Tazama punguani hili!Kanisa katoliki liliwezesha USSR kuanguka, ijekuwa serikali ya Tanzania?
Ni swala la muda tu! Tena mfupi sana!
N
Walimzowea vibayaLeo amesema
Walimzowea vibayaLeo amesema
Vitisho vya kijingaAnaojaribu kuchezea sharubu wamemzingira mpaka uvunguni mwa anakolala watakapomchoka na dharau zake hatopona!
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN :VIONGOZI WA DINI MSIJEPE VYEO VYA KUONGOZA NCHI.HATA KAMA HAMUMPENDI RAIS MAMA SAMIA KWA DINI YAKE AU KWA JINSIA YAKE.MNGOJEENI AMALIZE MUDA WAKE WA UONGOZI MUMCHAGUE KIONGOZI MUNAYEMPENDA.
View: https://www.youtube.com/watch?v=nIAs66cv2Vw
Baba Wa Taifa Mwalim Julius Nyerere azungumzia Ukabila na Udini
WamemprovokeWalimzowea vibaya
Hapana. WamemuumbuaWamemprovoke
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN :VIONGOZI WA DINI MSIJEPE VYEO VYA KUONGOZA NCHI.HATA KAMA HAMUMPENDI RAIS MAMA SAMIA KWA DINI YAKE AU KWA JINSIA YAKE.MNGOJEENI AMALIZE MUDA WAKE WA UONGOZI MUMCHAGUE KIONGOZI MUNAYEMPENDA.
View: https://www.youtube.com/watch?v=nIAs66cv2Vw
Baba Wa Taifa Mwalim Julius Nyerere azungumzia Ukabila na Udini
Hayuko sawa. Hafai kukalia kuwa kiongozi wa nchi. IQ ipo chini sana.Atakuwa kapiga tungi kwanza au siyo mzima kichwani. Haeleweki alitaka kutoa ujumbe gani.
TEC wahubiri dini,waache nyyege na siasaMwislamu mwenzangu na Mama yangu katika Imani wanakudanganya kwamba hao TEC sijui ni Wakristo wanaleta udini hakuna udini naomba ukiweza kaa nao hao uongee nao tena wale wanaokupa maneno mabaya kuhusu udini wasiwepo kwenye kikao chenu Tanzania watu wameoana kila sehemu hizo mambo hazipo kaa chini ukague vizuri utakuja kusema..
Usemacho ni ukweli. Kila chawa na shehetani lazima atalipenda na kuliunga mkono ingawa ukweli unabaki pale kuwa iIdi Amin Mama ni jiuaji la kawaida.Ni tamko kali la Rais Samia. Naliunga mkono.
Amani ya Tanzania iligubikwa na Taasisi moja kutawala nchi huku nyingine zote zikiipigia magoti taasisi hiyo.
Tarehe 2 desemba, limetolewa tamko rasmi kuwa LEO NDIO MWISHO WA TAASISI HIYO KUFIKIRI KUWA INAUWEZO HUO. Ni mwanzo wa Tanzania mpya baada ya miaka 60 ya mwendelezo wa fikra/tamaduni za KIKOLONI.
Kwa mazingira yeyote yale, iwe machafuko au namna nyingine yeyote ile, kitu kimoja ni sahihi: AMANI ITAYOPATIKANA BAADA YA HAPO ITAKUWA NI AMANI YA UKWELI SIO YA KINAFIKI.
... and the rabbit hole is deeper this time around!Ni tamko kali la Rais Samia. Naliunga mkono.
Amani ya Tanzania iligubikwa na Taasisi moja kutawala nchi huku nyingine zote zikiipigia magoti taasisi hiyo.
Tarehe 2 desemba, limetolewa tamko rasmi kuwa LEO NDIO MWISHO WA TAASISI HIYO KUFIKIRI KUWA INAUWEZO HUO. Ni mwanzo wa Tanzania mpya baada ya miaka 60 ya mwendelezo wa fikra/tamaduni za KIKOLONI.
Kwa mazingira yeyote yale, iwe machafuko au namna nyingine yeyote ile, kitu kimoja ni sahihi: AMANI ITAYOPATIKANA BAADA YA HAPO ITAKUWA NI AMANI YA UKWELI SIO YA KINAFIKI.
TEC hawana mamlaka yoyote na hawajawahi kuwa nayoTEC Wanahoja shida yao ni kutaka kujiona na wao Wana mamlaka au Influence, Waheshimu Presidency basi
Urais ni taaasisi wanaenda Makanisani kwasababu nchi ni tulivu
Hilo haliwezekani. Wataendelea kutoa matamko kila watapoona inafaa kufanya hivyoTEC wahubiri dini,waache nyyege na siasa
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN :VIONGOZI WA DINI MSIJEPE VYEO VYA KUONGOZA NCHI.HATA KAMA HAMUMPENDI RAIS MAMA SAMIA KWA DINI YAKE AU KWA JINSIA YAKE.MNGOJEENI AMALIZE MUDA WAKE WA UONGOZI MUMCHAGUE KIONGOZI MUNAYEMPENDA.
View: https://www.youtube.com/watch?v=nIAs66cv2Vw
Baba Wa Taifa Mwalim Julius Nyerere azungumzia Ukabila na Udini
Acha kutumia makalio kufikiriaWamemprovoke
Hana lolote, mtu muoga hupenda kupiga mikwara. Gwajima alisema kidogo akafungia makanisa yake, mbona hawa katoliki hawafungii? Unafikiri hayo matamko yangetolewa na kina mwamposa au yule lusekelo wangefukuzwa kote na kubomolewaWalimzowea vibaya