Rais Samia hahusiki kupanda kwa bei ya mafuta, zijue sababu za kweli

1 Litre of Petrol

1.Total cost CIF to Dar port 1,162
2. Wharfage 20.5
3. Railway devl levy 19.4
5. Customs processing fee 6.0
5. Weights & measures fee 5.6
6. TBS charge 10.0
7. TASAC fee 8.7
8. EWURA fee 9.0
9. Fuel making 16.0
10. Demurrage costs 8.0
11. Surveyors cost 8.00
12. Financial cost 17.0
13. Evaporation losses 6.5
14. Fuel levy 513.00
15. Excise duty 479.0
16. Petroleum fee 180.0
17. Oil marketing companies 163.0
18. Charges to executive agencies 6.0
19. Service levy to LGA 6.7
20. Retailers margin (profit) 210.5
21. Transport charges (local) 50.5

Total Levy 1,743.4
Plus TC 1,162

Total cost 2,905.4 @Wabunge wetu,huo mzigo wa 1,743.4 yote mlaji wa mwisho,Wananchi wenu wanakwenda kulipa kwa kila lita moja ya mafuta, yaani kodi ni kubwa kuliko bei halisi ya mafuta🤣 Tanzania nchi yaanguu..!

Kodi zote za nini hizi
(22)Guarding dogs at the port charges 8.2
 
Bei za mafuta duniani zimepanda hali ambayo imeathiri pia bei za mafuta hapa Tanzania.

Kupanda kwa bei za mafuta sio jambo geni, limewahi kutokea mara nyingi duniani. Na mara nyingi sio suala la nchi moja, athari zake hufika duniani kote.

Tumekuwekea sababu 5 ambazo kihistoria na uhalisia, huwa zinapelekea kupanda kwa bei hizo duniani:

1. Ushawishi wa OPEC
OPEC ni jumuiya ya nchi zinazosafirisha mafuta (Organization of Petroleum Exporting Countries). Kwa sasa jumuiya hiyo inaundwa na nchi 13: Algeria, Angola, Congo, Guinea ya Ikweta, Gabon, Iran, Iraq, Kuwait, Libya, Nigeria, Saudi Arabia, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na Venezuela.

Kwa mujibu wa takwimu za OPEC hadi kufikia mwaka 2018, nchi za OPEC zinasambaza tarkibani 80% ya mafuta yanayotumika ulimwenguni. Jumuiya hiyo ina nguvu kubwa katika kuamua kushuka au kupanda kwa bei za mafuta duniani. Mfano, mwaka 2014, OPEC ilisema itahakikisha bei ya pipa la mafuta lazima ibaki kuwa zaidi ya dola 100 za Kimarekani, lakini mwaka huo huo walishindwa kupunguza uzalishaji wa mafuta na kufanya bei ya pipa moja iwe chini ya dola 50 za Kimarekani, kinyume na mpango wao wa awali wa kuweka bei juu ya hapo ili kupunguza matumizi ya mafuta.

Mwaka 2021, nchi za Marekani na India ambazo ni watumiaji wakubwa wa mafuta zilijaribu kuishwishi OPEC kuongeza ugavi wa mafuta duniani ili kukabialiana na uhaba uliopo, OPEC hawajakubaliana na Marekani na India, hivyo mafuta yanaonekana kutofikia mahitaji ya ulimwengu na kupelekea bei kuwa juu.

2. Majanga ya Asili
Majanga yanaweza kusababisha bei za mafuta kupanda kwa kiasi kikubwa. Kwa mfano, mwaka 2005 kimbunga cha Katrina kilipoikumba Marekani, usambazaji wa mafuta katika taifa hilo uliathirika kwa 20% na kusababisha bei za mafuta kupanda kwa dola 23.56 za Kimarekani.
Katika ulimwengu wa leo, kati ya majanga yaliyochangia sana kupanda kwa bei za mafuta ni janga la UVIKO-19 linaloikumba dunia yote.

3. Machafuko ya Kisiasa
Mwaka 2008, bei ya pipa la mafuta ilipanda hadi dola za Kimarekani 128, kufuatia vita nchini Afghanistan na Iraq. Mashariki ya Kati inazalisha sehemu kubwa ya mafuta yanayotumika duniani, vita katika eneo hilo huwa na athari katika bei ya mafuta.
Mwaka 2021 machafuko nchini Afghanistan yalifanya bei ya mafuta duniani iwe juu sana.

Hivi sasa vita kati ya Urusi na Ukraine imeleta madhara makubwa zaidi. Urusi ni kati ya wasambazaji wakubwa wa mafuta ulimwenguni na hivyo vita waliyoingia imekuwa kaa la moto kwa ulimwengu wote.

4. Gharama za Uzalishaji
Gharama za uzalishaji wa mafuta zinatofautiana, uzalishaji katika nchi za Mashariki ya Kati ni wa gharama nafuu sana ukilinganisha na uzalishaji katika nchi kama Canada na Marekani. Uzalishaji katika nchi zenye gharama ndogo za uzalishaji unapoyumba, bei hupanda kwani mafuta yanayosambazwa hutoka katika nchi zenye gharama kubwa kiuzalishaji.

5. Ugavi na Mahitaji
Kanuni ya ugavi na mahitaji (Supply and Demand) huathiri sekta ya mafuta kama ilivyo kwa bidhaa nyingine. Kuna wakati ambapo dunia inahitaji zaidi kuliko kiwango kinachozalishwa na kusambazwa na hivyo bei huwa juu. Wakati mwingine mafuta yanayozalishwa na kusambazwa huwa mengi kuliko kiasi kinachotajika na hivyo bei huwa chini, kama ilivyotokea mwaka 2014 ambapo nchi za Ulaya na China zilikuwa na mahitaji madogo ya mafuta wakati nchi za OPEC zinazalisha mafuta kwa wingi.

Wakati huu, mahitaju ya mafuta duniani yako juu mno ukilinganisha na kiwango kinachozalishwa. Nchini Kenya kwa mfano, watu hukusanyika kwa wingi kwenye vituo vya mafuta wakiweka foleni ndefu kujaribu kupata mafuta ambayo bei yake imekuwa juu mno.

Haya mafuta yanayouzwa Leo hapa Tanzania yalizalishwa na kuletwa kabla vita ya Ukraine haijaanza
 
1 Litre of Petrol

1.Total cost CIF to Dar port 1,162
2. Wharfage 20.5
3. Railway devl levy 19.4
5. Customs processing fee 6.0
5. Weights & measures fee 5.6
6. TBS charge 10.0
7. TASAC fee 8.7
8. EWURA fee 9.0
9. Fuel making 16.0
10. Demurrage costs 8.0
11. Surveyors cost 8.00
12. Financial cost 17.0
13. Evaporation losses 6.5
14. Fuel levy 513.00
15. Excise duty 479.0
16. Petroleum fee 180.0
17. Oil marketing companies 163.0
18. Charges to executive agencies 6.0
19. Service levy to LGA 6.7
20. Retailers margin (profit) 210.5
21. Transport charges (local) 50.5

Total Levy 1,743.4
Plus TC 1,162

Total cost 2,905.4 @Wabunge wetu,huo mzigo wa 1,743.4 yote mlaji wa mwisho,Wananchi wenu wanakwenda kulipa kwa kila lita moja ya mafuta, yaani kodi ni kubwa kuliko bei halisi ya mafuta🤣 Tanzania nchi yaanguu..!

Kodi zote za nini hizi
Duh! Umefanya kazi kweli! Watamwongopea mjinga siku hizi, hii ni shule tosha mkuu!
 
Fact,
 
Kwahiyo PM kuitisha kikao usiku kuzungumzia bei ya mafuta ndiyo ishara kwamba serikali inahusika?? Sasa kama serikali inahusika inafanya vikao vya nn?
Narudia tena serikali haihusiki na kupanda kwa bei ya mafuta.

Hii ni global crisis. Cha kufanya tuionbe serikali ibebe mzigo wa ongezeko hilo kwa kutoa ruzuku kwenye mafuta, ama kuondoa baadhi ya kodi kwa muda. Japo Jambo hili pia inabidi lifanyike kwa akili sana lisije likazaa matatizo mengine.
We kweli ni mburula! Unajivua mwenyewe halafu unaji chungulia mwenyewe!
Unapinga kitu halafu unarudi humohumo.
Niko sahihi serikali inahusika na hivo Samia anahusika! I we Ruzuku iwe kuondoa Kodi za kipuuzi Samia anahusika. Period!
 
Samia hahusiki kupandisha bei ya mafuta. Hizi kodi hazijawekwa na Samia. Zipo miaka dahali.

Hapo cha muhimu tumuombe mama aondoe kodi.
 
1 Litre of Petrol

1.Total cost CIF to Dar port 1,162
2. Wharfage 20.5
3. Railway devl levy 19.4
5. Customs processing fee 6.0
5. Weights & measures fee 5.6
6. TBS charge 10.0
7. TASAC fee 8.7
8. EWURA fee 9.0
9. Fuel making 16.0
10. Demurrage costs 8.0
11. Surveyors cost 8.00
12. Financial cost 17.0
13. Evaporation losses 6.5
14. Fuel levy 513.00
15. Excise duty 479.0
16. Petroleum fee 180.0
17. Oil marketing companies 163.0
18. Charges to executive agencies 6.0
19. Service levy to LGA 6.7
20. Retailers margin (profit) 210.5
21. Transport charges (local) 50.5

Total Levy 1,743.4
Plus TC 1,162

Total cost 2,905.4 @Wabunge wetu,huo mzigo wa 1,743.4 yote mlaji wa mwisho,Wananchi wenu wanakwenda kulipa kwa kila lita moja ya mafuta, yaani kodi ni kubwa kuliko bei halisi ya mafuta🤣 Tanzania nchi yaanguu..!

Kodi zote za nini hizi
Shame on CCM rulers and thy henchmen!!! Utitiri wote huo wa Kodi halafu vichaa Fulani hapa mtandaoni na Bungeni WANASINGIZIA VITA VA URUSI NA UKRAINE!! Nonsense!
 
Samia hahusiki kupandisha bei ya mafuta. Hizi kodi hazijawekwa na Samia. Zipo miaka dahali.

Hapo cha muhimu tumuombe mama aondoe kodi.
Mbona unamtetea Sana mamako? Samia anahusika! Hajaingia Serikalini leo! Amekuwa M/Rais kipindi Cha Magu mwendazake. Alikuwa haoni huo UTITIRI WA KODI????Jamani tuoneni aibu kutetea ujinga! Hate kama mamako au babako anakosea siyo dhambi kumkosoa!!
 
Kazi yake ni ipi Sasa kama hahusiki?

Yeye ni wakuvaa ushungi tu na kutoza TOZO?
 
Amekuwa M/Rais kipindi Cha Magu mwendazake. Alikuwa haoni huo UTITIRI WA KODI????
M/rais hana uwezo wa kupinga chochote. Ndiyo maana umeona mama amepindua Mambo mengi sana ya jiwe. Mfano amepindua issue ya kutumia tangawizi kuzuia korona iliyopendekezwa na jiwe badala yake kaleta chanjo. Yapo mengi aliyoyapindua
 
Ni wajinga tu ndio watasapoti upuuzi wa serikali Kama huu.
Serikali haihafanya Jambo lolote lililopelekea bei na naulikupanda. Vita ya Ukraine na Russia ndiyo chanzo cha yote haya.
 
Mbona wanapambana na panyarodi wakati haijawaleta!?
Watu wakifa na njaa serekali haihusiki?

Kama wajibu wako huujui huwwezi jua wajibu wa serekali kwa wananchi'

Kwenye hotuba ya kagame alisema "huu ndo muda wa kuonyesha serekali ipo kwa ajili ya kuwatetea na kuwalinda wnanchi wake"

Bei hapa kuwa kubwa na zenji kuwa ndogo inahusina vp na vita?

Ukiondoa haya matozo ya ajabu ajabu tunaweza uziwa mafuta 2,000 tu na itapelekea kushuka kwa bei za vitu vyoote.

Serekali ndo inawajibika kulinda kipato cha wananchi wake kwa kuzuia mfumuko wa bei.
 
M/rais hana uwezo wa kupinga chochote. Ndiyo maana umeona mama amepindua Mambo mengi sana ya jiwe. Mfano amepindua issue ya kutumia tangawizi kuzuia korona iliyopendekezwa na jiwe badala yake kaleta chanjo. Yapo mengi aliyoyapindua
Yapi? Kuongeza bei ya kuunganishiwa umeme?
Mbona unata moja tu?
 
Naimani akifiuta tozo zote za kwenye mafuta, lita moja itauzwa 900, badala ya 5500
 
Back
Top Bottom