HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Amemshusha vipi? Kwani marehemu ndo alivichoma?Mama anapenda kumshusha marehemu ili ye aonekane mwema ni tabia mbaya sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amemshusha vipi? Kwani marehemu ndo alivichoma?Mama anapenda kumshusha marehemu ili ye aonekane mwema ni tabia mbaya sana.
acha vife vina manufaa gani kwanza kuzalisha masukari vipande vikubwa utadhani changarawe hayana hata utamu, vife tukagombanie miwa..Utalindaje wazalishaji wa ndani, bei za bidhaa nchi jirani ziko chini na mipaka ya nchi ipo wazi kila pembe kupitisha magendo, Tunaenda kuua viwanda vya ndani
Zamu yetu na nani?Acha wivu zamu yenu imepita
Mkuu roho mbaya tunapoelekea ukiendekeza kulinda bidhaa za ndani wakati wenzako wanaruhusu ushindani mtajikuta mna bidhaa nyingi za ndani zisizo na maana.Utalindaje wazalishaji wa ndani, bei za bidhaa nchi jirani ziko chini na mipaka ya nchi ipo wazi kila pembe kupitisha magendo, Tunaenda kuua viwanda vya ndani
bidhaa nyingine wanazalisha kwa kutumia mkaa au..Wakati Gharama ya umeme na kodi iko juu
Nasikia amemwambia Waziri wake wakilimo kuwa kutotoa vibari vya kuagiza sukari nje ni Nonsense.Chief Hangaya ni muhuni tu. Hata kuongoza SACCOS hawezi yule.
Huwezi kuongoza nchi kwa kudekezana. Lazima waovu waumie ili nchi isonge.
Ukiruhusu biashara haramu na za kinyemela unaua nchi. Watakushika makalio na watazoea.
Nchi inaongozwa kwa maamuzi magumu kama ikihitajika, na sio kwa urojo na kupeti peti MAJIZI na wahalifu.
Katika kongamano la biashara lililofanyika Ikulu jijini Dar es salaam ambalo limehusisha viongozi wawili wakubwa ambao ni Rais wa Uganda Yoweri Museveni na Rais wa Tanzania Samia Hassan Suluhu, Rais wa Tanzania Samia Suluhu amesema kwamba hakukuwa na haja ya kuchoma vifaranga waliokamatwa nchini Tanzania kutoka nchi jirani. Amesema pia kuna kipindi ilitokea pia Sukari kutoka nchi ya Uganda iligomewa na wafanya biashara kutoka Tanzania, hivyo amemueleza Rais Museven kwamba hivi sasa Sukari kutoka Uganda itanunuliwa na wafanyabiashara wa Tanzania!
Amehimiza pia kwamba vikwazo vya kibiashara kati ya nchi hizi mbili viondolewe!
Hayo yamesemwa wakati Kongamano hilo likifungwa.
Chief Hangaya ni "mjinga wa kiuchumi" . She is an ignoramus when it comes to economy.Nasikia amemwambia Waziri wake wakilimo kuwa kutotoa vibari vya kuagiza sukari nje ni Nonsense.
Sent using Jamii Forums mobile app
marehem nae alifanya hivyo hivyo kwa mtanguliz wakeMama anapenda kumshusha marehemu ili ye aonekane mwema ni tabia mbaya sana.
Mtangulizi wake alikuwa marehemu?marehem nae alifanya hivyo hivyo kwa mtanguliz wake
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Ndugu:Chief Hangaya ni "mjinga wa kiuchumi" . She is an ignoramus when it comes to economy.
Nchi zote zilizoendelea kiuchumi lazima zinazingatia ulinzi wa bidhaa za ndani.
Because otherwise you are going to be a dumping site. Bidhaa za ndani zitakufa na zitashuka thamani. Unaua uchumi wa wafanyabiashara.
Sijui kala maharage ya wapi huyu bibi! Mhhh!
Unajua sheria za kuingiza vitu kma hivyo kwa magendo???Daah! wale vifaranga walivyochomwa tukaambiwa eti wanamagonjwa, kumbe ilikuwa roho mbaya ya Bwana yule. Taratiiibu ukweli wa yaliyofichwa unaanza kuwekwa wazi! Soon hata wale wasiojulikana wanaojulikana maza atawasema siku moja mchana kweupe!
Sawa soko litaamua, lakini viwanda vya ndani vikifa hatupotezi viwanda tu tunapoteza vitu vingiBei za wazalishaji wa ndani kwa wateja wao zipo juu sana,acha tu sukari iingie toka Uganda na wengineo karibuni sana,acha soko liamue sukari iuzwe kwa Tsh. ngapi badala ya hali ya sasa ilivyo,nawapenda sana Watanzania kuliko hata Tanzanzia yenyewe.
To hell Magufuli!Rest in peace Magufuli.
Unajua sheria za kuingiza vitu kma hivyo kwa magendo???
Kaka umeongea point kubwa sana wazalishaji wa ndani wanatukamua kwelikweli ndo maana wanaogopa competition ila sasa wajipange waache mazoea( monopoly ) soko lenyewe liamue huku serikalii ijipange kudhibiti magendoBei za wazalishaji wa ndani kwa wateja wao zipo juu sana,acha tu sukari iingie toka Uganda na wengineo karibuni sana,acha soko liamue sukari iuzwe kwa Tsh. ngapi badala ya hali ya sasa ilivyo,nawapenda sana Watanzania kuliko hata Tanzanzia yenyewe.