Rais Samia: Haikuwa na maana kuchoma vifaranga wa kuku mpakani

Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan amesifu ushirikiano wa nchi za Afrika mashariki na kusema tulikuwa tunachomeana kuku mipakani, dhambi tupu viumbe wa Mungu tunamwaga petrol kuwachoma haikuwa na maana.

Rais Samia amesema hayo katika kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Uganda.

Source: Swahili times
Nadhani wakati huo alikuwa makamu wa Rais wa Zambia, Mungu atusaidie tuachane na huu unafiki!!
 
"wenzake tayari wanatumikia sentence zao, yeye kakimbilia Nairobi nadhani ni calculation tu". Hapa siyo dhambi, dhambi ni kuchoma kuku wenye magonjwa waliokuwa wanaingia nchi bila kujali sheria transboundary movement of live animal. Kama nchi tupo tayari kuingiza magonjwa nchini kudhuru afya ya walaji almradi kufurahisha majirani? Tufuate sheria zilizopo.
 
Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan amesifu ushirikiano wa nchi za Afrika mashariki na kusema tulikuwa tunachomeana kuku mipakani, dhambi tupu viumbe wa Mungu tunamwaga petrol kuwachoma haikuwa na maana.

Rais Samia amesema hayo katika kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Uganda.

Source: Swahili times
Amesahau dhambi mbaya zaidi ya kupiga watu risasi? Kuua watu na kuwatupa baharini? Kuua watu na kuwafunga kwenye viroba kama mihogo?. Kamwe Mungu hatawasamehe Ccm na serikali yake. Mwanadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu. Ni familia ngapi? Ni yatima wangapi? Walio sababishiwa haya mateso na Serikali ya Ccm. Mama Samia akiwa namba mbili kwenye huu utawala. Mungu ange msanehe kama ange nawa mikono yake iwe safi. Sasa bado ana endekeza mateso kwa familia ya Mbowe na wenzake kwa kesi ya kuchonga.. Mungu wetu ata tenda.
 
"wenzake tayari wanatumikia sentence zao, yeye kakimbilia Nairobi nadhani ni calculation tu". Hapa siyo dhambi, dhambi ni kuchoma kuku wenye magonjwa waliokuwa wanaingia nchi bila kujali sheria transboundary movement of live animal. Kama nchi tupo tayari kuingiza magonjwa nchini kudhuru afya ya walaji almradi kufurahisha majirani? Tufuate sheria zilizopo.
kama vipimo vimeonesha au mmepata wasiwasi si mnavirudisha tu vifaranga vya watu huko vilikotoka..
 
..subiri matusi toka kwa genge la mataga.
Kuna uwezekano kuwa ilisukwa mbinu ya hali ya juu kabisa ''ku-fix'' jiwe. Kila nikiona mambo yanavyokwenda kwa haraka sasa hivi nazidi kupata mashaka kuwa alitumiwa virus kwa kutumia mkakati mkali sana. Na yeye alilewa madaraka na kujisahau mno. Alichotakiwa kufanya ni kubadilisha katiba kabla ya uchaguzi wa 2020 na kufanya makamu asiwe tena president in waiting.
 
Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan amesifu ushirikiano wa nchi za Afrika mashariki na kusema tulikuwa tunachomeana kuku mipakani, dhambi tupu viumbe wa Mungu tunamwaga petrol kuwachoma haikuwa na maana.

Rais Samia amesema hayo katika kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Uganda.

Source: Swahili times
Samia anathamini vifaranga kuliko watanzania ...
 
Kuna uwezekano kuwa ilisukwa mbinu ya hali ya juu kabisa ''ku-fix'' jiwe. Kila nikiona mambo yanavyokwenda kwa haraka sasa hivi nazidi kupata mashaka kuwa alitumiwa virus kwa kutumia mkakati mkali sana. Na yeye alilewa madaraka na kujisahau mno. Alichotakiwa kufanya ni kubadilisha katiba kabla ya uchaguzi wa 2020 na kufanya makamu asiwe tena president in waiting.

..inaelekea Maza alikuwa hasikilizwi au alikuwa akiburuzwa tu.

..Ndio maana anazungumza mambo ambayo alitakiwa ayazungumze alipokuwa Makamu.
 
Back
Top Bottom