Rais Samia: Haikuwa na maana kuchoma vifaranga wa kuku mpakani

Rais Samia: Haikuwa na maana kuchoma vifaranga wa kuku mpakani

Utalindaje wazalishaji wa ndani, bei za bidhaa nchi jirani ziko chini na mipaka ya nchi ipo wazi kila pembe kupitisha magendo, Tunaenda kuua viwanda vya ndani
Kama itauzwa sh 1500 hivyo viwanda ni Bora vife.Nyie wafanyabiashara wa bongo mipaka ikifungwa mnageuka mashine ya kukamulia miwa.
 
Unaweza kufikiri kuwa Samia hakuwa mtu mkubwa katika serikali iliyochoma vifaranga.
 
Nyie MAJIZI mmemuua. Tunajua.
Akili fupi sana hii ya kufikiria kila mtu mwizi! Una nini cha kuibiwa wewe? Alafu umefanya nini hasa kwa kuogopa kuibiwa? Yaani mmeharibiwa sana asee na bwana yule, aliweza kuwafinyanga hasa. Yaani hizo ni akili fupi mno za kulalamika kuibiwa kila siku. Yaani dunia nzima uibiwe wewe tu una nini hasa?
 
Mama anapenda kumshusha marehemu ili ye aonekane mwema ni tabia mbaya sana.
Ila Magufuli alivyowatukana mawaziri wake kuwa ' wapumbavu' ilikuwa sawa? Alafu mama hajamshusha hadhi yeye kazungumzia kwa level za mawaziri
 
Usiwe mfuasi wa mtu. Kuwa mfuasi wa hoja sahihi au isiyo sahihi. Hapa suala si JPM au samia, suala ni lililofanyika halikuwa sahihi na ni sahihi likikemewa au kupondwa.
Huo ndio uchochezi sasa. Wapi nimeongea JPM?. Wapi nimeongea samia?. Kwa nini unanilisha mawazo yako?
 
Chief Hangaya ni "mjinga wa kiuchumi" . She is an ignoramus when it comes to economy.

Nchi zote zilizoendelea kiuchumi lazima zinazingatia ulinzi wa bidhaa za ndani.

Because otherwise you are going to be a dumping site. Bidhaa za ndani zitakufa na zitashuka thamani. Unaua uchumi wa wafanyabiashara.

Sijui kala maharage ya wapi huyu bibi! Mhhh!
Kwahiyo hiyo nguo, simu vitu vyote ulivonavyo ni bidhaa za ndani? We jamaaa ni mwehu sana asee
 
Unaweza kufikiri kuwa Samia hakuwa mtu mkubwa katika serikali iliyochoma vifaranga.
Mnapokuwa mnaelimishwa muwa mnaelewa basi, Rais kusema vile sio maana anamchafua mtu wenu like ni kosa kwa nchi kama Tanzania ambae ni baba wa diplomasia. Vitu kama hivyo huwa vinaleta uhasama na visasi coz hizi nchi zinaingiliana Sana. Hata Rais mkapa aliomba msamaha kwa mambo aliyokosea sembuse jpm yeye ni nani
 
Kwanini asifanye kazi zake bila kulinganisha na asiyekuwepo na hawezi kujitetea haoni kama anajishitukia uongozi wake? Yeye angefanya kazi yake tu kizuri kinajiuza chenyewe!
 
Sawa soko litaamua, lakini viwanda vya ndani vikifa hatupotezi viwanda tu tunapoteza vitu vingi
Viwanda vya ndani wajipange wajitathimini kawa wanatosha katika ushindani,wajifunze kutoka kwa wenzao na wajue wanafeli wapi kuliko kutuuzia sukari bei juu na isiyokolea kama sukari ya nje ikoleavyo vizuri.
 
Mnapokuwa mnaelimishwa muwa mnaelewa basi, Rais kusema vile sio maana anamchafua mtu wenu like ni kosa kwa nchi kama Tanzania ambae ni baba wa diplomasia. Vitu kama hivyo huwa vinaleta uhasama na visasi coz hizi nchi zinaingiliana Sana. Hata Rais mkapa aliomba msamaha kwa mambo aliyokosea sembuse jpm yeye ni nani
Ujumbe wangu ni kwamba Samia ni mnafiki na anafikiri kuwa kila mtu ni mjinga kama wewe.Yeye alikuwa ni makamu wa Rais kipindi vifaranga vinachomwa moto,ametuambia kuwa alifanya jitihadha gani yeye kama makamu wa Rais kipindi hicho ili kuokoa vifaranga visichomwe moto?
 
Lengo ni nini?
Kuonekana mwema?
Kwanini asi focus kwa yajayo na achane na ndwele zilizopita.
Kuna mambo hayasahauliki.
Mimi nilipinga Sanaa ule uamuzi na NI UPUMBAVU wa hali ya juu.
Kwanini uchome roho zisizo na hatia?tena kwa makusudi?
kuna matatizo rudisha walipotoka.
 
Kuna mambo hayasahauliki.
Mimi nilipinga Sanaa ule uamuzi na NI UPUMBAVU wa hali ya juu.
Kwanini uchome roho zisizo na hatia?tena kwa makusudi?
kuna matatizo rudisha walipotoka.
Nimekupa Like hapa Mjomba.
Umetema madini saafi kabisa.
 
Akili fupi sana hii ya kufikiria kila mtu mwizi! Una nini cha kuibiwa wewe? Alafu umefanya nini hasa kwa kuogopa kuibiwa? Yaani mmeharibiwa sana asee na bwana yule, aliweza kuwafinyanga hasa. Yaani hizo ni akili fupi mno za kulalamika kuibiwa kila siku. Yaani dunia nzima uibiwe wewe tu una nini hasa?
Nyie ni MAJIZI mmemuua Magufuli.
 
Back
Top Bottom