uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,085
- 2,996
Hajasema inawakilisha ujumbe gani?Rais Samia ameongeza kwa kusema "Kama haumpendi kiongozi aliyeko juu, basi vumilia wakati wake utaisha tu".
Amesema tangu aingie madarakani, TEC wametoa matamko 8
View attachment 3510392
Mbona hata matukio kama utekaji,ubakaji na mauaji ya MO9 havikuwahi kushuhudiwa tangu kuasisiwa kwa tanganyika?