Jumuiya ipi huwa hunioni?We RC wa wapi mbona hata kwenye jumuiya sikuonagi?
Jumuiya ipi huwa hunioni?We RC wa wapi mbona hata kwenye jumuiya sikuonagi?
na ndipo tunapoelekea, waliofika huko walianza hivi hiviSasa hapo ndiyo nchi haitokalika.. ndiyo tutakula.na Tanzania ya Waislamu na wakatoliki.
Yaweke kichwani maneno yangu vizuri!
Ila wakumbuke tu sisi wakatoliki wa Tanzania sio wanyonge kama hao wa Nigeria bali elimu tunayo na nguvu tunayo yaani kama wakatoliki wa Centre Afrika kama mbwai na iwe mbwaiAmong many take home msgs, to me this is makes the headline!
Wakatoliki tukae tukijua tumefikiwa...yale yale ya Nigeria wanakouawa wakristo!
Tupo Wakristu tunaomkubali sana tu tena RC kabisa usipotoshe. Sema wewe ndio humkubali wala siyo wakristu wote.
hapana kwa Tanzania inabidi saa zingie uwe unanyoosha maneno kama ilvyokuwaga kwa Magufuli , maana leo wamechambwa hadi donorsna ndipo tunapoelekea, waliofika huko walianza hivi hivi
hata humu mijadala ya kidini unaona ilivyo na chuki za wazi
Kiongozi anapaswa kuonesha leadership na siyo kuwa sentimental kwa vitu sensitive hasa vya dini kabila etc
Hasira zake kwa haya mambo azifanye chini kwa chini kama alivyokuwa JK, anawapokea anasikiliza halafu anapotezea au kufanyia kazi kivyake kimya kimya
Nyerere alipiga vita haya mambo, tena hadharani, hata kama alitenda tofauti chinichini
Huyu anakosea sana!
Acha uongo usituseme Wakatoliki wote jisemee wewe mwenyewe.Ila wakumbuke tu sisi wakatoliki wa Tanzania sio wanyonge kama hao wa Nigeria bali elimu tunayo na nguvu tunayo yaani kama wakatoliki wa Centre Afrika kama mbwai na iwe mbwai
Vyombo vya kumdhibiti vilikuwa ni JWTZ na TISS ambavyo sasa hivi anavitumia kama kitambaa cha makamasi.Samia ni WA kumdhibiti haraka sana. Huyu akiachwa niwahakikishie kabisa anaenda kupasua taifa.
Ndio sijakusemesea wewe ila nimejisemea mimi na wakatoliki wenzangu kama Wewe na huyo mama yenu munajiamini.fungieni hata kwa juma moja tu namaanisha jumapili moja tu mbona Gwajima alifunga mnashidwa nini kwetuAcha uongo usituseme Wakatoliki wote jisemee wewe mwenyewe.
Unaamini kwenye Academic zaidi. Kwani Newton alisoma hata hiyo Form 4 mbona tunatumia formular yake mpaka leo?Yeye ni kilaza ndio maana anapingwa sana, kwani hata hilo halijui?!.
Hatujawahi kuwa na kiongozi mwingine tofauti na yeye aliyepata D moja tu tena ya kiswahili matokeo ya form 4!.
Atakuwa kapiga tungi kwanza au siyo mzima kichwani. Haeleweki alitaka kutoa ujumbe gani.Karma imeshaanza kazi. Hata hajui anacholalamika.
Shida sio TEC yote shida ni FR kitima ndo ana chuki binafsiSi atufungie tu hata kwa jumapili moja tu mbona kwa gwajima alifunga mwambieni ajaribu bahati yake ajipime yaani hata Dominika moja tu
Ifungwe ili iwe nini? RC siyo taasisi iliyosajiriwa kwa mtu binafsi tofauti na taasisi ya Gwajima ambayo imesajiriwa kwa mtu binafsi au hujui hilo?Ndio sijakusemesea wewe ila nimejisemea mimi na wakatoliki wenzangu kama Wewe na huyo mama yenu munajiamini.fungieni hata kwa juma moja tu namaanisha jumapili moja tu mbona Gwajima alifunga mnashidwa nini kwetu
Kwamba anachofanya huyu mama automatically ni kinyume cha dhalimu magu?Mliokua mnasema jiwe alikua na kiburi..leo sura zenu mnazificha wapi?
Yule shehe ubwabwa aliesema watawachinja waandamanaji, ile kauli imetolea kimkakati. Ndio maana mpaka muda huu hajachukuliwa hatua za kisheriaNi aibu maana yake atagawia mapanga watu kutimiza ahadi
Kwamba kikundi au taasisi yoyote kilichosajiliwa kama kikundi hakiwezi kufutiwa usajili hata kama kikundi hicho au taasisi hiyo mnaona inakiuka matakwa yenu na mamakoIfungwe ili iwe nini? RC siyo taasisi iliyosajiriwa kwa mtu binafsi tofauti na taasisi ya Gwajima ambayo imesajiriwa kwa mtu binafsi au hujui hilo?