PostGE2025 Rais Samia: Hakuna dini ya ku-override serikali, toka niingie madarakani TEC wametoa nyaraka 8

PostGE2025 Rais Samia: Hakuna dini ya ku-override serikali, toka niingie madarakani TEC wametoa nyaraka 8

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
waislam wa bara wasipostuka wanatumiwa kufanya DIVIDE AND KISHA WAJE WATURULE MAZIMA

HAWA WAZENJ HAWATUPEND SISI WATANGANYIKA WOTE ILA WAMEONA NJIA SAHIHI KWASAS NI KUWATUMIA WAISLAM WA BARA AMBAO WENGI NI VILAZA
Asante sana kiongozi kwa kuongea jambo ambalo hata mimi nimekuwa nikiwaambia watu mara kadhaa.

Hawa waislam wazanzibar wana ubinafsi mno sio tu kwa wakristo bali hata kwa waislamu wenzao ambao sio wazanzibari.

Uthibitisho rahisi angalia kwenye serikali hii haramu waliojazwa kwenye nafasi za juu zile muhimu ni watu kutoka wapi? Karibu wote ni waislamu kutoka Zanzibar, wabara ni wachache sana.

Hii inaonesha Samia watu aliowaweka kipaumbele chake ni wazanzibari na ndio anaowajali kuliko magroup mengine yoyote yale.

Hawa waislamu wa bara kupitia BAKWATA wanatumika kulinda utawala wake bila kujijua kwa mwamvuli wa kuutetea uislamu na hii ni kwa sababu ya uwezo duni wa kiakili walio nao.

Samia haipendi Tanganyika na watanganyika kwa ujumla bila kujali dini zao, na ndio maana yuko tayari kuona tunaingia kwenye vita ya kidini hili tu abaki madarakani, juzi amewakemea TEC ila hajagusia kabisa kauli za mashekh waliosema watachinja watu.

Kwa raisi anayelipenda taifa laka asingeruhusu BAKWATA wafikie hatua hii ya kutoa kauli za kigaidi vile.

Waislamu wa Bara wanatumika kulinda utawala dhalimu wa samia ambao unamnufaisha yeye na familia yake na wazanzibari basi, na wako tayari kufa kwa ajili ya samia pasipokujua kesho na kesho kutwa huyo samia hatokuwepo na athari za kumpambania samia huyo zitabaki kwa familia yake.

Hakika hii DIVIDE AND RULE yenye spice ya UDINI inafanya kazi effectively japo madhara yake ni makubwa sana tena ya muda mrefu.
 
Wewe ni muislam wa BAKWATA ndio maana huoni mapungufu ya Samia. Samia hatakiwi kwasababu ameshindwa kutawala nchi na sio kwa sababu ya dini; mbona Mawaziri wake wengi sio waislam bali wagalatia!!
Jaribu kuwa objective kwa kutoangalia dini ya muhusika unapojadili hoja humu! Kuhusu Kikwete kama alisutwa enzi ya utawala wake[ yeye na Samia ni kitu kimoja} ni kwasababu ya ufisadi wake uliokithiri. Na Samia nae ameiga matendo ya mentor wake kwa kutawala kifisadi; angalia alivyowajaza ndugu zake na wazenj wenzie kweye baraza la Waziri ili waibe bila aibu!! Ndio maana kwa sababu hizo wananchi wamemkataa na kuita utawala wake haramu!
Ni vizuri sana ulivyojibu kwa kuwa very objecive na kuchagua very specific example kama Kikwete kumuhusisha na ufisadi na ni kama ilivyosema Samia amejifunza kwake kama mentor wa ufisadi ambao wote ni waislamu full stop.

Inawezekana wewe ni yulueyule niliemwita mzee kwa kuja kivingine, maana umeshindwa kujibu nilichomuuliza kuwa mbona hajawahi kumkosoa Mkapa alieiba mgodi na kuwapukutisha wananchi nyumba zao hapo ilala magorofani, au Jiwe uliekuwa unamshamngilia kila siku alielekeza hela zote kujenga vitu vya kijinga huko kwake ili vije kumnufaisha akistaafu, maana nani wa koromije mwenye nauli za ndege wakatti hata ya basi ni mgogoro.

Ndi tunaporudi mwanzo, kuwa wewe mzee na mwingine mzee mmeshindwa kujizui nafsi zenu kwa kuwa zimelenga kwenye chuki kwa watu specific amabao hawasahabihiani na imani yako.
Leta hapa ushahidi wake akimnanga Mkapa au Jiwe au yule mzee alitutia umasikini wa kutupwa mnaemwita baba wa taifa my foot....
 
Back
Top Bottom