Rais Samia Gumzo Barani Afrika. Awa Kama chemchemi ya Maji Isiyokauka Midomoni Mwa Watu

Huku raia Wana njaa!
Boda na bajaj hakuna kuingia mjini kisa ujio!
Matumizi ya serikali makubwa mno kisa kwenda kutafuta mikopo!
Loliondo na sehemu kadhaa kupewa waarabu!
Ikulu kuwekwa watu wa leaders club kumsaidia ABDUL!
Watu kutekwa, hapa na nje kisa kumkosoa!
Safari za nje bwelele kwa kutumia kodi za mlalahoi!
Huduma za kijamii kuzorota na kutetewa na machawa wake!

KWELI MAMA AWA GUMZO!
RAIA WAKILIA NJAA ANASEMA NA KUAMRISHA WAPEWE KEKI!
🀬🀬🀬🀬🀬
 
Watu wana raha na furaha kubwa sana katika utawala huu wa Rais Samia. Kwa sababu ni utawala na uongozi wenye kuleta matumaini hai kwa watu.
Siku ukiweza kutofautisha ",utawala" yaani regime na "uongozi" yaani leadership utakua umekomboka kifikra! Nilitahadharisha tu lazima utakuja na hii takataka bila kuja na expected outcomes na government position kufikia swala sio tu la watu milioni 300 kupata umeme lakini accessibility, reliability na affordability ya umeme! Na Tanzania Ina role Gani kama kutakua na inter-territory grid ukizingatia kwamba Tanzania tuna JNHP Power plant!
Ni namna Gani serikali inastabilize price ya umeme na installation cost Ili Kila Mtanzania aweze kupata umeme! Nilitegemea ungekuja na advisory approach kwamba how natural gas available itajengewa mazingira Ili itumike majumbani na Kwa gharama nafuu Ili kulinda mazingira Kwa kuepuka matumizi ya Kuni mkaa, unakuja na ngojera zinazoishia kwenye ulimi na hazileti matokeo yoyote katika taifa! Watu wanakuja na kwenda lakini ideas zinaishi milele. Badala ya mitungi ya gesi kugawiwa Kwa misingi ya kuwa na Kadi ya chama Cha Mapinduzi, serikali Ione ni namna Gani unaweka Ruzuku Ili Kila Mtanzania mwenye kutaka aweze kuwa na access badala ya Kadi ya Chama kuwa Ndio national id!
Bei ya kufanya refuelling iwe rafiki zaidi Kwa watumishi na sio kunufaisha family business partners kama kina Rostam na Taifa gas yake! Agenda ya upandaji miti na unoreshaji wa mazingira sambamba na utunzaji wa mazingira Ili maji yawepo muda wote sababu wewe na mama mmekua narrow thinkers in 21st century katika nchi iliyojaa sources kama geothermal, solar and wind Bado mnategemea maji na nchi mara kadhaa inaingia katika ukame?

In short kama hukuona hayo Ndio maswala ya msingi ambayo yabgebadilisha maisha ya watanzania kiuchumi na kijamii! Wewe ni takataka na a waster sperm!

Trump amezuia Misaada ya Kwa hisani ya watu wa Marekani! Mjipange
 
Haya uliyoyaandika hapa yamefanywa na yanaendelea kufanywa na serikali yetu
 
Wa kumshangaa ni aliyekuteua kuwa msemaji wa mungu. Hebu tueleze pia ni kwanini huyo mungu aliyempa kibali SSH akaongoza nchi kwa ufanisi unaoushadidia anaangalia tu kinachoendelea huko DRC pasipokuchukua hatua ilhali uwezo (na labda nia) anao.
 
mwenye picha ya watz wakibubujikwa na machoz jamani ili kunogesha mada ya bwana lucasπŸ˜πŸ˜πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Sawa Mkuu! Mama anatosha!
 

Attachments

  • images (7).jpeg
    12.3 KB · Views: 3
Sijui kateuliwa nafasi gani? Kwani Rais haoni anachofanya huyu bwana? Au anayoyafanya humu ndio ajira yake? Kweli, kuwa chawa lazima uwe hamnazo!
Ametoka kuwa PS wa UWT sahivi ni VEO amepata ajira Decemba 2024
 
Waziri wa fedha wa Marekani anatumia public transport lakini DC wa Ikungi ana msafara wa magari kumi kwenda kukagua choo cha shule, akili za kipumbavu sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…