PostGE2025 Rais Samia Hajawahi kuua Mtu wala Kutoa Maagizo ya Kuua Mtu Yeyote yule

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kuna mambo ya awali ya kiuwajibikaji yangetokea upande wa serikali angalau kidogo hii tension ingekuwa moderate kwa wenye uchungu na walipoteza ndugu, jamaa na marafiki.

Sasa hakuna hata aliyeonyesha kujali akaja na statement tu ya kujiwajibisha, mfano:

"Ndugu zangu wa Tanzania, kwakuwa nilipewa dhamana ya ulinzi wa mkoa, na waTanzania wamepoteza maisha katika mkoa wangu, naomba kuwajibika na kuisihi serikali ichunguze na kuwafungulia mashtaka wahusika waliokiuka utaratibu wakati wa kutuliza vurugu. Poleni Watanzania, Poleni wote mliopoteza watu wenu wa karibu."
 
Samia na serikali ya ccm ni wauwaji wanaopaswa kuchinjwa na kuliwa na mbwa koko!. Tunaomba marekani piga ban wapuuzi wote qa ccm .... Wasengeee
 
Kama hajauwa mtu kama unavyosema, katika nchi yetu wameuawa watanganyika zaidi ya watanganyika hasa vijana elfu 10 na maiti nyingi hazikuonekana, tunaomba utuambie nani aliwaua hao vijana? Na kwa amri ya nani? Na ni nani amewajibika hadi sasa? Na Samia alisema ni nguvu kiasi gani tulitaka itumike?. Atuambie na kwanini ameilipa Ervin Graves Strategy Group LLC ya republican Tom Graves ili imsafishe? Wewe Mwashambwa kutokana na elimu yako ndogo ya shule ya msingi unaweza usielewe maana ya Lobbyist group. Mtuambie wale vijana waliouawa, ninyi mafisi mmesema walikuwa 518, halafu mnasema tume yenu imeongea na familia 1300 zilizopoteza wapendwa wao(Hivi akili mnayo kweli, mnaona namba yenu inakubali wehu ninyi?). Wewe endelea kutumika tu, itafika siku yako, utalia lakini hutapata machozi.
 

Sasa nani anayetoa amri? Sisi tunajua Rais ndio top most person.Kama kuna shida za kiusalama, yeye anawawajibisha hao wanaoshindwa kutekeleza wajibu wao, ili kulinda watanzania na mali zao.
Je nani aliyewajibishwa either kwa kushindwa kutimiza wajibu au kuhusika na utekaji huo?Mbona kama tunajiharibia wenyewe bila sababu?
 
Anakemea sana matukio ya mauaji na ndio Kwa sasa kuna tume imeundwa kuchunguza matukio ya uchaguzi yaliyosababisha vurugu na kupoteza maisha kwa baadhi ya watu
Kwa hyo tume ya jaji chande imezungumzia utekaji na kuuliwa watu?
Tume imessmaje kuhusu kuuliwa Kwa mzee kibao na kuuliwa Kwa balozi polepole?
 
Tusubiri taarifa ya tume iliyoundwa
 
Siyo lazima niue ndiyo niwe muuaji.
Unawafahamu "contract killers"???

Hawa ni watu wanaolipwa kuua kwa niaba ya mtu mwingine.

Kwa hiyo mimi nikituma watu kwenda kuua watu wengine, literally na kwa jicho la kawaida, mimi sjamuua mtu na siyo mtu tu, sijawahi hata kuua sisimizi.

Lakini nikuulize swali: hao sisimizi wangekufa kama mimi nisingesema wauawe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…