Common Folk
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 909
- 4,050
Kwani hao TEC ndiyo wamekwambia uwateue mwanao, mkweo, shemeji, n.k kuwa mawaziri?"Kama haumpendi kiongozi aliyeko juu, basi vumilia wakati wake utaisha tu".
Aisee leo katema pumba hazijawahi tokea Tanzania. D09 lazima aondoke!"Kama haumpendi kiongozi aliyeko juu, basi vumilia wakati wake utaisha tu".
😁😁😁Kwani hao TEC ndiyo wamekwambia uwateue mwanao, mkweo, shemeji, n.k kuwa mawaziri?
Ni aibu maana yake atagawia mapanga watu kutimiza ahadiAnapandikiza mbegu ya udini.
Unaiba Urais, unateka watu, unapoteza watu, unaua maelfu ya watu alafu bado unapandikiza mbegu ya udini?
Aisee kweli damu ya watu inanena
Umesikia kasema wakati wowote wakija tumejipanga?Ni aibu maana yake atagawia mapanga watu kutimiza ahadi
Tec ndio wanakutuma uteke,"Kama haumpendi kiongozi aliyeko juu, basi vumilia wakati wake utaisha tu".
View attachment 3510392
Tec ndio wanakutuma uteke,"Kama haumpendi kiongozi aliyeko juu, basi vumilia wakati wake utaisha tu".
View attachment 3510392
Karma imeshaanza kazi. Hata hajui anacholalamika.Anapandikiza mbegu ya udini.
Unaiba Urais, unateka watu, unapoteza watu, unaua maelfu ya watu alafu bado unapandikiza mbegu ya udini?
Aisee kweli damu ya watu inanena