Rais Samia: Haikuwa na maana kuchoma vifaranga wa kuku mpakani

Rais Samia: Haikuwa na maana kuchoma vifaranga wa kuku mpakani

Utalindaje wazalishaji wa ndani, bei za bidhaa nchi jirani ziko chini na mipaka ya nchi ipo wazi kila pembe kupitisha magendo, Tunaenda kuua viwanda vya ndani
Bei za wazalishaji wa ndani kwa wateja wao zipo juu sana,acha tu sukari iingie toka Uganda na wengineo karibuni sana,acha soko liamue sukari iuzwe kwa Tsh. ngapi badala ya hali ya sasa ilivyo,nawapenda sana Watanzania kuliko hata Tanzanzia yenyewe.
 
Rot in hell Magufuli.

Dahh..
IMG_5446.jpg
 
Lengo ni nini?
Kuonekana mwema?
Kwanini asi focus kwa yajayo na achane na ndwele zilizopita.
Chief Hangaya ni muhuni tu. Hata kuongoza SACCOS hawezi yule.

Huwezi kuongoza nchi kwa kudekezana. Lazima waovu waumie ili nchi isonge.

Ukiruhusu biashara haramu na za kinyemela unaua nchi. Watakushika makalio na watazoea.

Nchi inaongozwa kwa maamuzi magumu kama ikihitajika, na sio kwa urojo na kupeti peti MAJIZI na wahalifu.
 
Utalindaje wazalishaji wa ndani, bei za bidhaa nchi jirani ziko chini na mipaka ya nchi ipo wazi kila pembe kupitisha magendo, Tunaenda kuua viwanda vya ndani
Hangaya ni msanii tu wala hajui lolote kuhusu uchumi.

Nasikia alikuwa sekretari wa NGO anahudumia dawati la jinsia.

Halafu hapa anajitutumua kumpinga MKEMIA the Bulldozer JPM... !! Weee thubutuu!!

Hata huo mshahara tunaomlipa sijui kama anajua unatoka wapi. Yeye akifika hazina anachota tu anatia kwenye kapu anaruka kwenda zenji kutalii na kunywa kahawa.

This Hangaya woman is an illiterate FAT busy body. She is uneducated and lacks the necessary knowledge on how to run the economy.

Yeye ni kula kashata tu.
 
Utalindaje wazalishaji wa ndani, bei za bidhaa nchi jirani ziko chini na mipaka ya nchi ipo wazi kila pembe kupitisha magendo, Tunaenda kuua viwanda vya ndani
Haaa sisi tunataka ahueni ya maisha wakibana vitu visiingiie wazalishaji wa ndani wanashindwa tosheleza soko vitu vinapaa bei haishikiki au umesahau kipindi sukari ni adimu.
 
Mbona hatukamatwi?
Mnakamatwaje wakati nyie MAJIZI ndio mlioshika serikali? We ulisikia wapi JIZI linajikamata?

Halafu pia tutajifukizaje wakati kuna magunia ya dozi za chanjo zilizokuja na dollars!

Chezea dollars wewe! MAJIZI mnafakamia pesa za mzungu bila kunawa!

Wagonjwa wa corona wamefika wangapi sasa hivi? Laki ngapi?

Nasikia pia makaburi yamepanuka? Mnapanua viwanja vya makaburi ya wafu wa corona?
 
Utalindaje wazalishaji wa ndani, bei za bidhaa nchi jirani ziko chini na mipaka ya nchi ipo wazi kila pembe kupitisha magendo, Tunaenda kuua viwanda vya ndani
Viwanda vya NDANI viongeze ufanisi ili kupunguza gharama waweze kucompete! Kulinda viwanda vya NDANI kwa gharama ya kuwauwa Walala hoi haikubaliki na siyo haki!
 
Mnakamatwaje wakati nyie MAJIZI ndio mlioshika serikali? We ulisikia wapi JIZI linajikamata?

Halafu pia tutajifukizaje wakati kuna magunia ya dozi za chanjo zilizokuja na dollars!

Chezea dollars wewe! MAJIZI mnafakamia pesa za mzungu bila kunawa!

Wagonjwa wa corona wamefika wangapi sasa hivi? Laki ngapi?

Nasikia pia makaburi yamepanuka? Mnapanua viwanja vya makaburi ya wafu wa corona?
Acha wivu zamu yenu imepita
 
Back
Top Bottom