Rais Samia: Haikuwa na maana kuchoma vifaranga wa kuku mpakani

Wakati wanachomwa moto si alikuwa makamu wa rais!? alishauri nini? Unafiki ni mbaya sana. Bora uitwe mchawi sio mnafiki
 
Kwahiyo hiyo nguo, simu vitu vyote ulivonavyo ni bidhaa za ndani? We jamaaa ni mwehu sana asee
Mwehu ni wewe kwa sababu hujui kwamba tunalazimika kununua bidhaa za nje kwa sababu nyie MAJIZI mmeua viwanda vyote vya ndani na hamko tayari kujenga mikakati ya kuibua viwanda vipya.

Mnachoweza ni kusujudia mabeberu tu na kuomba omba ovyo.
 
Mdomo huu
 
Mnafanya Unafki Mzilankende Utumishi Wake Usionekane Una Tija
Haa Haa
 
Madam President, though I believe His Late Magufuli wasn't right on that issue, I believe your opinion on the matter is also unnecessary.

You should have said it when Magufuli was alive that's when it was Impactful.
 
Nasikia amemwambia Waziri wake wakilimo kuwa kutotoa vibari vya kuagiza sukari nje ni Nonsense.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili nimelisikia kwa maskio yangu na limenistua sana...unless kama alikua anapiga siasa. Kama hapigi siasa ni aibu kubwa kwake kama kiongozi. Sijui huko vikao vya baraza la mawaziri hua wanazungumza vitu gani!
 
Hili nalo linadhihirisha kuwa mwendazake alikuwa hashauriki na mengine alikuwa ashirikishi ofisi yake ndogo kwa lolote lile zaidi ya halfa tu.
 
Wakati Gharama ya umeme na kodi iko juu
Na hapo ndo tunafeli tunabaki kutumia miguvu kuzuia vitu kutoka nje badala ya kupunguza gharama ya uzalishaji ili vitu vinavyozalishwa nchini viwe chini na automatically vinavyotoka nje vitanunuliwa kwa mwenye ela ya ziada
 
Logic and point
 
Tanzania uchumi hatuujui hata kidogo badala ya kufocus kuzalisha sukari yetu ili tutengeneze ajira tuna focus kununua sukari nje tena uganda nyieeee. Hii nchi ije itawaliwe tena tu.
 
Sawa, ujinga sio kilema ila nimwanzo mzuri wa kujifunza na kuelewa lakini usichokijua angalau nikutoe ujinga kuwa madaraka ya makamu wa Rais ni limited ofisi yake inahusika zaidi na muungano pamoja na mazingira ila anaweza kupenyeza ushawishi wake kwa rais kutaka jambo lifanyike. Wote tunajua personality ya mtangulizi wake akiamua jambo kaamua bila kuogopa kuwajibishwa na mihimili mingine. Njoo na logic ya mizani sawia bila kuegamia upande wowote.
 
Tanzania uchumi hatuujui hata kidogo badala ya kufocus kuzalisha sukari yetu ili tutengeneze ajira tuna focus kununua sukari nje tena uganda nyieeee. Hii nchi ije itawaliwe tena tu.
Sisi wajinga tunaweza kujifunza kutoka kwako kama ni mtanzania mwenye mawazo chanya ya ujenzi wa taifa letu. Ingekuwa vizuri ukatupa logic yako ili hata ya mistari minne ili angalua ujinga utupungue
 
Utalindaje wazalishaji wa ndani, bei za bidhaa nchi jirani ziko chini na mipaka ya nchi ipo wazi kila pembe kupitisha magendo, Tunaenda kuua viwanda vya ndani
Kama Viwanda vitakufa wacha vife tu, maana haiingii Akili sukari itoke Zambia, Malawi, Uganda nk inasafirishwa na kulipiwa Ushuru iwe Rahisi kuliko ya TZ!! au miwa ya TZ inalimwa Angani??? Eti tunalinda Viwanda vya Ndani?? Huku Watz hasa Wanyonge wakipata shida ya Bei na uchumi wao tunaujua.
 
Viwanda vyetu vinatutesa sana kwa bei ya juu kwenye bidhaa zao haiwezekani Zambia sukali iwe chini hapa tz sukari ikooo juu ile mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…