika vyombo vya habari,mitandao ya kijamii na mitaani. Mama anazungumzwa na watu kwa mazuri pasipo kukauka midomoni mwa watu utafikiri kuna chemchemi ya maji ibubushayo Maji yenye mlio wa Jina la Rais Samia midomoni Mwa watu muda Wote.
Rais Samia ndiye amekuwa habari ya mitaani na vilingeni na hata magengeni na kila Sehemu yenye mkusanyiko wa watu. Kinachozungumzwa na watu ni juu ya uchapakazi wake,uthubutu wake, umadhubuti, ushupavu,uimara na uhodari wake kiuongozi anao endelea kuuonyesha.
Amekuwa ndiye shujaa wa Afrika aliyebadilika kuwa habari kuu ya Afrika katika habari zote muhimu za Bara la Afrika. Kila mmoja anatamani Mama huyu angezaliwa katika Nchi yao ili awaongozo.
Watu wanastaajabu namna alivyo mbunifu ,mwenye Maono ,akili kubwa na upeo wa hali ya juu sana. Wanashangaa namna alivyo na mipango mikakati yenye uwezo ya kuliinua Bara la Afrika na kulifanya likajitegemea lenyewe kwa kila kitu pasipo kuhitaji misaada ya Wazungu yenye masharti ya kila aina.
Mama Samia analifungua Bara la Afrika kifikira na kilionyesha kuwa linaweza kutembea kwa miguu yake kwa kutumia utajiri uliojaa katika ardhi ya Bara la Afrika. Kwa hakika Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe kuja kuliinua Taifa letu na Bara zima la Afrika.View attachment 3216890cz
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili. ,
🤣😂🤣😂😂😂😂😂🤣😂Nasema Uongo Ndugu ZanguMama Abduli ni liability kwa watanzania.
Nikuonee wivu wewe taahira?Wivu tu ndio unakusumbua
Sijui kateuliwa nafasi gani? Kwani Rais haoni anachofanya huyu bwana? Au anayoyafanya humu ndio ajira yake? Kweli, kuwa chawa lazima uwe hamnazo!Haujabubujikwa na machozi?
Unapokuwa na watu wajinga na hawana akili kama Lucas Mwashambwa unategemea nchi itakuwa laini?Nchi ngumu hii
Ametoka kuwa PS wa UWT sahivi ni VEO amepata ajira Decemba 2024Sijui kateuliwa nafasi gani? Kwani Rais haoni anachofanya huyu bwana? Au anayoyafanya humu ndio ajira yake? Kweli, kuwa chawa lazima uwe hamnazo!
Hili jitu ni shetani kabisa halina akili timamuHaya ndo madhara ya kuzaa watoto kisa tamaa ya chips kavu na mirinda nyeusi ya bariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiidi
Bibi Titi must goRais Samia ni Mama aliyeinuliwa na Mungu