Rais Samia hakuna kurudi nyuma. Simamia hapo hapo, Hii nchi ukiwasikiliza watu haitaenda

Ujumbe wa Rais Uhuru Kenyatta kwetu watanzania.


Nimepokea kwa Mshtuko mkubwa taarifa za Mh. Freeman Mbowe kua Gaidi, nimemfahamu Freeman miaka mingi tangu enzi za Baba yake Aikael Mbowe akiwa rafiki wa Baba yangu. Sisi wakenya tulipata shida baada ya Alshabab kuvuruga nchi yetu, Nashangaa Leo watanzania wanaharibu Amani Yao kwa kumwita Mh. Freeman Mbowe ni Gaidi, baada tu ya kudai Katiba Mpya. tegemeeni kupoteza wawekezaji wengi kuanzia sasa. Uhuru Kenyatta
 
Uhuru gani kaongea hayo? Raisi wa Kenya Au wa Buguruni kwenu?
 
Hata akusanye vipi kama ufisadi /upotevu wa pesa uko vile vile huwezi kuifikia china, wenzako walikuwa na maamuzi magumu lakini , mianya ya upotevu wa pesa ilikuwa midogo sana!kitu ambacho ni kigumu sana kwa CCM!!kwani kwao upigaji ni sawa na pumzi na binadamu!!hiyo ripoti ya BOT, imeishia wapi?ile ripoti ya wizara ya fedha kujilipa miposho ya kufa mtu imeishia wapi?!!Kuhusu ulaya wao suala la kodi sio inshu kwani wanaona inavyotumika!!Inshu sio maamuzi magumu bali yenye tija kwa taifa, ni maamuzi mangapi magumu Meko aliyafanya lakini badaye yakawa ni fedheha kwa taifa, mfano serikali kununua korosho, unajua kilichotokea ni aibu kubwa!!hata hilo la kuhamishia makao makuu dodoma, , haya nini kinachoendelea kwa sasa?si kama serikali imerudi Dar!!
 
1. Njisi ya kukabikiana na Corona sawa. Muelekeo upo na unaleta matumaini makubwa sana.
2. Njisi ya kuendesha siasa siyo sawa na haina tija kwa mstakabali wa taifa letu. Ubaguzi upo unaonekana Mungu aturehemu katika hili.
3. Ukiona polisi watumia nguvu nyingi kuzuia watu kudai haki zao na mabadiliko ujue mabadiliko ya kweli yamekaribia.
4. Mtaani sentesi kuu kwa sasa ni: "maji yamejaa kwenye mkondo na kupoteza muelekeo"
5. Nchi hii ni kubwa kuliko chama chochote cha siasa, tuvumiliane.
6. Tusitungiane uongo mtakatifu na propaganda zenye nia ya kupandikiza chuki miongoni mwetu kwa kuwa mbinu hizi ni za kizamani sana.
7. Tuvumiliane tusikomaze ugomvi huu utaturudisha nyuma kiuchumi na kisiasa tena sana.
8. Tuheshimu sheria tulizojiwekea kama taifa hasa katiba ya nchi, tukifanya hivyo hii nchi itakuwa manukato ya upendo, utulivu na, mshikamano.
9. Nawatakia jumapili njema.
 
kwani kwa sasa ambapo hasikilizi kuna kitu gani kinaenda?
 
Wamejà mdomo including na maaa wako shenz
 
Kwenye kongole zako na nasaha ongeza na bunge litunge sheria, wale wote wanaokula "pesa" za umma wapigwe risasi hadharani. Maana tutachangia kwenye miamala, mwakani CAG atatuambia billion 500 hazijulikani zilipo.
Atapigwa baba yako kwànza subiri
 
Namba 4 yako ni illusion tu! Nchi inaenda vizuri na sasa tumeizidi Hadi Kenya kwa kuuza Bidhaa Uganda?? Mlikuwa mnasema ziara za mama ni za kupoteza muda, sasa Benki kuu ya uganda imewajibu.

Mama yupo vizuri
 
Mmemaliza kumdanganya Magufuli sasa mmehamia kwa Samia.
 

1. Kwenye chanjo:

Yeye ndiye aliyekuwa right hand person wa aliyekwenda. Hapa hana jipya. Ikimpendeza azirejelee tu zama zao za nyungu.

2. Tozo na kodi:

Hizi akiongea maradufu itapendeza zaidi. Nakazia: wabunge, Mawaziri, ma RC, ma RC, makatibu wakuu na vigogo wote wasilipe hata ndururu ila waongezewe masurufu zaidi!
 
Mlimdanganya mwendazake hadi mauti yalipomkuta,bado mnaendelea kumdanganya Samia,,,,enyi wanafiki
 
nyie wapiga filimbi na waimba mapambio sio nyie mlimfanya hadi kayafa mkuu akajiona yupo juu ya kila kitu hapa duniani mwishowe mkamkacha kwa kumuita mfalme jua..
 
Ulikuwa choooni labda
 
Acha
Namba 4 yako ni illusion tu! Nchi inaenda vizuri na sasa tumeizidi Hadi Kenya kwa kuuza Bidhaa Uganda?? Mlikuwa mnasema ziara za mama ni za kupoteza muda, sasa Benki kuu ya uganda imewajibu.

Mama yupo vizuri
Acha kushtuka soma tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…