Rais Samia hahusiki kupanda kwa bei ya mafuta, zijue sababu za kweli

(22)Guarding dogs at the port charges 8.2
 
Haya mafuta yanayouzwa Leo hapa Tanzania yalizalishwa na kuletwa kabla vita ya Ukraine haijaanza
 
Duh! Umefanya kazi kweli! Watamwongopea mjinga siku hizi, hii ni shule tosha mkuu!
 
Fact,
 
We kweli ni mburula! Unajivua mwenyewe halafu unaji chungulia mwenyewe!
Unapinga kitu halafu unarudi humohumo.
Niko sahihi serikali inahusika na hivo Samia anahusika! I we Ruzuku iwe kuondoa Kodi za kipuuzi Samia anahusika. Period!
 
Niko sahihi serikali inahusika na hivo Samia anahusika! I we Ruzuku iwe kuondoa Kodi za kipuuzi Samia anahusika. Period!
Samia hahusiki kupandisha bei ya mafuta. Hizi kodi hazijawekwa na Samia. Zipo miaka dahali.

Hapo cha muhimu tumuombe mama aondoe kodi.
 
Shame on CCM rulers and thy henchmen!!! Utitiri wote huo wa Kodi halafu vichaa Fulani hapa mtandaoni na Bungeni WANASINGIZIA VITA VA URUSI NA UKRAINE!! Nonsense!
 
Samia hahusiki kupandisha bei ya mafuta. Hizi kodi hazijawekwa na Samia. Zipo miaka dahali.

Hapo cha muhimu tumuombe mama aondoe kodi.
Mbona unamtetea Sana mamako? Samia anahusika! Hajaingia Serikalini leo! Amekuwa M/Rais kipindi Cha Magu mwendazake. Alikuwa haoni huo UTITIRI WA KODI????Jamani tuoneni aibu kutetea ujinga! Hate kama mamako au babako anakosea siyo dhambi kumkosoa!!
 
Kazi yake ni ipi Sasa kama hahusiki?

Yeye ni wakuvaa ushungi tu na kutoza TOZO?
 
Amekuwa M/Rais kipindi Cha Magu mwendazake. Alikuwa haoni huo UTITIRI WA KODI????
M/rais hana uwezo wa kupinga chochote. Ndiyo maana umeona mama amepindua Mambo mengi sana ya jiwe. Mfano amepindua issue ya kutumia tangawizi kuzuia korona iliyopendekezwa na jiwe badala yake kaleta chanjo. Yapo mengi aliyoyapindua
 
Ni wajinga tu ndio watasapoti upuuzi wa serikali Kama huu.
Serikali haihafanya Jambo lolote lililopelekea bei na naulikupanda. Vita ya Ukraine na Russia ndiyo chanzo cha yote haya.
 
Serikali haihafanya Jambo lolote lililopelekea bei na naulikupanda. Vita ya Ukraine na Russia ndiyo chanzo cha yote haya.
Mbona wanapambana na panyarodi wakati haijawaleta!?
Watu wakifa na njaa serekali haihusiki?

Kama wajibu wako huujui huwwezi jua wajibu wa serekali kwa wananchi'

Kwenye hotuba ya kagame alisema "huu ndo muda wa kuonyesha serekali ipo kwa ajili ya kuwatetea na kuwalinda wnanchi wake"

Bei hapa kuwa kubwa na zenji kuwa ndogo inahusina vp na vita?

Ukiondoa haya matozo ya ajabu ajabu tunaweza uziwa mafuta 2,000 tu na itapelekea kushuka kwa bei za vitu vyoote.

Serekali ndo inawajibika kulinda kipato cha wananchi wake kwa kuzuia mfumuko wa bei.
 
M/rais hana uwezo wa kupinga chochote. Ndiyo maana umeona mama amepindua Mambo mengi sana ya jiwe. Mfano amepindua issue ya kutumia tangawizi kuzuia korona iliyopendekezwa na jiwe badala yake kaleta chanjo. Yapo mengi aliyoyapindua
Yapi? Kuongeza bei ya kuunganishiwa umeme?
Mbona unata moja tu?
 
Naimani akifiuta tozo zote za kwenye mafuta, lita moja itauzwa 900, badala ya 5500
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…