Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Ndugu zangu Watanzania,
Ukiona na Unapoona Rais wetu Mpendwa anaunda Tume Kuchunguza Kila Tukiona linalohusu Kupoteza Uhai wa Mtanzania yeyote yule ni kwa sababu Rais wetu anajali Maisha ya watanzania na Mtanzania mmoja mmoja. Ni kwa sababu Anataka kila mmoja Aishi Mpaka pale Mungu atakapoamua .
Rais Samia hajawahi na wala hana historia ya Kuuwa mtu yeyote yule na hajawahi kuuwa mtu yeyote yule na hajawahi kutoa maagizo ya kuuwa mtu yeyote yule. Rais Samia Anajali na kuthamini Damu ya Mwanadamu yeyote yule aliyepo ndani ya Ardhi ya Tanzania.
Rais Samia Hana Damu ya Mtu yeyote yule katika Mikono yake na wala hajawahi kutoa amri yoyote ile ya Kumwaga Damu ya mtu yeyote yule. Ndio Maana amekuwa akiumia,kusononeshwa na kuumizwa sana inapotokea mtanzania kapoteza Maisha.
Kwa kilichotokea Uchaguzi Uliopita Kinapaswa Kutufundisha watanzania wote na kutoruhusu kutokea tena kama ambavyo Rais wetu amekuwa akizungumza mara kwa mara . Tulinde amani na tusikubali watu wachache wapandikize chuki na uhasama ndani ya Taifa letu wakiwa huko nje ya Nchi. Ikumbukwe ya kuwa Vita ya kutetea usalama wa Taifa siyo lelemama wala mchezo mchezo. Ikumbukwe ya kuwa kuna watu walidhamiria kupindua serikali yetu kwa manufaa yao Binafsi.
Vijana tusikubali kuchochewa na mtu yeyote yule kuchoma moto Taifa letu kwa viahadi vya kijinga jinga. Hatuna kwa kukimbilia . Tuwe walinzi sisi kwa sisi na tuchungane dhidi ya wale wanaoweza kutaka kuharibu Taifa letu hili . Tuseme tena kuwa hatutaki yajirudie yake yaliyotokea mwaka jana.
Tuungane na Rais wetu katika kujenga Taifa letu.
na hata wahi kuja kutoa amri kama hiyo katika utawala wake madhubuti na imara sana, unaozingatia na kufuata misingi ya kisheria, demokrasia na utawala bora, barani africa.Ndugu zangu Watanzania,
Ukiona na Unapoona Rais wetu Mpendwa anaunda Tume Kuchunguza Kila Tukiona linalohusu Kupoteza Uhai wa Mtanzania yeyote yule ni kwa sababu Rais wetu anajali Maisha ya watanzania na Mtanzania mmoja mmoja. Ni kwa sababu Anataka kila mmoja Aishi Mpaka pale Mungu atakapoamua .
Rais Samia hajawahi na wala hana historia ya Kuuwa mtu yeyote yule na hajawahi kuuwa mtu yeyote yule na hajawahi kutoa maagizo ya kuuwa mtu yeyote yule. Rais Samia Anajali na kuthamini Damu ya Mwanadamu yeyote yule aliyepo ndani ya Ardhi ya Tanzania.
Rais Samia Hana Damu ya Mtu yeyote yule katika Mikono yake na wala hajawahi kutoa amri yoyote ile ya Kumwaga Damu ya mtu yeyote yule. Ndio Maana amekuwa akiumia,kusononeshwa na kuumizwa sana inapotokea mtanzania kapoteza Maisha.
Kwa kilichotokea Uchaguzi Uliopita Kinapaswa Kutufundisha watanzania wote na kutoruhusu kutokea tena kama ambavyo Rais wetu amekuwa akizungumza mara kwa mara . Tulinde amani na tusikubali watu wachache wapandikize chuki na uhasama ndani ya Taifa letu wakiwa huko nje ya Nchi. Ikumbukwe ya kuwa Vita ya kutetea usalama wa Taifa siyo lelemama wala mchezo mchezo. Ikumbukwe ya kuwa kuna watu walidhamiria kupindua serikali yetu kwa manufaa yao Binafsi.
Vijana tusikubali kuchochewa na mtu yeyote yule kuchoma moto Taifa letu kwa viahadi vya kijinga jinga. Hatuna kwa kukimbilia . Tuwe walinzi sisi kwa sisi na tuchungane dhidi ya wale wanaoweza kutaka kuharibu Taifa letu hili . Tuseme tena kuwa hatutaki yajirudie yake yaliyotokea mwaka jana.
Tuungane na Rais wetu katika kujenga Taifa letu.
Saying you’re a zombie would be an enormous understatement!Ndugu zangu Watanzania,

Utakwenda wewe na ujinga wakoJF sio ICC Subirini mkajieleza huko wakati ukifika.
Uwe subira kusubiri majibu ya tume ya kuchunguza vurugu za uchaguziSaying you’re a zombie would be an enormous understatement!
Has that bi+ch held anyone accountable for the extrajudicial killings?
Umenena ukweli kabisana hata wahi kuja kutoa amri kama hiyo katika utawala wake madhubuti na imara sana, unaozingatia na kufuata misingi ya kisheria, demokrasia na utawala bora, barani africa.
Anakemea sana matukio ya mauaji na ndio Kwa sasa kuna tume imeundwa kuchunguza matukio ya uchaguzi yaliyosababisha vurugu na kupoteza maisha kwa baadhi ya watuNi kweli.
Shida anashindwa kukemea hayo mauaji.
Ripoti ya mzee kibao ipo wapi?
Hata usipoteze muda kumwonyesha evidence, huyu ni zezeta haelewi kitu
Wapi alisema yajiandae kuuwa? Unaweza kuweka hapa video za Heche akisema uchaguzi hautakuwepo . Unafikiri kwanini alisema hivyo? Bila shaka alijua mipango yao ya gizani kwa ajili ya kuchoma Taifa letuAcha uongo.
Rejea hotuba yake ya siku chache kabla ya uchaguzi akiagiza majeshi yajiandae.
Unazani hiyo ilikuwa nini?
Subiri utamwadikia akiwa jela.Ndugu zangu Watanzania,
Ukiona na Unapoona Rais wetu Mpendwa anaunda Tume Kuchunguza Kila Tukiona linalohusu Kupoteza Uhai wa Mtanzania yeyote yule ni kwa sababu Rais wetu anajali Maisha ya watanzania na Mtanzania mmoja mmoja. Ni kwa sababu Anataka kila mmoja Aishi Mpaka pale Mungu atakapoamua .
Rais Samia hajawahi na wala hana historia ya Kuuwa mtu yeyote yule na hajawahi kuuwa mtu yeyote yule na hajawahi kutoa maagizo ya kuuwa mtu yeyote yule. Rais Samia Anajali na kuthamini Damu ya Mwanadamu yeyote yule aliyepo ndani ya Ardhi ya Tanzania.
Rais Samia Hana Damu ya Mtu yeyote yule katika Mikono yake na wala hajawahi kutoa amri yoyote ile ya Kumwaga Damu ya mtu yeyote yule. Ndio Maana amekuwa akiumia,kusononeshwa na kuumizwa sana inapotokea mtanzania kapoteza Maisha.
Kwa kilichotokea Uchaguzi Uliopita Kinapaswa Kutufundisha watanzania wote na kutoruhusu kutokea tena kama ambavyo Rais wetu amekuwa akizungumza mara kwa mara . Tulinde amani na tusikubali watu wachache wapandikize chuki na uhasama ndani ya Taifa letu wakiwa huko nje ya Nchi. Ikumbukwe ya kuwa Vita ya kutetea usalama wa Taifa siyo lelemama wala mchezo mchezo. Ikumbukwe ya kuwa kuna watu walidhamiria kupindua serikali yetu kwa manufaa yao Binafsi.
Vijana tusikubali kuchochewa na mtu yeyote yule kuchoma moto Taifa letu kwa viahadi vya kijinga jinga. Hatuna kwa kukimbilia . Tuwe walinzi sisi kwa sisi na tuchungane dhidi ya wale wanaoweza kutaka kuharibu Taifa letu hili . Tuseme tena kuwa hatutaki yajirudie yake yaliyotokea mwaka jana.
Tuungane na Rais wetu katika kujenga Taifa letu.
Lukas mwashambwa na nduguye tlahtlah!Ndugu zangu Watanzania,

Stupid muthafuca, taking into account hakuna kesi yeyote ya jinai inayoigusa jamhuri imewai kufikia muafaka hio tume pia will same old shit!Uwe subira kusubiri majibu ya tume ya kuchunguza vurugu za uchaguzi
Nafikiri ile nyimbo ya mzee chande ikibadilishwa tu kwenye verse likatolewa neno "mzee chande" na kuwekwa "Lucas Mwashambwa" it would make alot of sense.Anakemea sana matukio ya mauaji na ndio Kwa sasa kuna tume imeundwa kuchunguza matukio ya uchaguzi yaliyosababisha vurugu na kupoteza maisha kwa baadhi ya watu
Wee mwehu kwahiyo wale watu waliuawa kwa amri ya Chalamila siyo? Kenge mwehuNdugu zangu Watanzania,
Ukiona na Unapoona Rais wetu
Tuungane na Rais wetu katika kujenga Taifa letu.
ingekuwa Jf ni familia tunaokaa nyumba moja, yani tunawacharaza stick hawa jamaa adi 0654 itoe cheche 😋😁Hata usipoteze muda kumwonyesha evidence, huyu ni zezeta haelewi kitu