PostGE2025 Rais Samia: Hakuna dini ya ku-override serikali, toka niingie madarakani TEC wametoa nyaraka 8

PostGE2025 Rais Samia: Hakuna dini ya ku-override serikali, toka niingie madarakani TEC wametoa nyaraka 8

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwenye hapa kobazi walitisha sana.
Kabisa walitisha sana na ndio maana nadharia nyingi za redpill zinaingiliana na mfundisho ya kiislamu.

Maana Uislamu umemuweka mwanamke mahala panapostahili.

Mwanamke uongozi wake uishie jikoni tu basi, zaidi ya hapo ni kutafuta maafa tu.

Mpe mwanamke madaraka, utashangaa ana haribu pakubwa bila kujua kama ana haribu, mfano kama huyu kimama hapa kwa hizi kauli zake za leo hajui kama zinaweza kuingiza nchi kwenye machafuko ya kidini ambayo athari zake zikadumu kizazi na kizazi.

Kuna sababu za msingi ni kwa nini taifa la kidemokrasia kama Marekani walimpiga chini Hillary Clinton ambaye alikuwa na uzoefu mkubwa wa kisiasa na mbobezi wa mambo ya kidiplomasi mwaka 2016 na kisha kumchagua mwehu Trump ambaye alikuwa hajawahi hata kushika cheo cha U-mayor awe raisi wao... maana wanajijua wao ni taifa linaloandamwa na changamoto kibao na mwanamke sio mtu wa kuliongoza taifa hilo.

Kwetu sisi taifa la dunia ya tatu ndio tukaingia huu mkenge wa kuendekeza upuuzi wa kumpa mwanamke madaraka makubwa, na sasa hivi tunajionea madhara yake.
 
Unajua najiuliza hivi Samia anakubalika na kundi gani hapa nchini? Maana kama anaona wakristo hawamkubali kisa yeye muislamu, anaona kuna wasiomkubali kisa jinsia yake, kuna wasiomkubali kisa asili yake, vijana nao hawamkubali wameshawishiwa na hadi kulipwa fedha ili kufanya vurugu nchini sasa ina maana Samia ni kundi gani hilo ambalo ndio lenye kumkubali Samia?

Anatangaza vita ndani na nje ya nchi.
Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kumkubali huyo bibi anaenuka damu za Vijana wa Tanzania
 
Kwamba kikundi au taasisi yoyote kilichosajiliwa kama kikundi hakiwezi kufutiwa usajili hata kama kikundi hicho au taasisi hiyo mnaona inakiuka matakwa yenu na mamako
Shithole
 
Shida sio TEC yote shida ni FR kitima ndo ana chuki binafsi
Mkamateni nyie na mama yenu mbona mna kila kitu anaogopa nini nawakumbusha tu miaka nenda rudi tumeishi kwa kujifunza mnafikiri kuna wakatimtakuja kuchinja mkristo kama mlivyofanya kule geita
 
hapana kwa Tanzania inabidi saa zingie uwe unanyoosha maneno kama ilvyokuwaga kwa Magufuli , maana leo wamechambwa hadi donors
Kiongozi anapaswa kuwa Emotionally Intelligent
Unapaswa kujua kuzungumza nini na wapi na hali ya wakati huo
Leo hii kuna tension ya kidini halafu unaenda kuchochea moto
Nyerere was charismatic, hata kama watu walichukia vipi lakini alijua kuwalainisha
Fuatilia alivyo ushawishi umma kuingia vitani Uganda licha ya kuwa ile vita ilikuwa ni personal zaidi kwa Idd Amin
Magufuli yeye alikuwa na haiba yake ya pekee na hakuwa fake, alisema lile analotaka bila kujali feelings za watu na ndivyo alieleweak kwa ubabe wake
Binkubwa hapa anauma na kupuliza halafu anawasakizia wengine na kujivua lawama, udanganyifu wa akili, mental/emotional deception au gaslighting
 
TEC Wana kiburi wakiamini nchi Yao,leo wamechanwa na wakiendelea nadhani mabanzi yatafuata, tanzania siyo kigango cha kanisa wala parokia
yani unajitekenya alafu unacheka kanisa Katoliki ni taasisi kubwa dunia. Kazi ya Tec ni kuongea mambo maovu yote nanayotendeka.


Hiyo siyo ufufuo na uzima bana unaweza funga asubuhi akatoa ada mchana lifunguliwe.
 
yani unajitekenya alafu unacheka kanisa Katoliki ni taasisi kubwa dunia. Kazi ya Tec ni kuongea mambo maovu yote nanayotendeka.


Hiyo siyo ufufuo na uzima bana unaweza funga asubuhi akatoa ada mchana lifunguliwe.
Shida ya Machawa wamezoea kusifu kila kitu hata mama yao akijamba wao utasikia "tunasonga mbele"
 
1. To me, Hawatamjibu. Mwenye akili timamu hawezi kumjibu
2.
 
Yeye ameongea na wazee wa dar es slaam

Kama ujumbe umewafikia mbwa nyinyi basi ni wenu huo

Hatuchek na kima yoyote
Punguza ujuha kima wewe! Hakuna uchaguzi uliofanyika Tanzania. Hiyo kitchen party yake na hao mercenaries wa ccm, watanganyika hawaitambui. Wewe hata kukuita mbwa naona hau-fit bora nikuite *****!!
 
Hawana hoja za kumjibu simba(lioness) nilisema mapema leo simba jike likiunguruma mabeberu na vibaraka wote lazima wapoteane!
 
Kiongozi anapaswa kuwa Emotionally Intelligent
Unapaswa kujua kuzungumza nini na wapi na hali ya wakati huo
Leo hii kuna tension ya kidini halafu unaenda kuchochea moto
Nyerere was charismatic, hata kama watu walichukia vipi lakini alijua kuwalainisha
Fuatilia alivyo ushawishi umma kuingia vitani Uganda licha ya kuwa ile vita ilikuwa ni personal zaidi kwa Idd Amin
Magufuli yeye alikuwa na haiba yake ya pekee na hakuwa fake, alisema lile analotaka bila kujali feelings za watu na ndivyo upinzani alieleweak kwa ubabe wake
Binkubwa hapa anauma na kupuliza halafu anawasakizia wengine na kujivua lawama, udanganyifu wa akili, mental/emotional deception au gaslighting
umeongea points zenye akili nakukubalia asilimia 100 sema kwa mfano kuhusu upinzani kuna sehemu walizingua wenyewe, kuanza kugoma na kutoa maneno makali sana wakati yeye aliwalegezzea ki ukweli inaudhi,

Pili kweli kabisa ana makosa kafanya kwenye kuwapoteza vijana wakosoagi lile bonge ya kosa sasa sijui washauri wake akina nani ? ila hawa wanaharakati kutoka nje na mikwara ya mabunge ya ulaya utaona kabisa wanatufanya sisi watoto wadogo wanastahili kukemewa japo bado sisi wachanga
 
TEC Wanahoja shida yao ni kutaka kujiona na wao Wana mamlaka au Influence, Waheshimu Presidency basi

Urais ni taaasisi wanaenda Makanisani kwasababu nchi ni tulivu
 
Back
Top Bottom