Rais Samia hahusiki kupanda kwa bei ya mafuta, zijue sababu za kweli

Joined
Sep 17, 2021
Posts
39
Reaction score
84
Bei za mafuta duniani zimepanda hali ambayo imeathiri pia bei za mafuta hapa Tanzania.

Kupanda kwa bei za mafuta sio jambo geni, limewahi kutokea mara nyingi duniani. Na mara nyingi sio suala la nchi moja, athari zake hufika duniani kote.

Tumekuwekea sababu 5 ambazo kihistoria na uhalisia, huwa zinapelekea kupanda kwa bei hizo duniani:

1. Ushawishi wa OPEC
OPEC ni jumuiya ya nchi zinazosafirisha mafuta (Organization of Petroleum Exporting Countries). Kwa sasa jumuiya hiyo inaundwa na nchi 13: Algeria, Angola, Congo, Guinea ya Ikweta, Gabon, Iran, Iraq, Kuwait, Libya, Nigeria, Saudi Arabia, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na Venezuela.

Kwa mujibu wa takwimu za OPEC hadi kufikia mwaka 2018, nchi za OPEC zinasambaza tarkibani 80% ya mafuta yanayotumika ulimwenguni. Jumuiya hiyo ina nguvu kubwa katika kuamua kushuka au kupanda kwa bei za mafuta duniani. Mfano, mwaka 2014, OPEC ilisema itahakikisha bei ya pipa la mafuta lazima ibaki kuwa zaidi ya dola 100 za Kimarekani, lakini mwaka huo huo walishindwa kupunguza uzalishaji wa mafuta na kufanya bei ya pipa moja iwe chini ya dola 50 za Kimarekani, kinyume na mpango wao wa awali wa kuweka bei juu ya hapo ili kupunguza matumizi ya mafuta.

Mwaka 2021, nchi za Marekani na India ambazo ni watumiaji wakubwa wa mafuta zilijaribu kuishwishi OPEC kuongeza ugavi wa mafuta duniani ili kukabialiana na uhaba uliopo, OPEC hawajakubaliana na Marekani na India, hivyo mafuta yanaonekana kutofikia mahitaji ya ulimwengu na kupelekea bei kuwa juu.

2. Majanga ya Asili
Majanga yanaweza kusababisha bei za mafuta kupanda kwa kiasi kikubwa. Kwa mfano, mwaka 2005 kimbunga cha Katrina kilipoikumba Marekani, usambazaji wa mafuta katika taifa hilo uliathirika kwa 20% na kusababisha bei za mafuta kupanda kwa dola 23.56 za Kimarekani.
Katika ulimwengu wa leo, kati ya majanga yaliyochangia sana kupanda kwa bei za mafuta ni janga la UVIKO-19 linaloikumba dunia yote.

3. Machafuko ya Kisiasa
Mwaka 2008, bei ya pipa la mafuta ilipanda hadi dola za Kimarekani 128, kufuatia vita nchini Afghanistan na Iraq. Mashariki ya Kati inazalisha sehemu kubwa ya mafuta yanayotumika duniani, vita katika eneo hilo huwa na athari katika bei ya mafuta.
Mwaka 2021 machafuko nchini Afghanistan yalifanya bei ya mafuta duniani iwe juu sana.

Hivi sasa vita kati ya Urusi na Ukraine imeleta madhara makubwa zaidi. Urusi ni kati ya wasambazaji wakubwa wa mafuta ulimwenguni na hivyo vita waliyoingia imekuwa kaa la moto kwa ulimwengu wote.

4. Gharama za Uzalishaji
Gharama za uzalishaji wa mafuta zinatofautiana, uzalishaji katika nchi za Mashariki ya Kati ni wa gharama nafuu sana ukilinganisha na uzalishaji katika nchi kama Canada na Marekani. Uzalishaji katika nchi zenye gharama ndogo za uzalishaji unapoyumba, bei hupanda kwani mafuta yanayosambazwa hutoka katika nchi zenye gharama kubwa kiuzalishaji.

5. Ugavi na Mahitaji
Kanuni ya ugavi na mahitaji (Supply and Demand) huathiri sekta ya mafuta kama ilivyo kwa bidhaa nyingine. Kuna wakati ambapo dunia inahitaji zaidi kuliko kiwango kinachozalishwa na kusambazwa na hivyo bei huwa juu. Wakati mwingine mafuta yanayozalishwa na kusambazwa huwa mengi kuliko kiasi kinachotajika na hivyo bei huwa chini, kama ilivyotokea mwaka 2014 ambapo nchi za Ulaya na China zilikuwa na mahitaji madogo ya mafuta wakati nchi za OPEC zinazalisha mafuta kwa wingi.

Wakati huu, mahitaju ya mafuta duniani yako juu mno ukilinganisha na kiwango kinachozalishwa. Nchini Kenya kwa mfano, watu hukusanyika kwa wingi kwenye vituo vya mafuta wakiweka foleni ndefu kujaribu kupata mafuta ambayo bei yake imekuwa juu mno.

72307314.jpg
 
Tutaelewa bas...sikuzote watoto tunamtazama mama
 
Pitisheni magari ya matangazo mitaani muongee huo ujinga yaani mkuu wa nchi mara tatu unawakumbusha wafanyabishara wapandishe bei halafu zbar wanahangaika kushusha? Hana nia njema na sisi
 
Bei za mafuta duniani zimepanda hali ambayo imeathiri pia bei za mafuta hapa Tanzania.

Kupanda kwa bei za mafuta sio jambo geni, limewahi kutokea mara nyingi duniani. Na mara nyingi sio suala la nchi moja, athari zake hufika duniani kote...
Ndugu acha kutudanganya. Mafuta procurement yake ni tofauti na kununua mchele. Wakati mwingine kununua na kusafirisha na kupakua huchukua zaidi ya siku 30.

Hapa kuna michongo ya watu. Crude brent inasoma 105 usd. Hilo ni ongezeko la dola kama kumi mpaka kumi na tano toka bei waliyonunulia zamani.

Nafikiri tunahitaji kutengeneza kiwanda cha kurefine mafuta ghafi. Hapa raisi anaweza kutupunguzia machungu. KWANI ZANZIBAR WANAVUNA MAFUTA? MBONA BEI YAO NAFUU? Acheni kutudanganya. We are powerless not STUPID
 
Bei za mafuta duniani zimepanda hali ambayo imeathiri pia bei za mafuta hapa Tanzania.

Kupanda kwa bei za mafuta sio jambo geni, limewahi kutokea mara nyingi duniani. Na mara nyingi sio suala la nchi moja, athari zake hufika duniani kote.

Tumekuwekea sababu 5 ambazo kihistoria na uhalisia, huwa zinapelekea kupanda kwa bei hizo duniani:

1. Ushawishi wa OPEC

OPEC ni jumuiya ya nchi zinazosafirisha mafuta (Organization of Petroleum Exporting Countries). Kwa sasa jumuiya hiyo inaundwa na nchi 13: Algeria, Angola, Congo, Guinea ya Ikweta, Gabon, Iran, Iraq, Kuwait, Libya, Nigeria, Saudi Arabia, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na Venezuela.
Kwa mujibu wa takwimu za OPEC hadi kufikia mwaka 2018, nchi za OPEC zinasambaza tarkibani 80% ya mafuta yanayotumika ulimwenguni. Jumuiya hiyo ina nguvu kubwa katika kuamua kushuka au kupanda kwa bei za mafuta duniani. Mfano, mwaka 2014, OPEC ilisema itahakikisha bei ya pipa la mafuta lazima ibaki kuwa zaidi ya dola 100 za Kimarekani, lakini mwaka huo huo walishindwa kupunguza uzalishaji wa mafuta na kufanya bei ya pipa moja iwe chini ya dola 50 za Kimarekani, kinyume na mpango wao wa awali wa kuweka bei juu ya hapo ili kupunguza matumizi ya mafuta.
Mwaka 2021, nchi za Marekani na India ambazo ni watumiaji wakubwa wa mafuta zilijaribu kuishwishi OPEC kuongeza ugavi wa mafuta duniani ili kukabialiana na uhaba uliopo, OPEC hawajakubaliana na Marekani na India, hivyo mafuta yanaonekana kutofikia mahitaji ya ulimwengu na kupelekea bei kuwa juu.

2. Majanga ya Asili

Majanga yanaweza kusababisha bei za mafuta kupanda kwa kiasi kikubwa. Kwa mfano, mwaka 2005 kimbunga cha Katrina kilipoikumba Marekani, usambazaji wa mafuta katika taifa hilo uliathirika kwa 20% na kusababisha bei za mafuta kupanda kwa dola 23.56 za Kimarekani.
Katika ulimwengu wa leo, kati ya majanga yaliyochangia sana kupanda kwa bei za mafuta ni janga la UVIKO-19 linaloikumba dunia yote.

3. Machafuko ya Kisiasa

Mwaka 2008, bei ya pipa la mafuta ilipanda hadi dola za Kimarekani 128, kufuatia vita nchini Afghanistan na Iraq. Mashariki ya Kati inazalisha sehemu kubwa ya mafuta yanayotumika duniani, vita katika eneo hilo huwa na athari katika bei ya mafuta.
Mwaka 2021 machafuko nchini Afghanistan yalifanya bei ya mafuta duniani iwe juu sana.

Hivi sasa vita kati ya Urusi na Ukraine imeleta madhara makubwa zaidi. Urusi ni kati ya wasambazaji wakubwa wa mafuta ulimwenguni na hivyo vita waliyoingia imekuwa kaa la moto kwa ulimwengu wote.

4. Gharama za Uzalishaji

Gharama za uzalishaji wa mafuta zinatofautiana, uzalishaji katika nchi za Mashariki ya Kati ni wa gharama nafuu sana ukilinganisha na uzalishaji katika nchi kama Canada na Marekani. Uzalishaji katika nchi zenye gharama ndogo za uzalishaji unapoyumba, bei hupanda kwani mafuta yanayosambazwa hutoka katika nchi zenye gharama kubwa kiuzalishaji.

5. Ugavi na Mahitaji

Kanuni ya ugavi na mahitaji (Supply and Demand) huathiri sekta ya mafuta kama ilivyo kwa bidhaa nyingine. Kuna wakati ambapo dunia inahitaji zaidi kuliko kiwango kinachozalishwa na kusambazwa na hivyo bei huwa juu. Wakati mwingine mafuta yanayozalishwa na kusambazwa huwa mengi kuliko kiasi kinachotajika na hivyo bei huwa chini, kama ilivyotokea mwaka 2014 ambapo nchi za Ulaya na China zilikuwa na mahitaji madogo ya mafuta wakati nchi za OPEC zinazalisha mafuta kwa wingi.
Wakati huu, mahitaju ya mafuta duniani yako juu mno ukilinganisha na kiwango kinachozalishwa. Nchini Kenya kwa mfano, watu hukusanyika kwa wingi kwenye vituo vya mafuta wakiweka foleni ndefu kujaribu kupata mafuta ambayo bei yake imekuwa juu mno.

Mnakopi points za essays za history. Usisahau kuweka contacts.
 
Kwani hao viongozi wa nchi nyingine wanao chukua hatua za kuwasaidia wananchi wao wapambane na mfumuko wa bei wanahusika na kupanda kwa bei ya bidhaa nchini mwao?
 
Pitisheni magari ya matangazo mitaani muongee huo ujinga yaani mkuu wa nchi mara tatu unawakumbusha wafanyabishara wapandishe bei halafu zbar wanahangaika kushusha? Hana nia njema na sisi
Ni kweli, anataka kuwakomoa watanzania maana walimlilia sana Dkt Magufuli na bado wanaya moyoni ya kumkumbuka, so anataka watesekeeeeeee halafu atakuja na msaada wa kusema yeye ndiye mkombozi na watu watamsahau sasa Dkt Magufuli
 
sikuhizi magari na pikipiki yanashinda nyumba kupiga umbea na mama mwenye nyumba hadi yanatoa siri safari zote zilizokuwa zinaendwa na mwenye gari.😂😂😂
 
Bei za mafuta duniani zimepanda hali ambayo imeathiri pia bei za mafuta hapa Tanzania.

Kupanda kwa bei za mafuta sio jambo geni, limewahi kutokea mara nyingi duniani. Na mara nyingi sio suala la nchi moja, athari zake hufika duniani kote.

Tumekuwekea sababu 5 ambazo kihistoria na uhalisia, huwa zinapelekea kupanda kwa bei hizo duniani:

1. Ushawishi wa OPEC
OPEC ni jumuiya ya nchi zinazosafirisha mafuta (Organization of Petroleum Exporting Countries). Kwa sasa jumuiya hiyo inaundwa na nchi 13: Algeria, Angola, Congo, Guinea ya Ikweta, Gabon, Iran, Iraq, Kuwait, Libya, Nigeria, Saudi Arabia, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na Venezuela.

Kwa mujibu wa takwimu za OPEC hadi kufikia mwaka 2018, nchi za OPEC zinasambaza tarkibani 80% ya mafuta yanayotumika ulimwenguni. Jumuiya hiyo ina nguvu kubwa katika kuamua kushuka au kupanda kwa bei za mafuta duniani. Mfano, mwaka 2014, OPEC ilisema itahakikisha bei ya pipa la mafuta lazima ibaki kuwa zaidi ya dola 100 za Kimarekani, lakini mwaka huo huo walishindwa kupunguza uzalishaji wa mafuta na kufanya bei ya pipa moja iwe chini ya dola 50 za Kimarekani, kinyume na mpango wao wa awali wa kuweka bei juu ya hapo ili kupunguza matumizi ya mafuta.

Mwaka 2021, nchi za Marekani na India ambazo ni watumiaji wakubwa wa mafuta zilijaribu kuishwishi OPEC kuongeza ugavi wa mafuta duniani ili kukabialiana na uhaba uliopo, OPEC hawajakubaliana na Marekani na India, hivyo mafuta yanaonekana kutofikia mahitaji ya ulimwengu na kupelekea bei kuwa juu.

2. Majanga ya Asili
Majanga yanaweza kusababisha bei za mafuta kupanda kwa kiasi kikubwa. Kwa mfano, mwaka 2005 kimbunga cha Katrina kilipoikumba Marekani, usambazaji wa mafuta katika taifa hilo uliathirika kwa 20% na kusababisha bei za mafuta kupanda kwa dola 23.56 za Kimarekani.
Katika ulimwengu wa leo, kati ya majanga yaliyochangia sana kupanda kwa bei za mafuta ni janga la UVIKO-19 linaloikumba dunia yote.

3. Machafuko ya Kisiasa
Mwaka 2008, bei ya pipa la mafuta ilipanda hadi dola za Kimarekani 128, kufuatia vita nchini Afghanistan na Iraq. Mashariki ya Kati inazalisha sehemu kubwa ya mafuta yanayotumika duniani, vita katika eneo hilo huwa na athari katika bei ya mafuta.
Mwaka 2021 machafuko nchini Afghanistan yalifanya bei ya mafuta duniani iwe juu sana.

Hivi sasa vita kati ya Urusi na Ukraine imeleta madhara makubwa zaidi. Urusi ni kati ya wasambazaji wakubwa wa mafuta ulimwenguni na hivyo vita waliyoingia imekuwa kaa la moto kwa ulimwengu wote.

4. Gharama za Uzalishaji
Gharama za uzalishaji wa mafuta zinatofautiana, uzalishaji katika nchi za Mashariki ya Kati ni wa gharama nafuu sana ukilinganisha na uzalishaji katika nchi kama Canada na Marekani. Uzalishaji katika nchi zenye gharama ndogo za uzalishaji unapoyumba, bei hupanda kwani mafuta yanayosambazwa hutoka katika nchi zenye gharama kubwa kiuzalishaji.

5. Ugavi na Mahitaji
Kanuni ya ugavi na mahitaji (Supply and Demand) huathiri sekta ya mafuta kama ilivyo kwa bidhaa nyingine. Kuna wakati ambapo dunia inahitaji zaidi kuliko kiwango kinachozalishwa na kusambazwa na hivyo bei huwa juu. Wakati mwingine mafuta yanayozalishwa na kusambazwa huwa mengi kuliko kiasi kinachotajika na hivyo bei huwa chini, kama ilivyotokea mwaka 2014 ambapo nchi za Ulaya na China zilikuwa na mahitaji madogo ya mafuta wakati nchi za OPEC zinazalisha mafuta kwa wingi.

Wakati huu, mahitaju ya mafuta duniani yako juu mno ukilinganisha na kiwango kinachozalishwa. Nchini Kenya kwa mfano, watu hukusanyika kwa wingi kwenye vituo vya mafuta wakiweka foleni ndefu kujaribu kupata mafuta ambayo bei yake imekuwa juu mno.

Acha propaganda bro. Tunajua na hata Mama anajua kuwa gharama ya kuagiza na kushusha Lita 1 ya mafuta Bandari Dar es Salaam HAIZIDI Kati ya Tshs 1200~1300! We unajua Hilo? Au wewe nI lile kundi la Sukuma Gang mnaotaka kuendelea kuwanyonya Watz?
Oneni aibu!!!
 
Ishu sio kuhusika,anatakiwa asolve tatizo lililo mbele yake
 
Ni mjinga tu ndiye atamlaumu Samia kupanda kwa bei ya mafuta.
Wajinga hoyeee!!!
That's why you call yourself, "sexless". You really don't have the feelings!!
Samia ni Rais anasimamia SERIKALI ya CCM! Hali yoyote ngumu ya kiuchumi, Mfumuko wa bei, kupanda bei ya mafuta ya kula na magari na vyakula, Samia anahusika kwa 100 %.
Ni wajinga tu kama ww ndo watasema Rais Samia hahusiki!!
Kama PM kaitisha kikao usiku wa ma8 kuzungumzia bei ya mafuta unamtengaje Samia na Hilo???
Hatutaki akili za kukurupuka!!!
 
Ila anahusika tu pale miradi inapofanyika

Utasikia Rais ametoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa hospitali yaani kila kitu ni chake.

Hata kwenye hili linamhusu.

Anao wajibu wa kuhakikisha kuwa watanzania hawapati madhara makubwa yatokanayo na mfumuko wa bei.

Kama hataki hili limhusu basi asijihusishe na fedha zozote katika miradi ya maendeleo.

Itangazwe tu kuwa fedha zinatoka kwa wananchi.
 
1 Litre of Petrol

1.Total cost CIF to Dar port 1,162
2. Wharfage 20.5
3. Railway devl levy 19.4
5. Customs processing fee 6.0
5. Weights & measures fee 5.6
6. TBS charge 10.0
7. TASAC fee 8.7
8. EWURA fee 9.0
9. Fuel making 16.0
10. Demurrage costs 8.0
11. Surveyors cost 8.00
12. Financial cost 17.0
13. Evaporation losses 6.5
14. Fuel levy 513.00
15. Excise duty 479.0
16. Petroleum fee 180.0
17. Oil marketing companies 163.0
18. Charges to executive agencies 6.0
19. Service levy to LGA 6.7
20. Retailers margin (profit) 210.5
21. Transport charges (local) 50.5

Total Levy 1,743.4
Plus TC 1,162

Total cost 2,905.4 @Wabunge wetu,huo mzigo wa 1,743.4 yote mlaji wa mwisho,Wananchi wenu wanakwenda kulipa kwa kila lita moja ya mafuta, yaani kodi ni kubwa kuliko bei halisi ya mafuta🤣 Tanzania nchi yaanguu..!

Kodi zote za nini hizi
 
Rais hahusiki na mfumuko huu wa bei kwahiyo aendelee na safari zake za kubembea na mashoga zake sio?
 
Kama PM kaitisha kikao usiku wa ma8 kuzungumzia bei ya mafuta unamtengaje Samia na Hilo???
Kwahiyo PM kuitisha kikao usiku kuzungumzia bei ya mafuta ndiyo ishara kwamba serikali inahusika?? Sasa kama serikali inahusika inafanya vikao vya nn?
Narudia tena serikali haihusiki na kupanda kwa bei ya mafuta.

Hii ni global crisis. Cha kufanya tuionbe serikali ibebe mzigo wa ongezeko hilo kwa kutoa ruzuku kwenye mafuta, ama kuondoa baadhi ya kodi kwa muda. Japo Jambo hili pia inabidi lifanyike kwa akili sana lisije likazaa matatizo mengine.
 
Back
Top Bottom