PostGE2025 Rais Samia: Hakuna dini ya ku-override serikali, toka niingie madarakani TEC wametoa nyaraka 8

PostGE2025 Rais Samia: Hakuna dini ya ku-override serikali, toka niingie madarakani TEC wametoa nyaraka 8

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Friends and Our Enemies,

Nichukue nafasi hii kumpongeza sana Mh Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dk Samia Suluhu Hassan.

Hakika leo amesimama imara kukisema kile ambacho sisi wazalendo wa nchi hii tumekuwa tunamatamani siku zote akitamke na watu waelewe uhalisia.

Rais Samia amesimama imara na kukataa kuifanya ile mila la kanisa katoliki na washirika wake kuwa ndiyo wenye mamlaka pekee na amri ya kuipiangia serikali eti nini kifanye na kipi isifanye na nini kitatokea endapo serikali haitatii.

Nadhani ni wakati sasa TEC umefika na kutambua kuwa nyinyi siyo lolote na siyo chochote kwenye nchi hii,kazi yenu kubwa ni kuchunga kondoo wenu na kuhubiri neno la mungu na siyo kupimana nguvu na serikali na kutaka kujipa mamlaka ambayo siyo yenu.

Amesisitiza na kuwaambia TEC waache uchochezi na kugawa watu na kujipa kazi ambayo siyo yao.

Nchi hii inaongozwa kwa tunu ya amani na upendo na suala la kudai haki linaendana na wajibu katika kudai haki na njia stahiki ya kuendea haki hiyo.

Siyo wanakuja wahuni kuchoma nchi na kuchochea vurugu kisha mnasema kwamba walikuwa wanafanya maandamano.

Na mkisema kuwa nguvu iliyotumika ni kubwa kwahiyo TEC mlitaka itumike nguvu gani mbadala ya kuhakikisha watu waliotaka kupindua nchi wanadhibitiwa.?

Rais samia anasema tokea aingie madarakani TEC wameshakuja na Waraka nane zenye kuipinga serikali tatizo ni nini??chuki kwa kuwanyeye siyo mtu wa imani yao,au hajazaliwa kwenye upande wao au shida nini??

Rais samia piga kazi,tupo nyuma yako na unazo dua zetu.

TEC watambue kuwa zama zao za kuongoza nchi kwa njia ya mfumo kristo zimeshaisha.
Mfumo kristo kuuepuka duniani ni uejde kwenye danguro la alla tu tofauti na hapo huwezi ukwepa.
 
Leo amenikosha sana ndio anavyotakiwa kuwa Amri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama. Huyo Padre Kitima na huyo Rais wa TEC ni wanaharakati. Mimi ni RC lakini hatuwataki kabisa kwa uanaharakati wao kama wanataka wajiunge kwenye vyama vya siasa kama ambavyo alifanya Dr. Slaa waache waumini wa RC waendelee na imani zao na wala siyo siasa uchwara.
Sasa hayo MAJESHI yana watu MAROBOTI au na wao Wana dini huko NDANI???
 
Huyo ndiyo Rais wangu!! TEC wasome Alana za nyakati. Uvumilivu umefika kikomo
RC ina miaka zaidi ya 1,000.

Imeishi kwenye TAWALA za kila KIAZI dunia hii.

Huyo KIAZI mwenye MTINDI mkubwa, mwenye AKILI kiduchu hakuna cha maana atawafanya.
 
RC ina miaka zaidi ya 1,000.

Imeishi kwenye TAWALA za kila KIAZI dunia hii.

Huyo KIAZI mwenye MTINDI mkubwa, mwenye AKILI kiduchu hakuna cha maana anasaidia
Kama Rwanda amefanikiwa na Tanzania itafanikiwa... Watapotezwa.mmoja mmoja Kwa Natural course ..
Hivi unajua kama roman empire ilikuwa ainatawala dunia? Kwa nini hivi Leo unaishia kiujanja ujanja na utapeli?
 
Makanisa ya RC yataanza chomwa moto, maana mkoloni anaona wao kama kikwazo kwake kutawala
Tayari tumeshajua ni nani ambaye yuko nyuma ya mpango huo wa kuchoma makanisa.

Na si mwingine bali ni huyu huyu mzanzibari samuya suluhu hassan, na ndio aliwatuma hata wale wajinga wa BAKWATA waje watishe kukata watu vichwa, ndio maana mpaka leo hii hatujaona wale mashekh wakichukuliwa hatua yoyote ile ya kisheria na wakati ile kauli yao ni tishio la ugaidi.

Aisee watanganyika kama tumewahi kuyakanyaga basi ni kuongozwa na huyu shetani jike, ni hatari mno kwa ustawi wa maisha yetu.

Hao wanamtandao wangeweza hata kutuletea mtu mwingine wa kulinda interests zao baada ya kumuondoa Magufuli, lakini sio kwa huyu mtu.

Huyu hana sifa ya uraisi hata moja bali ni gaidi la kike ambalo muda wote linatamani kuona damu za watu zikimwagika.
 
Hao wakatoliki wanaweka kumbukumbu tu
Siku akirudi mtawala wa mkatoliki hapa Tz hakuna rangi chafu mtakayokosa kuiona kwa visasi
Wanaoshabikia haya mambo yana muda tu kujirudi, historia iko hivyo
Hao mashehe wa BAKWATA watakosa sehemu hata ya kuswali hapa na kama misikitini hata adhana itasikika
 
Hao wakatoliki wanaweka kumbukumbu tu
Siku akirudi mtawala wa mkatoliki hapa Tz hakuna rangi chafu mtakayokosa kuiona kwa visasi
Wanaoshabikia haya mambo yana muda tu kujirudi, historia iko hivyo
Hao mashehe wa BAKWATA watakosa sehemu hata ya kuswali hapa na kama misikitini hata adhana itasikika
Sasa hapo ndiyo nchi haitokalika.. ndiyo tutakula.na Tanzania ya Waislamu na wakatoliki.
Yaweke kichwani maneno yangu vizuri!
 
Back
Top Bottom