Rais Samia: Haikuwa na maana kuchoma vifaranga wa kuku mpakani

duuh!,yeye na mwenzake hakuna tofauti,Kama anamuona mwenzie alikosea ,hata yy amekosea pia,kumkandia mtu ambaye ni hayati ni roho mbaya tu inamsumbua!! Wanaomuandalia hotuba wanamuuza Sana mchana kweupe!!
 
Vile vifaranga baada ya kuiva wangewapelekea praise team ya lumumba wale na ugali maana walisherehekea mno na kutetea huu ukatili dhidi ya viumbe visivyo na hatia.
Kwa kipindi hicho praise team wangepewa hata mavi wangekula huku wakisema ni mkate. Umesahau professor jalala alibeba mitishamba kutoka Madagascar eti inatibu korona. The beautiful one are not yet born
 
duuh!,yeye na mwenzake hakuna tofauti,Kama anamuona mwenzie alikosea ,hata yy amekosea pia,kumkandia mtu ambaye ni hayati ni roho mbaya tu inamsumbua!! Wanaomuandalia hotuba wanamuuza Sana mchana kweupe!!
Umeongea kwa mapenzi tu ndugu yangu, kiongozi aliepita hakuwa Mungu kuna sehemu alikosea ukweli lazima usimwe, Tanzania ni baba wa diplomasia Africa tunapenda upatanishi kuliko ubabe, hata JPM alifukua makuburi mengi tu ya watangulizi wake lengo sio kubomoa ila nikujenga tu nchi yetu
 
Kumbe kulikuwa na kongamano la marais wawili dah! Mimi tokea afariki president Magufuli sifuatilii tena mambo ya hotuba za rais wa sasa, hakuna jipya zaidi zaidi mipasho mingi sound sound nyingi, niko nasubiria 2025 tumpatie nchi mtu mwingine ambaye atakuwa mtu wa kazi part two ya Magufuli
 
Ndio Sasa haiwez tokea
 
Mkuu roho mbaya tunapoelekea ukiendekeza kulinda bidhaa za ndani wakati wenzako wanaruhusu ushindani mtajikuta mna bidhaa nyingi za ndani zisizo na maana.
Kaka kuna watu wamejivika uzalendo wa kishamba ni bora mnaolewa mambo mzidi kutoa elimu ili kuufungua umma macho, ukiluhusu ushindani unaongeza ufanisi na ubunifu kwenye uzalishaji hata gharama pia itapungua huku serikalii ikiendelea kuweka masharti nafuu ya kulinda viwanda vyetu
 
Daah! wale vifaranga walivyochomwa tukaambiwa eti wanamagonjwa, kumbe ilikuwa roho mbaya ya Bwana yule. Taratiiibu ukweli wa yaliyofichwa unaanza kuwekwa wazi! Soon hata wale wasiojulikana wanaojulikana maza atawasema siku moja mchana kweupe!
Watanzania watu wa hovyo sana!!

Kila kauli ya kumpinga Magufuli inaonekana ya maana haijalishi nani kaitoa!

Badala ya kuishangaa hiyo kauli mtu unashangilia utafikiri Rais wa sasa hakuwa kwenye mfumo wa hayati.

This is how politics sound when it comes to popularity gaining.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe kulikuwa na kongamano la marais wawili dah! Mimi tokea afariki president Magufuli sifuatilii tena mambo ya hotuba za rais wa sasa, hakuna jipya zaidi zaidi mipasho mingi sound sound nyingi, niko nasubiria 2025 tumpatie nchi mtu mwingine ambaye atakuwa mtu wa kazi part two ya Magufuli
Tanzania iliingia mkosi kupata Rais aina ya magufuri coz alitaka kuondesha Nchi kama mali ya familia yake. Alikuwa mchapa kazi ila skills za uongozi hakubahatika kuwa nazo, kiongozi mwenye tabia ya kupanic, kufanya double standard, kutisha watu wanaomkosoa, kupenda kusifiwa, kauli mbaya mbele ya umma na kufanya chochote anachojisikia hata kama nikibaya. Alikuwa mchapa kazi hasa kusimamia miundo mbinu ila kuongoza taifa bado Sana.
 
Kaka kuna watu wamejivika uzalendo wa kishamba ni bora mnaolewa mambo mzidi kutoa elimu ili kuufungua umma macho, ukiluhusu ushindani unaongeza ufanisi na ubunifu kwenye uzalishaji hata gharama pia itapungua huku serikalii ikiendelea kuweka masharti nafuu ya kulinda viwanda vyetu
Kuna watu hawajielewi wanadhani bila kufanya biashara nchi itaendelea. Sisi tunataka tuuze lakini hutaki watu waje wafanye biashara kwako. ushindani ndio njia ya kuongeza ubora wa bidhaa zetu na kuacha kufanya biashara za kimazoea ukiona ushindani unakushinda ujuwe kuna mawili sera mbovu au bishaa mbovu. Free market ndio njia ya kuongeza soko tushindane maana soko ni kubwa la Tanzania na umeongezewa watu kama Million 30 sijui Uganda ina maana fursa nyingi. Tuna sababu kubwa sisi kuuza sana Uganda kuliko wao kutokana na eneo letu mpaka unaweza kuingiza pesa nyingi sana movement zikiwa nyingi za kibiashara.
 
Upo sawa Kabisa....

Njia bora za kulinda maslahi na kukuza viwanda vya ndani si kuzuia ushindani kutoka nje bali ni kuhakikisha umeme wa uhakika upo, kodi rafiki na urahisi wa wazawa kuanzisha na kuendesha biashara.
 
Watanzania watu wa hovyo sana!!

Kila kauli ya kumpinga Magufuli inaonekana ya maana haijalishi nani kaitoa!

Badala ya kuishangaa hiyo kauli mtu unashangilia utafikiri Rais wa sasa hakuwa kwenye mfumo wa hayati.

This is how politics sound when it comes to popularity gaining.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kaka kuwa mvumilivu wa mawazo ya wenzako hata kama yanakinzana na uelewa wako. Jpm ndio alienzisha aina hii ya siasa kuwakandia watungulizi wake huku akijijenga yeye. Ilifikia mahara watu wakasema hakuna Rais aliefanya chochote zaidi yake. Baadhi ya watu wakachachamaa wakaanza kuolodhesha mambo aliyofanya Jk, Benjamin na yeye. Kuwa mvumilivu tu hii ni psychological impact of our last regime
 
Watanzania watu wa hovyo sana!!

Kila kauli ya kumpinga Magufuli inaonekana ya maana haijalishi nani kaitoa!

Badala ya kuishangaa hiyo kauli mtu unashangilia utafikiri Rais wa sasa hakuwa kwenye mfumo wa hayati.

This is how politics sound when it comes to popularity gaining.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

Kwa hiyo kauli zote alizotoa Magifuli zilikuwa sawa zote!? Hakuwa Mungu ndio tuseme kauli zake zisipingwe...
Hata kama Rais wa sasa alikuwa kwenye mfumo wa Magufuli haimaanishi kwamba kila alichokuwa anakisema huyu wa sasa alikuwa akikubaliana nae, ni vile tu hakuwa na uwezo wa kumpinga wakati wa uhai wake!
Sasa kama baadhi ya kauli za Magufuli ziliumiza watu ni nani wa kuzifuta ili waliojeruhika wapone kama siyo Rais mwingine pia...!?

Magufuli alipinga hadharani hawezi kusomesha wazazi(wanafunzi waliopata mimba) lakini kwa sasa tumeona wameruhusiwa!
 
Utalindaje wazalishaji wa ndani, bei za bidhaa nchi jirani ziko chini na mipaka ya nchi ipo wazi kila pembe kupitisha magendo, Tunaenda kuua viwanda vya ndani
Jiulize kwa nini bei za nchi jirani ziwe chini halafu huku kwetu tuumizwe?mama mwacheni alete nafuu kwa mtz
 
Kuna watu hawajielewi wanadhani bila kufanya biashara nchi itaendelea. Sisi tunataka tuuze lakini hutaki watu waje wafanye biashara kwako. ushindani ndio njia ya kuongeza ubora wa bidhaa zetu na kuacha kufanya biashara za kimazoea ukiona ushindani unakushinda ujuwe kuna mawili sera mbovu au bishaa mbovu. Free market ndio njia ya kuongeza soko tushindane maana soko ni kubwa la Tanzania na umeongezewa watu kama Million 30 sijui Uganda ina maana fursa nyingi. Tuna sababu kubwa sisi kuuza sana Uganda kuliko wao kutokana na eneo letu mpaka unaweza kuingiza pesa nyingi sana movement zikiwa nyingi za kibiashara.
Ndio hapa nimekupata ndugu yangu, tunapaswa kujua kuwa kuluhusu ushindani ni kufungua ubongo watu kuchungulia fursa na kuacha mazoea( status quor) , point yako moja nimeishika naomba na wenzangu waelewe kuwa, ukiona mtu anaogopa ushindani nanukuu " bidhaa zake ni mbovu" au " sera zake zake ni mbovu" Watanzania tubadilike tuache mazoea
 
Historia na iandikwe kwamba Tanzania ilishawahi kuwa na raisi mpumbavu na huyo bwana waliitwa JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI
Tena iandikwe kwa maandishi ya damu juu ya kuta za kaburi lake.
Hii itasaidia vizazi vijavyo kujifunza namna ya kuchakata na kupata viongozi wenye maono sio hawa
 
Kwa hiyo kauli zote alizotoa Magifuli zilikuwa sawa zote!? Hakuwa Mungu ndio tuseme kauli zake zisipingwe...
Hata kama Rais wa sasa alikuwa kwenye mfumo wa Magufuli haimaanishi kwamba kila alichokuwa anakisema huyu wa sasa alikuwa akikubaliana nae, ni vile tu hakuwa na uwezo wa kumpinga wakati wa uhai wake!
Sasa kama baadhi ya kauli za Magufuli ziliumiza watu ni nani wa kuzifuta ili waliojeruhika wapone kama siyo Rais mwingine pia...!?

Magufuli alipinga hadharani hawezi kusomesha wazazi(wanafunzi waliopata mimba) lakini kwa sasa tumeona wameruhusiwa!
Umeongea kwa uchungu sana pole brother, naanguna na wewe ila watu wengi hawajui muundo wa utawala wa serikalii unavyoperfom. Ofisi ya makamu wa Rais ina Madara madogo sana hasa inaishia kwenye mazingira na muungano hivyo isingekuwa Rais mama samia kwenda kinyume na Rais kwa wakati huo. Vijana wengi walikuwa na brain washed na JPM ikafika muda watu wakamuona malaika hili ni jinamizi linaloitesa nchi yetu tuvumilie tu yatapita
 
Lengo ni nini?
Kuonekana mwema?
Kwanini asi focus kwa yajayo na achane na ndwele zilizopita.
Anafuata nyayo za mwenda zake,kuponda utawala uliopita ndio tabia kuu ya mwenda zake aliwananga sana watawala waliopita.
 
Historia na iandikwe kwamba Tanzania ilishawahi kuwa na raisi mpumbavu na huyo bwana waliitwa JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI
Tena iandikwe kwa maandishi ya damu juu ya kura za kaburi lake.
Hii itasaidia vizazi vijavyo kujifunza namna ya kuchakata na kupata viongozi wenye maono sio hawa
Ndugu hata kama una hasira you have to show even a little respect to the late Magufuri, wape watu logic to reveal his ignorance vinginevyo watakuona una chuki but for me namlaumu kwenye issue ya free education ( elimu buru ) alikuwa na wazo zuri ila alifanya haraka maana hali iliyopo kwenye shule zetu sio nzuri, hakuna elimu kule walimu wamekuwa overwhelmed na wanafunzi, madarasa nimajanga tu mengine tumuachie Mungu
 
Back
Top Bottom