PostGE2025 Rais Samia: Hakuna dini ya ku-override serikali, toka niingie madarakani TEC wametoa nyaraka 8

PostGE2025 Rais Samia: Hakuna dini ya ku-override serikali, toka niingie madarakani TEC wametoa nyaraka 8

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hatujakurupuka kwa hii listi
TULIJIPANGA
Mjichyanganye sasa siku ya 9

1. Rear Admiral Ameir Hassan - Mkuu wa Jeshi la Wanamaji (Naval Command)
2 Meja Jenerali Fadhili Omary Nondo - Mkuu wa Jeshi la Nchi Kavu (Land Forces)
3. Meja Jenerali Shabani Mani - Mkuu wa Majeshi ya Anga (Air Force)
4. Meja Jenerali Iddi Nkambi - Mkuu wa Majeshi ya Vikosi vya Chini ( Battalions)
5. Meja Jenerali Rajabu Mabele - Mkuu wa Majeshi ya Taifa (National Service)
 
Friends and Our Enemies,

Nichukue nafasi hii kumpongeza sana Mh Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dk Samia Suluhu Hassan.

Hakika leo amesimama imara kukisema kile ambacho sisi wazalendo wa nchi hii tumekuwa tunamatamani siku zote akitamke na watu waelewe uhalisia.

Rais Samia amesimama imara na kukataa kuifanya ile mila la kanisa katoliki na washirika wake kuwa ndiyo wenye mamlaka pekee na amri ya kuipiangia serikali eti nini kifanye na kipi isifanye na nini kitatokea endapo serikali haitatii.

Nadhani ni wakati sasa TEC umefika na kutambua kuwa nyinyi siyo lolote na siyo chochote kwenye nchi hii,kazi yenu kubwa ni kuchunga kondoo wenu na kuhubiri neno la mungu na siyo kupimana nguvu na serikali na kutaka kujipa mamlaka ambayo siyo yenu.

Amesisitiza na kuwaambia TEC waache uchochezi na kugawa watu na kujipa kazi ambayo siyo yao.

Nchi hii inaongozwa kwa tunu ya amani na upendo na suala la kudai haki linaendana na wajibu katika kudai haki na njia stahiki ya kuendea haki hiyo.

Siyo wanakuja wahuni kuchoma nchi na kuchochea vurugu kisha mnasema kwamba walikuwa wanafanya maandamano.

Na mkisema kuwa nguvu iliyotumika ni kubwa kwahiyo TEC mlitaka itumike nguvu gani mbadala ya kuhakikisha watu waliotaka kupindua nchi wanadhibitiwa.?

Rais samia anasema tokea aingie madarakani TEC wameshakuja na Waraka nane zenye kuipinga serikali tatizo ni nini??chuki kwa kuwanyeye siyo mtu wa imani yao,au hajazaliwa kwenye upande wao au shida nini??

Rais samia piga kazi,tupo nyuma yako na unazo dua zetu.

TEC watambue kuwa zama zao za kuongoza nchi kwa njia ya mfumo kristo zimeshaisha.
Nilijua tu akili kisoda mzee wa tende lazima ungekuja kukoment ujinga. Vp TEC ndo wamemwambia ateke na kuua watanzania? Je, TEC wamemwambia apore uchaguzi na kudidimiza demokrasia? Au unaongozwa tu na mihemuko ya kidini. Atende haki, alinde demokrasia na utawala wa Sheria, hilo tu hakuna atakaye kuwa na shida naye.
 
Hatujakurupuka kwa hii listi
TULIJIPANGA
Mjichyanganye sasa siku ya 9

1. Rear Admiral Ameir Hassan - Mkuu wa Jeshi la Wanamaji (Naval Command)
2 Meja Jenerali Fadhili Omary Nondo - Mkuu wa Jeshi la Nchi Kavu (Land Forces)
3. Meja Jenerali Shabani Mani - Mkuu wa Majeshi ya Anga (Air Force)
4. Meja Jenerali Iddi Nkambi - Mkuu wa Majeshi ya Vikosi vya Chini ( Battalions)
5. Meja Jenerali Rajabu Mabele - Mkuu wa Majeshi ya Taifa (National Service)
Tunajua mmejipanga ila nguvu ya umma ni nguvu kubwa wengine waongeze kwenye list yako
Chief of staffs, DGIS, Waziri wa mambo ya nje, Waziri wa Afya, sheria, Usalama, utumishi, Elimu, uchukuzi, Maliasili na utalii, Fedha, Zaidi ya Nusu ya familia yake ni mawaziri, wabunge.

Mtoto wake Abdul ni Makamu wa Rais for all practical purpose, Wengine ni washirika wa Kikwete, Rostam au mazezeta, wasaliti wa Tanganyika. Yanarubuniwa na cheo, pesa, umaarufu power and trappings of power.

Mshauri wake mkuu, muhimu ni yule aliyeleta KMKM na kuua maelfu ya Watanganyika.
 
Tunajua mmejipanga ila nguvu ya umma ni nguvu kubwa wengine waongeze kwenye list yako
Chief of staffs, DGIS, Waziri wa mambo ya nje, Waziri wa Afya, Usalama, utumishi, Elimu, uchukuzi, Maliasili na utalii, Fedha, Zaidi ya Nusu ya familia yake ni mawaziri, wabunge.

Mtoto wake Abdul ni Makamu wa Rais for all practical purpose, Wengine ni washirika wa Kikwete, Rostam au mazezeta, wasaliti wa Tanganyika.

Mshauri wake mkuu, muhimu ni yule aliyeleta KMKM na kuua maelfu ya Watanganyika.
Ongezea na hii listi

1. Rear Admiral Ameir Hassan - Mkuu wa Jeshi la Wanamaji (Naval Command)
2 Meja Jenerali Fadhili Omary Nondo - Mkuu wa Jeshi la Nchi Kavu (Land Forces)
3. Meja Jenerali Shabani Mani - Mkuu wa Majeshi ya Anga (Air Force)
4. Meja Jenerali Iddi Nkambi - Mkuu wa Majeshi ya Vikosi vya Chini ( Battalions)
5. Meja Jenerali Rajabu Mabele - Mkuu wa Majeshi ya Taifa (National Service)
 
Rais Samia ameongeza kwa kusema "Kama haumpendi kiongozi aliyeko juu, basi vumilia wakati wake utaisha tu".

Amesema tangu aingie madarakani, TEC wametoa matamko 8

elimu elimu elimu

Sijajua kama anajua nin maana ya Serikali ?

Sijajua kama anajua nchi ni ya watu na watu wana uhuru wa kuihoji au kuikumbusha serikali yao , maaskofu ni watz kiasili wengine wa kuzaliwa

Sijajua kama anasahau kuwa wajibu wake ni kuchukua maoni ya raia wake na sio kuangalia nan ametoa maon

Sijajua kama anapambana na wadhifa wa mtu badala ya kujadili hoja za mtu , hii maana yake yale madai yanaeza kuwa kwel

Hawa wazee wa mid 1900s wengi ni vilaza na wanatakiwa kupish maana wanataka iendesha nchi kiagemate system badala ya kuzingatia katiba
 
Mkuu niko pamoja na wewe. Mimi niko Parokia ya Bikira Maria wa huruma, Mbezi Tangi Bovu. Natoa zaka na kuchangia jenga jimbo wakati wa Xmas na Pasaka. Lakini sikubaliani na namna Fr Kitima anavyofanya kazi ya TEC. It seems yeye ana nguvu kuliko Rais wa TEC Bishop Pisa
shida ni yeye kuwa na nguv kuliko Rais wa TEC au shida ni utekaj ? kipi kinahatarisha usalama wako?
 
Tayari tumeshajua ni nani ambaye yuko nyuma ya mpango huo wa kuchoma makanisa.

Na si mwingine bali ni huyu huyu mzanzibari samuya suluhu hassan, na ndio aliwatuma hata wale wajinga wa BAKWATA waje watishe kukata watu vichwa, ndio maana mpaka leo hii hatujaona wale mashekh wakichukuliwa hatua yoyote ile ya kisheria na wakati ile kauli yao ni tishio la ugaidi.

Aisee watanganyika kama tumewahi kuyakanyaga basi ni kuongozwa na huyu shetani jike, ni hatari mno kwa ustawi wa maisha yetu.

Hao wanamtandao wangeweza hata kutuletea mtu mwingine wa kulinda interests zao baada ya kumuondoa Magufuli, lakini sio kwa huyu mtu.

Huyu hana sifa ya uraisi hata moja bali ni gaidi la kike ambalo muda wote linatamani kuona damu za watu zikimwagika.
waislam wa bara wasipostuka wanatumiwa kufanya DIVIDE AND KISHA WAJE WATURULE MAZIMA

HAWA WAZENJ HAWATUPEND SISI WATANGANYIKA WOTE ILA WAMEONA NJIA SAHIHI KWASAS NI KUWATUMIA WAISLAM WA BARA AMBAO WENGI NI VILAZA
 
Halafu kuna watu wanadandia kuwa anakataliwa kwa sababu ya dini yake.
Wewe kwanza ushajiita mzee, kaa kando,
Tukifuatilia mada zako humu tokea enzi ya kikwete hakuna ulikuwa unakiona kwake kizuri, hata tukirudi nyuma hakuna ulichokosoa kwa Mkapa
Alipokuja mgalatia mwenzako, ulikuwa hulali na kuleta mada za kumtetea, na ndio mwanzilishi wa unayoyaona sasa, alivyokufa ulipotea humu kama ulizikwa nae
Lakini alivyokuja Samia kwa kuwa sio mgalatia mwenzako, ukaibuka tena
Mawazo yako humu ni kama pumbu za mbuzi, zinaendanda na mweleko wa mwendo unashabihiana na matako yako.
 
Rais Samia ameongeza kwa kusema "Kama haumpendi kiongozi aliyeko juu, basi vumilia wakati wake utaisha tu".

Amesema tangu aingie madarakani, TEC wametoa matamko 8

Kumuachia aendelee baada ya kuiba uchaguzi ataipeleka nchi kuzimu ; hiyo miaka minne tu aliyorithi amepaisha deni la Taifa to astronomical levels ambao ni mzigo mzito sana kwa wananchi! Kumuachia aendelee atatuongezea madeni ya nje na ndani to such levels the country will fail to service the debts!! Tanzania if wrongly handled will definitely become a failed state simply because Samia ana tamaa ya madaraka!!
 
Rais Samia ameongeza kwa kusema "Kama haumpendi kiongozi aliyeko juu, basi vumilia wakati wake utaisha tu".

Amesema tangu aingie madarakani, TEC wametoa matamko 8

Samia ameteka wangapi, kama wangepelekwa mahakamani baada ya kukamatwa moja kwa moja kungekuwa na tatizo?

Tatizo ni la kidini au sheria kufuatwa? Wangapi ni vijana wa waislamu waliokamatwa?
 
Wewe kwanza ushajiita mzee, kaa kando,
Tukifuatilia mada zako humu tokea enzi ya kikwete hakuna ulikuwa unakiona kwake kizuri, hata tukirudi nyuma hakuna ulichokosoa kwa Mkapa
Alipokuja mgalatia mwenzako, ulikuwa hulali na kuleta mada za kumtetea, na ndio mwanzilishi wa unayoyaona sasa, alivyokufa ulipotea humu kama ulizikwa nae
Lakini alivyokuja Samia kwa kuwa sio mgalatia mwenzako, ukaibuka tena
Mawazo yako humu ni kama pumbu za mbuzi, zinaendanda na mweleko wa mwendo unashabihiana na matako yako.
Wewe ni muislam wa BAKWATA ndio maana huoni mapungufu ya Samia. Samia hatakiwi kwasababu ameshindwa kutawala nchi na sio kwa sababu ya dini; mbona Mawaziri wake wengi sio waislam bali wagalatia!!
Jaribu kuwa objective kwa kutoangalia dini ya muhusika unapojadili hoja humu! Kuhusu Kikwete kama alisutwa enzi ya utawala wake[ yeye na Samia ni kitu kimoja} ni kwasababu ya ufisadi wake uliokithiri. Na Samia nae ameiga matendo ya mentor wake kwa kutawala kifisadi; angalia alivyowajaza ndugu zake na wazenj wenzie kweye baraza la Waziri ili waibe bila aibu!! Ndio maana kwa sababu hizo wananchi wamemkataa na kuita utawala wake haramu!
 
Nilijua tu akili kisoda mzee wa tende lazima ungekuja kukoment ujinga. Vp TEC ndo wamemwambia ateke na kuua watanzania? Je, TEC wamemwambia apore uchaguzi na kudidimiza demokrasia? Au unaongozwa tu na mihemuko ya kidini. Atende haki, alinde demokrasia na utawala wa Sheria, hilo tu hakuna atakaye kuwa na shida naye.
Kanisa lina kashfa chafu sanaa za ulawiti ushoga n.k hili washawahi kulikemea?
 
shida ni yeye kuwa na nguv kuliko Rais wa TEC au shida ni utekaj ? kipi kinahatarisha usalama wako?
Shida ni yeye kuacha kazi ya injili na kuingia kwenye siasa akiwa na kanzu na kola za altareni.
 
Anaumia kwa nyaraka nane tu, je katika utawala wake wametekwa na kupotezwa watu wangapi?
Uzuri alisema hasikii ni jambo jema kujua kuwa anasikia vizuri na kuelewa na hata kuguswa na jumbe mbali mbali.Ikiwa hilo lina ukweli basi arekebishe pasipo sawa na asichukulie kuwa ni shambulilizi kwake ila ushauri wenye nia ya dhati,ya hali bora kwa taifa hili.
 
Back
Top Bottom