Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Yule Bwana alikuwa na chuki Sana na Kenya hasa baada ya kumpokea Lisu.Pia Swahiba wake odinga kubwagwa kwenye kura.
Kwa chuki Ili Wakenya wafe njaa akafunga mipaka Hakuna kupeleka mahindi Kenya wakati ukame umeipiga Kenya, huku tza mahindi yakioza kwa kukosa soko.
Kenya akamua kununua mahindi Zambia Zambia ikapiga pesa kwa kuuza mahindi Kenya,Wabongo wachache wakajiongeza wakaenda zambia wakachukua malori plate namba za zambia wakachukua mahindi Tza wapakia plate namba za zambia wakaingia Kenya kuuza mahindi.
Kaja kufungua mipaka baada ya hasira zake kuisha mahindi za zambia yamejaa Kenya huku Kenya nao wakivuna ya kwao mvua ilifanikiwa kunyesha, wakulima wa watz wakakosa soko.