Kwa hiyo wakiona kuna utekaji wakae kimnya kwa sababu urais ni taasisi?TEC Wanahoja shida yao ni kutaka kujiona na wao Wana mamlaka au Influence, Waheshimu Presidency basi
Urais ni taaasisi wanaenda Makanisani kwasababu nchi ni tulivu
Kwa hiyo wakiona kuna utekaji wakae kimnya kwa sababu urais ni taasisi?TEC Wanahoja shida yao ni kutaka kujiona na wao Wana mamlaka au Influence, Waheshimu Presidency basi
Urais ni taaasisi wanaenda Makanisani kwasababu nchi ni tulivu
Ukweli utabaki ukweli hata kama anayefanya makosa ni mtu wa imani yetuNashukuru kuona kuna wakatoliki wenzangu hili linawakwaza... Wachunga kondoo wamegeuka wana siasa.. niko Bikira Maria Mpalizwa ila kwa haya yanayojiri kiukweli hata Hija ya bagamoyo tarehe 6 siendi na imekosa mvuto mana kama alivyosema Madam presida kanisa limepata mkanganyiko hatuongei tena lugha moja Sifa kuu ya wakatoliki ni watu watulivu hatupendi heka heka ila TEC wametuletea heka heka ambazo hazina ulazima wowote! Imekua kama kikundi cha Siasa ...
Amani iwe kwenu sasa iko wapi? Amani yangu nawaachia Amani yangu nawapa iko wapi? Kiukweli hata tuhuma tulizopewa Rwanda nimeanza kuziona zinakuja hapa
Oyaa watu wanatekwa, kuuliwa na uchaguzi umegeuzwa comedy wanaiba wanavyotaka, wewe kama unapendwa kulala usiku huku ukiogopa serikali kukuteka kwa sababu umemtukana Abdul endelea tuu, TEC wanafanya jambo zuri sana nawaunga mkonoNashukuru kuona kuna wakatoliki wenzangu hili linawakwaza... Wachunga kondoo wamegeuka wana siasa.. niko Bikira Maria Mpalizwa ila kwa haya yanayojiri kiukweli hata Hija ya bagamoyo tarehe 6 siendi na imekosa mvuto mana kama alivyosema Madam presida kanisa limepata mkanganyiko hatuongei tena lugha moja Sifa kuu ya wakatoliki ni watu watulivu hatupendi heka heka ila TEC wametuletea heka heka ambazo hazina ulazima wowote! Imekua kama kikundi cha Siasa ...
Amani iwe kwenu sasa iko wapi? Amani yangu nawaachia Amani yangu nawapa iko wapi? Kiukweli hata tuhuma tulizopewa Rwanda nimeanza kuziona zinakuja hapa
Usiombe hili litokee waislamu kufa kwao ni kitu cha kawaida haya tuendelee kunywa mtori nyama tutakuta chiniHao wakatoliki wanaweka kumbukumbu tu
Siku akirudi mtawala wa mkatoliki hapa Tz hakuna rangi chafu mtakayokosa kuiona kwa visasi
Wanaoshabikia haya mambo yana muda tu kujirudi, historia iko hivyo
Hao mashehe wa BAKWATA watakosa sehemu hata ya kuswali hapa na kama misikitini hata adhana itasikika
TEC kama reputable institution naamini kabisa Milango ya kuaccess taaasisi ya hio ya Juu kabisa Iko wazi muda mwingi,Kwa hiyo wakiona kuna utekaji wakae kimnya kwa sababu urais ni taasisi?
HAmna nomaOyaa watu wanatekwa, kuuliwa na uchaguzi umegeuzwa comedy wanaiba wanavyotaka, wewe kama unapendwa kulala usiku huku ukiogopa serikali kukuteka kwa sababu umemtukana Abdul endelea tuu, TEC wanafanya jambo zuri sana nawaunga mkono
Si ndio hapo sasa itakuwa hana akili huyu bibi au ulidhani wao ni panyabukuUkilikoroga lazima ulinywe.
Haiwezekani utoe order ya kuua zaidi ya watu 10,000 halafu tukunyamazie tu.
Mama alikuwa ameandaa hotuma nzuuri kitima akaja kuitibua.Bibi alichukia sana jana kauli ya TEC kwamba wauaji wawajibishwe inamuuma sana samia maana anajua yeye ndio mhusika mkuu alietoa order ya shoot to kill.
Na safari hii walijaribu kuonyesha kuwa wana mamlaka hiyo eti kwa kutumia vigango vyao na kuwahamasisha vijana wafanye fujo. Na bado wanaishi kwa ndoto za mchana, eti kama kutakuwa na machafuko au vita wakiamini kuwa ile nafasi yao waliyopewa na yule mwanasiasa Saint itarudi tena.TEC hawana mamlaka yoyote na hawajawahi kuwa nayo
TEC wanakosoa na kutoa maoni, uwezo wao unaishia hapo. Hawawezi kuacha kutoa maoni hivyo msiplay victim card
Na akazie hapo hapo, kila hotuba. Si wamemfikasha wenyewe hapo.Huwa anapenda kurudia rudia kusema mimi ndio amiri jesh mkuu
Kakalie wewe.Hayuko sawa. Hafai kukalia kuwa kiongozi wa nchi. IQ ipo chini sana.
Hawakutoa matamko wakati wa mkoloni, eti leo ndio wajifanye majuaji na mapenda haki sanaaaa.Hilo haliwezekani. Wataendelea kutoa matamko kila watapoona inafaa kufanya hivyo
Mpira upo kwenu kuona nini cha kuwafanya ili wasutoe matamko. Muwafunge jela au muwafungie hayo makanisa. Chaguo ni lenu
Wafungueni msiogope. Mbina gwajima makanisa yake alifungiwa. Msipowafungia mnawaogopaHawakutoa matamko wakati wa mkoloni, eti leo ndio wajifanye majuaji na mapenda haki sanaaaa.
TEC hawajawahi kuwa na mamlaka yoyote, ni hofu na uoga wenu tu mnaojazana. TEC wao ni matamko tu hawana Cha ziada, msiwe wanyonge wala msijazane hofu. Sijui kwa nn huwa mnawahofia.Na safari hii walijaribu kuonyesha kuwa wana mamlaka hiyo eti kwa kutumia vigango vyao na kuwahamasisha vijana wafanye fujo. Na bado wanaishi kwa ndoto za mchana, eti kama kutakuwa na machafuko au vita wakiamini kuwa ile nafasi yao waliyopewa na yule mwanasiasa Saint itarudi tena.
Hakika nawaambia hiyo nafasi hawataipata tena, sana sana watapoteza hata hiki kidogo walichonacho. Mdanganyane tu wemyewe kwa wenyewe.